ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,242
- 8,323
Pascal Mayalla,
Naona siku hizi umekuwa mtetezi wa serikali kama Ndugai.
Naona siku hizi umekuwa mtetezi wa serikali kama Ndugai.
Tabia asili yetu kuanzia wenye maslai bora hadi wenye maslai duni,watawala wanaibia wananchi,baba anapiga ofisini anampa mama mama anapiga anasaidia kwao,dada wa kazi nae anapiga anatuma kwao,jamii nzima ni wapigaji kuanzia juu hadi chini.Ufisadi,wizi,upigaji,rushwa ndo chanzo cha ufukara wetuHivi serikalini kuna watu wengine watu walisomea kuiba? Mbona watu wizi, rushwa na ubadhilifu haukomi?
Huyu CAG wa sasa aliyekuwa TRA yeye ni CAG kivuliUkishadhibiti uhuru Wa habari,ukamtimua CAG mzalendo Assad,Huku ukiubinya upinzani usikohoe,mafisadi kina dau wakitunukiwa ubalozi wakazitumbue vizuri,wenye ushahidi wa video wa rushwa wakikumbatiwa ,huku mahakama ya mafisadi ikiota nyasi uhitaji kujiuliza jibu
Tutashuhudia mengi madudu ya awamu yatakuwa wazi awamu nyingineHuyu CAG wa sasa aliyekuwa TRA yeye ni CAG kivuli
Du kwa comment hii watoto ndio waathirika wakuu sasa. Hawapati huduma kama baba yao alivyokusudia.Tabia asili yetu kuanzia wenye maslai bora hadi wenye maslai duni,watawala wanaibia wananchi,baba anapiga ofisini anampa mama mama anapiga anasaidia kwao,dada wa kazi nae anapiga anatuma kwao,jamii nzima ni wapigaji kuanzia juu hadi chini.Ufisadi,wizi,upigaji,rushwa ndo chanzo cha ufukara wetu
Utawala bora, bora, bora, kila siku! Jiulize ni nini wanachotaka kuona ili wakiite utawala bora? Usilazimishe kuona kisichokuwepo. We unaamini US inaheshimu utawala bora wa nchi zingine. Tuna matatizo ya maisha tnasingizia wengine. Tukiona anayetusaidia kuzomea, tunaunga mkono bila kujua anazomea nini!Bajeti ya sekta ya Afya inafadhiliwa na na mataifa ya Ulaya na America kwa takriban 80%. Yaani kwa kila Shillingi inayotumika kutibu binadamu Tanzania, Senti 80 imaletwa na wafadhili kwenye dawa za ukimwi, malaria, Kifua Kikuu, Uzazi wa Mpango, Chanjo za watoto na magonjwa yaliyo sahauliwa.
Unashangaa nchi tegemea kama hii, wafadhili hao hao wakiuliza kuhusu utawala bora tunawaita mabeberu.
Yani kabisaa tunakula nankipofu ukopita huku serikali kuu na kwenye almashauri saaa hv wote tuna kadi ya kijani. Alafu post zetu insta na fb ni full kusifia awamu.Watumishi wa umma wanajua kula na kipofu, Wanapiga mpunga uku wanampigia mapambio. AWAMU HII YA TANO NDIO YA MAJIZI HAIJAWAHI KUTOKEA
Watoto wengi ulishwa viporo na mama zao au Dada Wa kazi ili wabanie pesaDu kwa comment hii watoto ndio waathirika wakuu sasa. Hawapati huduma kama baba yao alivyokusudia.
Sisi wenyewe tunaheshimu utawala bora nchini mwetu?We unaamini US inaheshimu utawala bora wa nchi zingine.
Mapambio tu? wengine hadi viuno walikata majukwaani.Watumishi wa umma wanajua kula na kipofu, Wanapiga mpunga uku wanampigia mapambio. AWAMU HII YA TANO NDIO YA MAJIZI HAIJAWAHI KUTOKEA
Kwa mazingira ya kukataa kukosolewa na kuzuia shghuli za kisiasa na Uhuru wa kutoa maoni na vitisho vinavyotolewa serikali ya awamu ya tano' itajikuta ndio serikali ambayo ina janga kubwa la rushwa na ufujaji/ufisadi kuliko awamu zote ambazo aidha zinaigusa Ikulu yenyewe au taasisi zake au watumishi wake.