Uanasiasa wa Lowasa ni mashaka matupu.

Uanasiasa wa Lowasa ni mashaka matupu.

Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
kwani amekuwa mc huyo!
 
Ebu tusaidiane kuimba haka kamwimbo:
Kama sio, kama sio JUHUDI ZAKO KIKWETE LOWASA TUNGEMPATA WAPI X2
 
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

Hakika mwaka wa miujiza....ni mwaka 2015.

CCM mlizoea kudanganya...kwa miaka 54..sasa mwisho umefika....

vipofu wanaona.....

viziwi wanasikia....

viwete wanatembea....

wajinga na wapumbavu wooote wamekuwa werevu..kila mtu atapiga kura...

mwaka huu hata washirikina wataandamana kupiga kura za haki.

Hakika...Tanzania inazaliwa upya...asie amini asubiri october 25.

MUNGU IBARIKI TANZANIA...

MUNGU MBARIKI LOWASSA.....
 
Mpaka sasa hivi sijajua kwa nini Lowassa analazimisha kuwa Rais wa Tanzania.
 
Nchi haingiozwi kwa hotuba!

Siasa wana CDM wamegeuka watu wa kudefend tu, kila wakifanya hiki wao wanashambuliwa sasa hapa na wewe unacheza defensive kitu ambacho hakikuwa utaratibu Wa CDM ..attacks zimewasonga sana poleni na hapo ndo kwanza ngoma mbichi, mtajikuta mmesogezwa mpaka kwenye kona
 
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

Tutajua hayo tarehe 25.10.2015
 
Ninatamani aupate huo urais ili tujionee hizo fedha mtakazomwagiwa na maendeleo makubwa.here we go.....october
 
Mpaka sasa hivi sijajua kwa nini Lowassa analazimisha kuwa Rais wa Tanzania.

Alitaka kutupeleka vitani na Malawi kwa kusema jeshi liko tayari wakati anayetakiwa kuamrisha majeshi ni Rais, huyu jamaa hata akiri hana kabisa, waziri wa mambo ya nje yuko, mkuu Wa majeshi yupo, rais yupo ila yeye akaona alisemee jeshi ..sijuhi kama nani? sisi tunaoratibu uwezo wa kuongoza tunamwona huyu jamaa hazimo kabisa, ni mrafi na hana busara katika umri wake eti anahama chama, unajiuliza miaka yote hiyo alingoja nini mpakabanakuwa mzee? mbona tunaambiwa wazee wana busara yeye kapeleka wapi? mbona wazee wenzie waliokatwa wametulia na wamejiheshimu na kuheshimu busara zao, huyu jamaa hafai hata kwa ujirani mwema
 
Hotuba Tumezisikia Sana,tuwewachoka.Pelekeni Upuuzi Wenu Dodoma
 
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

Miaka 50 maneno mengi bila vitendo Watu wamechoka, Watu hawataki mbwembwe wala Hotuba za maneno matamu , Watu wanataka maneno machache lakini vitendo vingi .
 
Hotuba Tumezisikia Sana,tuwewachoka.Pelekeni Upuuzi Wenu Dodoma

Watu wanataka maendeleo mda wa maneno maneno ulipita hiyo ni Style ya ccm , huku Ukawa style yake ni maneno machache yenye point nyingi na vitendo vingi .
 
kuongea ni kipaji lakini mtu anaweza kujifunza.

Watanzania hawataki vipaji vya kuongea wamechoka na maneno wanataka vitendo na maendeleo kwanza wamechoka kusubiri sasa Miaka 50 imetosha .
 
Chadema wanachekesha sana, 2010 walivyokuwa na bingwa wa kuongea na kujenga hoja ambaye sahivi wamemtosa (Dr Slaa) walikuwa na mbwembwe balaa hadi wakawa wanaomba mdahalo wa wagombea kama wafanyavyo Marekani ili kuwapima uwezo wagombea, ila sahivi kwa vile mgombea wao ni dhaifu kwenye kuongea wamechange motion na kusema hawataki muongeaji wanataka vitendo, lol...
 
Sasa vitendo vyenyewe hata leo karibia adondoshe mic mikono ya Lowassa inavyotetemeka kwa Parkinson Disease. ..
Wasitutanie kabisa!
 
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

Umezoea kusikiliza hotuba zinazoishia na sentensi za Escrow sio hela za UMA,huwezi ukawaelewa wanasiasa Wengine,wasiotaka kudanganya watu
 
Sasa vitendo vyenyewe hata leo karibia adondoshe mic mikono ya Lowassa inavyotetemeka kwa Parkinson Disease. ..
Wasitutanie kabisa!

Yaani ni shida, akipanda juu ya jukwaa inabidi kuwe na mtu kwa nyuma wa kumuangalia kwa ukaribu maana anaweza kuanguka mda wowote
 
Back
Top Bottom