Ubaguzi: Mkuu wa Wilaya akataa kuzindua mashindano ya mpira kisa jezi kufanana na bendera ya CHADEMA

..Hivi rangi tu ni kitu gani kwanza?
Leo hii kwa mfano wanachama na washabiki wa Yanga ambao pia ni wanachama au waliipigia kura chadema kwenye uchaguzi mkuu waamue kuikacha Yanga kisa tu rangi za Yanga ni sawa kabisa na rangi zilizo kwenye bendera ya CCM...?

Hawa wateule wengine ni hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom