Uandaaji wa soseji

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,232
Watuamiaji wa soseji tuambiane,soseji ukinunua unakula hivo hivo?unaipasha kwenye mafuta?niambieni ukinunua soseji hatua gani zinafuata za upishi au kula hivo hivo?

c.c mkwe farkhina
 
Watuamiaji wa soseji tuambiane,soseji ukinunua unakula hivo hivo?unaipasha kwenye mafuta?niambieni ukinunua soseji hatua gani zinafuata za upishi au kula hivo hivo?

c.c mkwe farkhina

Utakavyopenda kuchemsha au kukaanga
 
Last edited by a moderator:
chaguo ni lako tu, kutafuna hivohivoo za baridi, kupasha kwenye mafuta, kupasha kwenye grill, kuztengeza na tambi, kuztengeza rosti, machaguo mengi, ni juu yako tu upendeleo wako na unataka kuzila na nini, hata dukan ukinunua tu unaweza kununua na juisi unaanza kuzishambulia njiani huku unaongea kwenye simu na particles zinarukaruka, saafi!
 
Viol kwa nini kuna nyengine hazifai kuchemsha? Mi za kuchemsha ndo nazipenda
 
Last edited by a moderator:
chaguo ni lako tu, kutafuna hivohivoo za baridi, kupasha kwenye mafuta, kupasha kwenye grill, kuztengeza na tambi, kuztengeza rosti, machaguo mengi, ni juu yako tu upendeleo wako na unataka kuzila na nini, hata dukan ukinunua tu unaweza kununua na juisi unaanza kuzishambulia njiani huku unaongea kwenye simu na particles zinarukaruka, saafi!
mkuu CYBERTEQ hebu nifafanulie huwa mahotelini nakuta hizo za kutengeneza na tambi au rosti,zinatengenezwaje?
 
Last edited by a moderator:
Hapana bwana, u just boil kwa dkk kama 1 au 2 sasa unataka uchemshe kama maharage? Viol
nilifanya kosa kuzichemsha kama mayai,but kuna upikaji na tambi mdau hapo juu aligusia bila kuelezea,but huwa na tambi ni tamu mno sijui unajua upikwaje wake na tambi? Angel Nylon
 
Last edited by a moderator:
farkhina hebu kam vere fast!

Mimi nnazonunua nnaeza kuchemsha tu au kukaanga. Huwa napenda kuzipika na tambi au kunywea chai asubuhi...
 
Last edited by a moderator:
farkhina hebu kam vere fast!

Mimi nnazonunua nnaeza kuchemsha tu au kukaanga. Huwa napenda kuzipika na tambi au kunywea chai asubuhi...
mkuu tuelekezane huo upishi wake na tambi,wengine hii mitaa soseji zipo cheap zaidi,ila huo upishi wake na tambi huwa sielewi na zinanendana sana na tambi
 
Back
Top Bottom