Sasa
Sasa watz kila kitu wanaanzisha mada, sana sana kuhusu au crdb au kimei. Na mleta mada sio aliyekatwa au kudhulumiwa na mpambe tu, mwenye ushaidi nimeambiwa, nimesikia kwa rafiki yangu. Nawashauri crdb au kimei, kwa malalamiki ya kijinga yaliyojaa jf, insta nk nk ayakompile nimsaidie kisheria at no pay. Mkilea huu ujinga eti mteja is right mpaka kuwaandika kwenye midia vibaya sio vitu vya kuendekeza. No research remain silent.
Kama mtumishi wa serikali baada ya kupeleka jina kwa mwajiri lazma akuweke kwenye kumbukumbu kama mdaiwa na benki flan, jina likimfikia tarehe25.03.2016 akaliweka ina maana mshahara ukiingia tarehe 27.03.2016 mwajiri atalazimika kuzuia makato tayari regardless ya benki yako kuwa imekamilisha kuweka hela au la. Labda ishu haiko ivi kwa kesi yako- je kama ni ivi then apo wizi unaosema ni upi?
Aya karibu mtukane ila tusiendekeze kulalamika kila kitu