Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,867
Nchi haingiozwi kwa hotuba!
Kama unapenda hotuba, zipo nyingi tu za Nyerere kwenye youtube, just your internet bundle. Lowassa ni kazi tu, wala hakuhitaji hotuba kuvunja mkataba wa kinyonyaji wa City Water, na wala hakuhitaji hotuba kusimamia ujenzi wa shule za kata, na wala hakuhitaji hotuba kuwaamuru wakuu wa wilaya nchi nzima kuchongesha madawati katika shule za maeneo yao. Endelea kusubiri hotuba!Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu...
Bora umenisaidia katika hili, yaani sio sio siri ni hewa tupu. Nilikuwa na wana ukawa hapa tunasubiri kwa hamu hotuba ya bwana mkubwa, wameishia kuona aibu tu. Washaanza kukata tamaa kuwa jamaa atachuja ndani ya muda mfupi SANA BORA MARA MIA YA Mrema. Wameiunga mkono CCM kumkata, na wako wanajuta kumpoteza slaa mtu mwenye convincing power na afya imara. Kwakweli kama kuna anaweza kushawishiwa na Lowassa Du jamaa una roho ngumu sana!
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.
kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
Hata asimsmishwe shetani ukawa itamchagua kuliko ccm this time tunawazika kaburi lishachimbwa tayari dodoma .
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.
kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu.
kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na kitu gai.
Mchaka mchaka.......nauchukia umaskini kama ukoma....watatuwezaaa..........tutaingia ikulu tar 25 asubuhi...hayo ndo maneno anayoweza kuongea

Bora umenisaidia katika hili, yaani sio sio siri ni hewa tupu. Nilikuwa na wana ukawa hapa tunasubiri kwa hamu hotuba ya bwana mkubwa, wameishia kuona aibu tu. Washaanza kukata tamaa kuwa jamaa atachuja ndani ya muda mfupi SANA BORA MARA MIA YA Mrema. Wameiunga mkono CCM kumkata, na wako wanajuta kumpoteza slaa mtu mwenye convincing power na afya imara. Kwakweli kama kuna anaweza kushawishiwa na Lowassa, atakuwa na matatizo ya msingi, tuseme ukweli tu.