Uanasiasa wa Lowasa ni mashaka matupu.

Uanasiasa wa Lowasa ni mashaka matupu.

Uwezo wa kuiteka hadhira ni F kabisa.....asipobebwa na wajuzi wa hoja.....EL atakuwa kituko kipindi cha kampeni
 
Mwenyewe nasubiri siku atakapo toa hotuba nzuri maana kwa.sasa.kusema.ukwli walaaaaa
 
Houtba nzuri anachumbia nani hapa.Uzuri wa hotuba zake ni matendo baada ya kuapishwa.
 
Matendo ya kifisadi?

wewe huoni kuwa uko tofauti na umati wote ,yaani wewe ndo unaona ufisadi wa Lowasa wakati ma boss wako wame quit wameshindwa kuthibitisha ufisadi wewe mlala hoi unakomaa na Rais wa nchi Lowasa Ndo maana jamaa kaita mbweh@
 
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

Watu hawataki Maneno mengi siku hizi wanataka vitendo tu wamechoka na maneno mengi.
 
Watu wameamka hawana mda wa kusikiliza maneno mengi na Hotuba ndefu , Watu wanataka maneno machache vitendo vingi zaidi , mda wa maneno umepita sasa imebakia vitendo tu.
 
Hata kama angetoa hotuba nzuri sana lakini kama unajicho la kinafiki na masikio kama nguruwe hutaisema ni nzuri kwani umekaa kwa ajili ya kutoa kasoro tu.
 
Uwezo wa kuiteka hadhira ni F kabisa.....asipobebwa na wajuzi wa hoja.....EL atakuwa kituko kipindi cha kampeni

Kuelezea nini? Watanzania wengi wanajua jinsi walivyofanyiwa vioja Kwa miaka 50 wananchi wa sasa hawataki maneno maneno mengi Hotuba ndefu Watu wanataka vitendo hayo maneno peleka ccm.
 
Tumesikiliza hotuba nyingi nzuri tamu sana na za kupendeza masikioni kwa miaka zaidi ya 50 sasa hongereni kwa hotuba zenu zimetupa mambo mengi sana ikiwemo kufa kwa viwanda vya ndani(e.g general tyre),sakata la rada, ndege ya rais, epa, escrow, richmond bila kusahau maisha bora kwa kila mtanzania na tunasema asanteni ni muda wakusema bye bye hotuba nzuri all we want is CHANGE period.
 
Kumbe ulitegemea nn jipumzishe na ww kama lip
 
Hata kama angetoa hotuba nzuri sana lakini kama unajicho la kinafiki na masikio kama nguruwe hutaisema ni nzuri kwani umekaa kwa ajili ya kutoa kasoro tu.

Watanzania wa sasa wapo Digtal hawataki maneno mengi kabsa wamechoka na maneno mengi wanataka vitendo vingi maneno machache.
 
Tumesikiliza hotuba nyingi nzuri tamu sana na za kupendeza masikioni kwa miaka zaidi ya 50 sasa hongereni kwa hotuba zenu zimetupa mambo mengi sana ikiwemo kufa kwa viwanda vya ndani(e.g general tyre),sakata la rada, ndege ya rais, epa, escrow, richmond bila kusahau maisha bora kwa kila mtanzania na tunasema asanteni ni muda wakusema bye bye hotuba nzuri all we want is CHANGE period.

Ni kweli Watu sasa wamechoka na Hotuba ndefu au nzuri Watu wanataka vitendo zaidi Hotuba nzuri zimewatafuna watanzania miaka nenda ludi pasipo kufanya la maana.
 
Rais wetu huwa anatumia saa zima kuongea ila point ni dk 5 nyingine porojo tu, El dk 10 zote point

Sasa ni mda wa vitendo zaidi watanzania hawataki maneno mengi tena.
 
usiponiheshimu mimi utaheshimu pesa yangu.

Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
 
Mengi yatasemwa kuhusu Lowassa,ila kibaya zaidi wakati ishawapita
 
Back
Top Bottom