Ubachela na wenyewe ni kazi(ajira)

Ubachela na wenyewe ni kazi(ajira)

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,345
Yaani sa hv ndo nimefika nyumbani kutoka ofcn napokelewa na giza umeme umekatika,kupika na kwenyewe nimechoka,hakuna hata mtu wa kunipokea,dah.....
 
Ubachela noma unaweza kukuta unakula ugali mboga sukari.au anasonga ugali mmoja unaweka kwenye sahani kubwa na mweingine kwenye bakuri then wa kwenye bakuli una let=mboga.
 
Hahahahahahhaahah


Ubachela noma unaweza kukuta unakula ugali mboga sukari.au anasonga ugali mmoja unaweka kwenye sahani kubwa na mweingine kwenye bakuri then wa kwenye bakuli una let=mboga.
 
Ol the best my kaka, na pole for boredom!
 
Back
Top Bottom