Uanasiasa wa Lowasa ni mashaka matupu.

Uanasiasa wa Lowasa ni mashaka matupu.

igp

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
839
Reaction score
544
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
 
Ucwaze igp tutampa maguful.maaana hotuba zake anatoa poaint
 
Last edited by a moderator:
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

Hata asimsmishwe shetani ukawa itamchagua kuliko ccm this time tunawazika kaburi lishachimbwa tayari dodoma .
 
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

hotuba nzuri bila vitendo inakusaidia nini?

ngumbaru bhana
 
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

unata muongeaji kama rais kikwete ukitaka kula sharti uliwe sio ndo lauli zake....sio
 
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
Sisi hatuhitaji maneno bali vitendo Lowassa mbele kwa mbele.
hahahaha! kama nabii Musa, alikuwa hauji kabisa kuongea, Mungu akampatia ndugu yake Harun kuwa msemaji wake. kazi ya Musa ilikuwa ni kutenda tu! Hajapata kutokea kama yeye miongoni mwa Mayahudi!
 
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.

kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.

Bora umenisaidia katika hili, yaani sio sio siri ni hewa tupu. Nilikuwa na wana ukawa hapa tunasubiri kwa hamu hotuba ya bwana mkubwa, wameishia kuona aibu tu. Washaanza kukata tamaa kuwa jamaa atachuja ndani ya muda mfupi SANA BORA MARA MIA YA Mrema. Wameiunga mkono CCM kumkata, na wako wanajuta kumpoteza slaa mtu mwenye convincing power na afya imara. Kwakweli kama kuna anaweza kushawishiwa na Lowassa, atakuwa na matatizo ya msingi, tuseme ukweli tu.
 
Ww mzm kweli? Na anayetakiwa kulinda fedha zetu unamjua?
Au unakuja kuropoka tu huu?

Alaf mbona nyie watu wa hapo,
Lumumba akili zenu zinawiyana?
Yaan cjuh kama huwa mnafikir kwanza
Kabla ya kupost?
 
Dawa inapochemka jikoni mengi husemwa ili kujifariji au kujaribu kupunguza makali yake na hata kutengeneza mazingira ya kutokunywewa, ila ikiiva!!!
 
Bora umenisaidia katika hili, yaani sio sio siri ni hewa tupu. Nilikuwa na wana ukawa hapa tunasubiri kwa hamu hotuba ya bwana mkubwa, wameishia kuona aibu tu. Washaanza kukata tamaa kuwa jamaa atachuja ndani ya muda mfupi SANA BORA MARA MIA YA Mrema. Wameiunga mkono CCM kumkata, na wako wanajuta kumpoteza slaa mtu mwenye convincing power na afya imara. Kwakweli kama kuna anaweza kushawishiwa na Lowassa, atakuwa na matatizo ya msingi, tuseme ukweli tu.

Amekufundisha nani hadithi hii..?
 
Back
Top Bottom