Uanzishwaji wa Tamthiiya isiyo na kikomo

Uanzishwaji wa Tamthiiya isiyo na kikomo

ngoja tuwape script tuone wewe huko nafasi ipi ila
wewe utacheza nafasi ya mke mwenye maadili tutakupangia mumeo wa kushiriki naye ambaye yeye atakuwa mpinzani wako kwa upande wa maadili
Mie nitaigiza kama nani?
 
ngoja tuwape script tuone wewe huko nafasi ipi ila
wewe utacheza nafasi ya mke mwenye maadili tutakupangia mumeo wa kushiriki naye ambaye yeye atakuwa mpinzani wako kwa upande wa maadili



Teh Teh Teh Teh

Hii kitu mbona iko pouwa sn!!!!


ladyfurahia ulikua wapi kuleta hili wazo?


Yani ktk hizo MNAITA SCRIPT MSISAHAU KUANDAA YA MIMI NA Mr Rocky Na Yule binti machachali sn miss chagga

Ila sijaona umemtaja Khantwe wangu jamani!


Pamoja sn ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
wewe utaigiza kama mnywaji sana ambaye huna muda na familia yako wala huijali kabisa

subiri script toka kwa mkuu Tized
Ohhh ladyfurahia unapoandika jina langu usiweke nukta kati ya mr na rocky hakuna nukta hapo ni Mr Rocky
Asante sana na ningependa nijue natokea wapi aise kwenye hii tamthilia ila isiwe kama isidingo isiyoisha
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Weka story.
Fanya casting
Script na plot tutamaliza wenyewe!
Humu humu lakini,hayo ya mwananyamala wachana nayo!
I'm IN!

Point Ya Msing Sana, Mambo Ya Mwananyamala Tena Hayo Itakua Too Complicated Na Ya Dar
 
Back
Top Bottom