Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.
kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

Yaani ni shida, akipanda juu ya jukwaa inabidi kuwe na mtu kwa nyuma wa kumuangalia kwa ukaribu maana anaweza kuanguka mda wowote
Alitaka kutupeleka vitani na Malawi kwa kusema jeshi liko tayari wakati anayetakiwa kuamrisha majeshi ni Rais, huyu jamaa hata akiri hana kabisa, waziri wa mambo ya nje yuko, mkuu Wa majeshi yupo, rais yupo ila yeye akaona alisemee jeshi ..sijuhi kama nani? sisi tunaoratibu uwezo wa kuongoza tunamwona huyu jamaa hazimo kabisa, ni mrafi na hana busara katika umri wake eti anahama chama, unajiuliza miaka yote hiyo alingoja nini mpakabanakuwa mzee? mbona tunaambiwa wazee wana busara yeye kapeleka wapi? mbona wazee wenzie waliokatwa wametulia na wamejiheshimu na kuheshimu busara zao, huyu jamaa hafai hata kwa ujirani mwema
Bora umenisaidia katika hili, yaani sio sio siri ni hewa tupu. Nilikuwa na wana ukawa hapa tunasubiri kwa hamu hotuba ya bwana mkubwa, wameishia kuona aibu tu. Washaanza kukata tamaa kuwa jamaa atachuja ndani ya muda mfupi SANA BORA MARA MIA YA Mrema. Wameiunga mkono CCM kumkata, na wako wanajuta kumpoteza slaa mtu mwenye convincing power na afya imara. Kwakweli kama kuna anaweza kushawishiwa na Lowassa, atakuwa na matatizo ya msingi, tuseme ukweli tu.
Matendo ya kifisadi?
Wanasiasa wengi makini si wazungumzaji sana!!
Rais wetu huwa anatumia saa zima kuongea ila point ni dk 5 nyingine porojo tu, El dk 10 zote point
Bora umenisaidia katika hili, yaani sio sio siri ni hewa tupu. Nilikuwa na wana ukawa hapa tunasubiri kwa hamu hotuba ya bwana mkubwa, wameishia kuona aibu tu. Washaanza kukata tamaa kuwa jamaa atachuja ndani ya muda mfupi SANA BORA MARA MIA YA Mrema. Wameiunga mkono CCM kumkata, na wako wanajuta kumpoteza slaa mtu mwenye convincing power na afya imara. Kwakweli kama kuna anaweza kushawishiwa na Lowassa, atakuwa na matatizo ya msingi, tuseme ukweli tu.
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.
kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
sijaelewa kwa iyo unasema anaongea dk 10 ila pesa inambeba inamaana muda mwingi anagawa izo pesa zake?
Bora umenisaidia katika hili, yaani sio sio siri ni hewa tupu. Nilikuwa na wana ukawa hapa tunasubiri kwa hamu hotuba ya bwana mkubwa, wameishia kuona aibu tu. Washaanza kukata tamaa kuwa jamaa atachuja ndani ya muda mfupi SANA BORA MARA MIA YA Mrema. Wameiunga mkono CCM kumkata, na wako wanajuta kumpoteza slaa mtu mwenye convincing power na afya imara. Kwakweli kama kuna anaweza kushawishiwa na Lowassa, atakuwa na matatizo ya msingi, tuseme ukweli tu.
,Akiri=Akili
Mrafi =Mlafi.
Banakuwa=Anakuwa
Mkuu hapo umejichanganya. Lowassa angewezaje kuingiza nchi vitani wakati mwenyewe unakiri raisi ndiye mwenye uwezo huo? Ni kweli hujui kwa nini alisema jeshi liko tayari wakati ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi? Ulitaka aseme jeshi liko usingizini? Kusema jeshi liko tayari ni kutangaza vita?
Hivi huwa kuna umri uliowekwa na katiba ya nchi kuhama chama kimoja na kwenda kingine. Unaposema Lowassa alingoja nini mpaka anakuwa mzee ndio anahama kwani uamuzi wa kuhama chama hujui kuwa ni wa mwanachama mwenyewe? Kwamba alisubiri nini hilo linakuhusu nini wewe? Kwani amekuambia uhame na wewe? Halafu kumbe hamjui kuwa wazee wana busara mpaka muambiwe kama unavyosema?
Hao unaowaita wazee wenzake waliokatwa kwamba wametulia ni kweli wametulia kwa sababu hawana ujasiri wa kusema kile wanachokiamini. Mzee Kingunge alikuwa jasiri na sio mwoga wa kusema kile anachokiamini. Unapokuwa hutendewi haki hata kama kuna wengine milioni moja hawatendewi haki kama wewe, na wameamua kukaa kimya, wewe mmoja unaweza kuendelea kudai hiyo haki bila kusubiri kuungwa mkona na hao milioni. Sawa mkuu?