Ubaguzi: Mkuu wa Wilaya akataa kuzindua mashindano ya mpira kisa jezi kufanana na bendera ya CHADEMA

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Mkuu wa Wilaya ya Njombe amegoma kushiriki shughuli za uzinduzi wa jezi ya timu ya mpira wa miguu ya Wilaya ya Njombe iliyofuzu kucheza Ligi Kuu ya VodaCom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018, akidai bendera ya timu hiyo inafanana na ile ya CHADEMA.
20140038_910325835782927_8097726408929862922_n.jpg
20108281_910325792449598_3532335559846504043_n.jpg
 
Mbona rangi zinazotawala duniani nyingi zinashabihiana na utambulisho wa Chadema (Nyekundu, Nyeusi, Blue, Nyeupe). Angalia hata timu nyingi za ligi za chini na ligi kuu zina jezi za mrengo wa Chadema ukiondoa Yanga na Toto. Basi ahame nchi kama hataki kukutana na nguo za rangi hizo kuu nne. Madukani ni nadra kuona nguo nyingi za rangi ya CCM. Ukimwangalia hata yeye utakuta rangi yake ama ni mweusi au mweupe. Au mwenzetu ni wa kijani na manjano?
 
Back
Top Bottom