mlipeni mkulima dhulumat nyinyi !
View attachment 1270734
Kwa ufupi sana huyu ni mkulima aliyelima na kufuga Tanzania enzi za Mwl Nyerere , ambapo mashamba , mifugo na ndege zake ndogo 5 zilitaifishwa na serikali ya wakati huo , akaenda mahakama za Tanzania ambapo akashinda na mahakama kuamuru alipwe fidia , awamu zote zilikuwa zinamlipa kidogo kidogo , lakini awamu ya 5 yenye akili kuliko awamu zingine ikaamua kutomlipaSorry kwa kuuliza kiongozi, hivi huyu jamaa ni mkulima wa nini na mashamba yake yako wapi mkuu..?
Na ikawaje akawa anaidai serikali ya
Tanzania sorry for asking mkuu. Thanks.
Hawa jamaa, hawajui waseme nini muda gani na wapi, kiufupi hawajielewi hivyo wanasababisha taharuki katika jamii nzima.Majukumu ya wapinzani hapa Tz ni kuchukua tahadhali wasibambiwe Kesi Mahakamani, wasitekwe au wasimiminiwe risasi na watu wasiojulikana, wasikamatwe na kuswekwa ndani kwa kosa la vikao vya ndani.
Tunaiomba serikali ifunge na balozi wa Canada hapa nchini na madam balozi aondoke faster!!! LOL
Tatizo la hawa ndugu zetu, hawaelewi nini maana ya vyama vya upinzani, hawaelewi waseme nini katika situation flani, waseme vipi, na muda gani sahihi wa kufanya hivyo, basi kwakuwa hawajielewi, wanasababisha taharuki katika jamii, kwa bahati mbaya sana, tunajenga kizazi chenye uelewa potofu wa vyama vya upinzani. kuna haja ya hawa jamaa kupewa elimu ili wasiendelee kupotosha. Yaani inafika mahali mtu anadhani kulisema vibaya Taifa lake eti huo ndio uzalendo na ndio upinzani wenyewe. Haiko hivyo ndugu zangu.Upinzani ni kuuza sera mbadala la sio kuharibu image ya Taifa.Kila mkiambiwa ukweli mnakimbilia upinzani mnashindwa kupanua bongo zenu mtatue tatizo
Sio kila awaelezae ukweli ni mpinzani
Hiyo stroke ya ubongo mliyopata itawamaliza mnajiona
Kwa zile tabiri zako hata mimi naamini wewe ni prophet of doomPAngalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
Wanabodi, Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo...www.jamiiforums.com
Jembe Ulaya tena? Unamaana? Jembe Ubeberu?Kwanza wewe ni mjingaa hunielewi na Wala haujitambui..nadhani utakuwa huna maelewano mazuri na mmeo mama.. chombo gani hapa duniani chenye kutoa Haki ya kisheria..hii nayo hujui..au unadhani mtu anajiamulia tu kwamba halipi Deni...kazi ipo kweli ya kufundisha na sio kuelumisha Hawa manyumbuu..na kazi hii ya kufundisha tutaendelea nayo mpaka mnyooke shwainnnn....yy..eti upinzani..hivi kweli TZ Kuna upinzani au upingaji..wapinzani wa ukweli ni wale walioelewa Nini nchi yetu tunataka, na baada ya kuona yanatekelezwa kwa uzalendo tu wakaamua kujiunga na timu ya Magufuli ili kuunganisha nguvu kwenye mapambano..hao wengine huko no wachumia tumbo tuu..wanatafuta mkate wa watoto..hawana lolote..asilimia 90 ya wananchi wapo nyumba ya jembe ulaya Magufuli,, upooo
Image ya taifa inaharibiwa na wanaokataa kulipa madeni, unadhani huyo Boer angekuwa amelipwa haya yote yangekuwepo?Tatizo la hawa ndugu zetu, hawaelewi nini maana ya vyama vya upinzani, hawaelewi waseme nini katika situation flani, waseme vipi, na muda gani sahihi wa kufanya hivyo, basi kwakuwa hawajielewi, wanasababisha taharuki katika jamii, kwa bahati mbaya sana, tunajenga kizazi chenye uelewa potofu wa vyama vya upinzani. kuna haja ya hawa jamaa kupewa elimu ili wasiendelee kupotosha. Yaani inafika mahali mtu anadhani kulisema vibaya Taifa lake eti huo ndio uzalendo na ndio upinzani wenyewe. Haiko hivyo ndugu zangu.Upinzani ni kuuza sera mbadala la sio kuharibu image ya Taifa.
Ni kwamba huko nyuma hawakuwahi kusema wana mapesa mengi tena cash, hawakujimwambafy kujionyesha tunapesa, huko nyuma tulikuwa tunalialia hivyo tulionewa huruma.Unadhani kwanini Kama Deni lipo halikuweza kulipwa katika awamu nne zote zilizopita..tuanzie hapo.kudadavua kabla hatuja shauri Sasa kulipwa kwa Deni hewa Hilo.
jomba deni ni deni haijalishi mdaiwa hana pesa..hahahaha..si wangeweka basi kwenye kumbukumbu za madeni..mbona deni la Taifa lipo tangu miaka ya sabini,70,80..kwani kipindi hicho tulikuwa na hela..miaka ya 80,90 tulikuwa hoi lakini deni lilikuwepo na tulikuwa tunaendelea kulilipa..acha bana siasa za majitaka jomba.Ni kwamba huko nyuma hawakuwahi kusema wana mapesa mengi tena cash, hawakujimwambafy kujionyesha tunapesa, huko nyuma tulikuwa tunalialia hivyo tulionewa huruma.