Kwahiyo wajibu wake unaishia kwenye kuzipokea pesa tu? Baada ya hapo ni kila mtu kivyake?Hili swali sio valid!.
Mimi nikikupa milioni 100 ununulie gari la wagonjwa, wewe ukazitumia kununulia Range Sport na kumpa kimada wako, nani atajua mimi nilikupa pesa na ni za nini?.
Ni mpaka mimi niliyekupa pesa, nitakapokuja tena kwako na kukuambia naomba nionyeshe gari ya wagonjwa uliyonunua, hujaonyeshwa ndipo unaripoti. Dr. Mpango ni mpokeaji tuu, unapofanyika ubadhirifu, bila ya yeye kuambiwa, atajuaje?.
P
No hata wewe kwenye matumizi ya nyumbani kwako, ukiishatoa pesa ya kununua kila 20 za mchele na kumpa wife, wife nae kampa dada, wewe huwa unarudi jikoni kukagua kama hizo kilo 20 zimenunuliwa?. Anayepaswa kukagua ni wife, asipokujulisha kuwa nimekagua jikoni, dada kapiga, wewe huwezi kujua.Kwahiyo wajibu wake unaishia kwenye kuzipokea pesa tu? Baada ya hapo ni kila mtu kivyake?
Ndiyo maana JPM hana mswalie mume na Watumishi wa Umma. Anatumbua tu