Nchi haina utawala wa sheria kila mpuuzi anaweza kuibuka na upuuzi wake hata kama ni kinyume cha katiba ili tu kuhakikisha maccm yanaendelea kuminya haki za Watanzania, vyama vya siasa na pia vyombo vya habari.
As long as unasifia ujinga, then ur free to do any thing. Kujipendekeza tu.Nchi haina utawala wa sheria kila mpuuzi anaweza kuibuka na upuuzi wake hata kama ni kinyume cha katiba ili tu kuhakikisha maccm yanaendelea kuminya haki za Watanzania, vyama vya siasa na pia vyombo vya habari.
Halafu baada ya uvunjaji wao wa sheria makusudi, anaibuka Waziri Mkuu kutaka mazungumzo na vyama vya siasa kama vile yeye ndie mahakama ya kutafsiri sheria.
Kama sheria iko wazi vyama vya siasa viko huru kufanya kazi zao, viachwe vifanye, sio kuwazuia kwa maslahi binafsi ya CCM, halafu kiongozi wa CCM anataka awe msuluhishi, hizi ni bangi.
Naunga mkono vyama vya siasa vilivyokataa kukutana na msajili , IGP pamoja Waziri Mkuu , hawa hawana uwezo wa kusuluhisha lolote
Kama CCM inaweza kumfukuza kazi MSAJILI wa VYAMA ITASHINDWAJE KUMWELEKEZA aiandikie Barua Chadema kuwa isifanye MikutanoOfisi ya Msajili wa Vyama na Msajili wana wajibu kwa vyama kama ilivyo kwa vyama, kwao. Hii pia ni kama ilivyo kwa serikali na wote hawa.
Yote hiyo iko kwa mujibu wa sheria wazi na bayana katika katiba.
Migongano inayotokea ni kwa sababu tu ya ukiukwaji katiba, ambapo hayupo aliyejuu ya katiba.
View attachment 1979131
Pasipo kukemewa kwa hali hizi ni pigo kwa utawala wa sheria.
Pasipo na kuzingatiwa kwa sheria na kila mdau katika mukthadha huu, ni pigo kwa utawala wa sheria.
Kutaka kuzalisha mapya yasiyokuwamo kwenye katiba baina wadau (yaani ya serikali, vyama na ofisi ya Msajili) ni pigo kwa utawala wa sheria.
Mambo yasiyo kubalika asilani!
Wakemewe wote wanaotuletea mitafaruku kwa kutokuzingatia sheria kama vilivyo.
Washindwe "vingwendu" wote wanaotaka kufanyia katiba usanii wowote katiba badala ya kuizingatia.
Sheria zipo kwa ajili ya kuheshimiwa. Si zaidi, wala pungufu.
Kama CCM inaweza kumfukuza kazi MSAJILI wa VYAMA ITASHINDWAJE KUMWELEKEZA aiandikie Barua Chadema kuwa isifanye Mikutano View attachment 1979385
Ndo Hawa wamesababisha mpasuko ndani ya taifa, ipo siku Kama sio kesho watahukumiwa KWa matendo yao,
Tutalaumiana Sana ila mwisho wa siku Katiba ndo suluhu.lakini ni vyema CCM wakaona aibuuuuu inakuwaje wao wanasimamia uchaguzi kwenye mfumo wa vyama vingi?? Yaani mtendaji,mkurugenzi na wasimamizi wote wa uchaguzi ni makada wa CCM alafu baada ya uchaguzi tunatangaziwa CCM imeshinda kwa kishindo kwani huwa wanashindana na nani??