Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Kaa kimya wewe! Seems hujawahi hata kuvuka border
Wewe border umevushwa na King'amuzi cha dstv kifurushi cha 13000 unatuambia nini...tena huku UAE Matajiri ni watoto Wa ma sultan na maprince wengne wanaishi kama watoto yatima na kusubiria misaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unataka kusema nini?ya kwamba utawala wa kimabavu ndio unaleta maendeleo?
Mbona africa imejaa umasikini wa kutisha wakati ndio sehemu iliyo jaa udkiteta?kuliko eneo lolote duniani?
Sasa nyingine ukitaka kuongea kitu jifikirie kwanza.
Kwani nchi isipokuwa na demokrasia ndiyo ya utawala wa kimabavu?
 
Kaa kimya wewe! Seems hujawahi hata kuvuka border
Unasikia story za kwenye Kahawa.... Passport yangu imechafuka Mihuri ya Entry na
Visa Mkuu, Nimeshashuhudia Ombaomba wa Kiarabu Muscat ..... Mimi pia nilishangaa.... Labda mseme Nchi hizo zina Kiwango kidogo cha Umaskini....
 
Juzi juzi wanawake wa Saudia kwa Kashogi ndo wamepata ruhusa kuendesha magari. Ni afadhali umasikini ukiwa huru kuliko kuwa na mali ila mtumwa wa fikra.
Kwa hiyo wa Saudi ni watumwa wa fikra?

Nadhani tuelewe Dunia ni kama familia zetu...kila mmoja huchagua kuiendesha nyumba yake aonavyo.

Tofauti ya maisha ya familia yangu na yako isiwe kigezo cha kupima fikra za familia husika. Maendeleo ya nchi nayo ni suala mtambuka.

Haina maana wanawake wasipoendesha magari ndiyo maendeleo ya nchi yanakimbia kwa kasi. Mbona kuna nchi wanawake walikuwa wanendesha magari miaka na miaka je zote ziliizidi Saudi?....
 
Una uhakika hamna umaskini?
 
Kiufupi maendeleo yanaletwa na watu kujituma na kufanya kazi kwa bidii.
 
Chanzo kikuu cha umaskini kwa nchi za Afrika ni demokrasia.

1.Kumbuka waafrika kwa asili yatu siyo watu wa kujituma kufanya kazi iwe zatu binafsi na hasa hasa za umma (serikali). Ukitubana ili tufanye kazi unaambiwa umevunja demokrasia.

2. Bado wafrika tuna kasumba kuwa serikali ndiyo itatuletea maendeleo. Kiongozi akionyeshe/akisema ukweli kuwa maendeleo ya mtu yataletwa na m2 mwenyewe nayo serikali ni kuonyenye njia au kuboresha vyanzo vya maendeleo km miundombinu, elimu na matibabu unaonekana huna mapenzi kwa unaowaongoza.

3. Nchi za wenzetu tunaosema wana demokrasia wakihitimisha uchaguzi ndiyo mwisho wa mikutano ya siasa. Chukulia mfano USA humsikii tena mama Climton akiwa majukwaani anaendelea na siasa. Amekiachia chama kilichoshinda kiendelee kuiongoza nchi. Lakini huku kwetu tunataka mikutano ya hadhara siku na masaa yote eti ndiyo demokrasia!! Tunapumbazwa ba hao wahubili demokrasia







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika tufanye kazi. Tuache uvivu tukidhani mafanikio ni vyama vingi na kus(w)ali na kuhiji tu.
 
HIZO NCHI ZA KIARABU ULIKUA UNAFANYA NINI HUKO? NA MOMBASA ULIFIKA? USIKUTE ULIKUWA UNAKAA NYAGWA AFU UNAKUJA HUMU KUTULETEA UVIMBWIZI
 
Mbona pia kuna nchi kama Swazland hakuna demokrasia lakini haina maendeleo ya maana na ina masikini? Unataka kujustify nini hapa? Hao waaarab wamefanikiwa kututilize vizuri resource yao ya mafuta kujenga nchi zao.
Sisi hilo ndilo limetushinda.
 
Mbona pia kuna nchi kama Swazland hakuna demokrasia lakini haina maendeleo ya maana na ina masikini? Unataka kujustify nini hapa? Hao waaarab wamefanikiwa kututilize vizuri resource yao ya mafuta kujenga nchi zao.
Sisi hilo ndilo limetushinda.
Asante Mkuu kwa kumjibu huyo kada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…