Ubadhirifu wa USD 400,000 za Sekta ya Afya: Philip Mpango alikuwa wapi mpaka aambiwe na Global Fund wenyewe?

Stuxnet,
Mie naona CAG huyu sio kama yule, huyu hataki mikwaruzano na miimili, yaani yupo tu hadi ahambiwe fuatilia hiki vinginevyo anaacha tu, sasa ni bora chombo hiki kikifutwa tu, watu waagizwe wajikague wenyewe!
 
Pascal Mayalla,
Paskali,
Issue hapa siyo validity ya swali... kaka yangu hizo hela zimeenda wapi na yeye ndo mpokeaji? Anaposema atafuatilia maana yake mpaka muda wa kuulizwa hilo, hakuwa na taarifa yoyote juu ya hilo....

Haya ni matokeo ya kutosikiliza wengine. mtu anaweza akawa na valid issue lakini kwa vile wa kuambiwa siyo msikilizaji, matokeo ndo haya
 
Back
Top Bottom