Ubaguzi: Mkuu wa Wilaya akataa kuzindua mashindano ya mpira kisa jezi kufanana na bendera ya CHADEMA | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubaguzi: Mkuu wa Wilaya akataa kuzindua mashindano ya mpira kisa jezi kufanana na bendera ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 17, 2017.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2017
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 1,862
  Likes Received: 4,473
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa Wilaya ya Njombe amegoma kushiriki shughuli za uzinduzi wa jezi ya timu ya mpira wa miguu ya Wilaya ya Njombe iliyofuzu kucheza Ligi Kuu ya VodaCom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018, akidai bendera ya timu hiyo inafanana na ile ya CHADEMA.
  20140038_910325835782927_8097726408929862922_n.jpg 20108281_910325792449598_3532335559846504043_n.jpg
   
 2. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #61
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 20,181
  Likes Received: 10,204
  Trophy Points: 280
  Aliachwa Bashite aliyeingia na jeshi Clouds
   
 3. s

  singojr JF-Expert Member

  #62
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 28, 2014
  Messages: 1,112
  Likes Received: 816
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli rais alikesha kupitia CV za hawa watu kama alivyotueleza. Ama kweli unaweza kesha na ukazungusha kwenye pepa
   
 4. c

  chikundi JF-Expert Member

  #63
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 5,707
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Viwanda vilivyozinduliwa pwani vyerehani 4?

  Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
   
 5. Konda wa bodaboda

  Konda wa bodaboda JF-Expert Member

  #64
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 18, 2014
  Messages: 8,049
  Likes Received: 3,165
  Trophy Points: 280
  Chademaphobia hiyo.
   
 6. B

  Babati JF-Expert Member

  #65
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 20,609
  Likes Received: 12,823
  Trophy Points: 280
  Vimeajiri watu wa ngapi au ushabiki wa kiCCM?
   
 7. c

  chikundi JF-Expert Member

  #66
  Jul 17, 2017
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 5,707
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Havijaajiri hata mtu mmoja vinatumia punda

  Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #67
  Jul 17, 2017
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,685
  Likes Received: 8,480
  Trophy Points: 280
  Mikesha inadharaulika sana siku hizi.
  Kuna mmoja alikesha akifanya vetting ya wateule wake.
   
 9. B

  Babati JF-Expert Member

  #68
  Jul 17, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 20,609
  Likes Received: 12,823
  Trophy Points: 280
  viMa yako
   
 10. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #69
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 6,773
  Likes Received: 2,222
  Trophy Points: 280
  Chademaphobia! wameambukizwa
   
 11. Prince Kunta

  Prince Kunta JF-Expert Member

  #70
  Jul 17, 2017
  Joined: Mar 27, 2014
  Messages: 5,860
  Likes Received: 4,087
  Trophy Points: 280
  Napaona Turbo, kitambo sana
   
 12. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #71
  Jul 17, 2017
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 6,773
  Likes Received: 2,222
  Trophy Points: 280
  Aliwahi kuwa mbunge mizigo huko Muleba, Kagera
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #72
  Jul 17, 2017
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,794
  Likes Received: 28,902
  Trophy Points: 280
 14. ngalakeri

  ngalakeri JF-Expert Member

  #73
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 17, 2014
  Messages: 533
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 80
  Heshima ya hivyo vyeo imeshuka sana, zamani watu hao walitambuliwa kwa hekima, busara, uaminifu, weledi, unyenyekevu, huruma, haki.
  Wananchi waliwakimbilia kama msaada wa mwisho. Ukiwa na sifa hizo huwezi kukimbilia jambo la kipuuzi kama hilo. Sifu kuu leo ni siasa, basi angalau ingekuwa siasa safi.

  Sent from my GT-I9195I using JamiiForums mobile app
   
 15. dedon

  dedon JF-Expert Member

  #74
  Jul 17, 2017
  Joined: Jul 6, 2015
  Messages: 501
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 80
  ntakuja kukupa kampan kwenye hilo shimo hata mm wanifukie tu

  Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
   
 16. mrangi

  mrangi JF-Expert Member

  #75
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 19, 2014
  Messages: 17,877
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  Ina maana wapinzani wasiishangilie yanga....mbona jezi zao ziko ki ccm kbsa

  Ova
   
 17. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #76
  Jul 18, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 14,488
  Likes Received: 53,584
  Trophy Points: 280
  Kwanini hawakuweka rangi za jezi zao ili kutoleta haya!?
   
 18. New Nytemare

  New Nytemare JF-Expert Member

  #77
  Jul 18, 2017
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 1,655
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
 19. machomanne

  machomanne JF-Expert Member

  #78
  Jul 18, 2017
  Joined: Feb 22, 2017
  Messages: 224
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Kama jezi hiyo inamtia kichefuchefu,je hajaona ya Taifa Stars?.

  Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
   
 20. residentura

  residentura JF-Expert Member

  #79
  Jul 18, 2017
  Joined: Mar 1, 2017
  Messages: 390
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 80
  Mkuu,hata kwenye mbio za mwenge kuna mikesha,je wajua yafanyikayo?

  Sent from my Kremlin using JamiiForum mobile app
   
 21. residentura

  residentura JF-Expert Member

  #80
  Jul 18, 2017
  Joined: Mar 1, 2017
  Messages: 390
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 80
  Rudia kusoma ulichokiandika kimya kimya na kwa sauti pia,halafu tufafanulie umeelewa nini.

  Sent from my Kremlin using JamiiForum mobile app
   
Loading...