Uamuzi wangu ni huu kwenye mapenzi

Uamuzi wangu ni huu kwenye mapenzi

Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
Sasa kijana, hao wa 95-97 wanatofauti gani na binadamu wa 2000?

Pole sana,tupe habari kamili ya kuvunjwa moyo nikucheke kidogo😅
 
Mcheki waifu material mnaweza teta jambo.

Labda kwa kukupigia chapuo tu waifu material huyu jamaa ni chef wa jf, shughuli za jf zote yeye ndio huwa kiongozi wa maakuli.

Kwasasa hali yake itakua tete kwakua ofisi imefungwa nchini kwenu ila si haba wanae tutamsave akikwama.

Kila la kheri kwenu.
 
Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
Uko sawa, endelea, lkn usisahau, kwa vyovyote vile, utamhitaji Mungu, so omba.. utapewa.
 
Ukimpenda mwanamke usilianzishe hapo hapo subira ni muhimu sana peaneni walau miaka minne au mitano ya kufahamiana zaidi, alipata mwingine basi HAIKUA riziki, ili jambo lisha kuwa sugu just imagine ndoa ina kaa miezi mitatu inavunjika kwelii, inasikitisha Sanaa, peaneni muda hata miaka mitano mbele ndo mlianzishe hizi haraka znatuhalibia

Fullstop, kwishaaaaa
 
Mcheki waifu material mnaweza teta jambo.

Labda kwa kukupigia chapuo tu waifu material huyu jamaa ni chef wa jf, shughuli za jf zote yeye ndio huwa kiongozi wa maakuli.

Kwasasa hali yake itakua tete kwakua ofisi imefungwa nchini kwenu ila si haba wanae tutamsave akikwama.

Kila la kheri kwenu.
Asante mkuu but sipo tayari kuingia kwenye mahusiano kwasasa
 
Hata wa 2000 wapo watulivu ila tatizo umemkutia wapi,kalelewaje? Na anawachukuliaje wanaume?
Maana mtazamo wake juu ya kiumbe mwanaume ni muhimu sana,mwanamke unamuuliza wanaume unawachukuliaje anajibu "wanaume wote ni mbwa tu" then utegemee ukimwoa atakuona koboko..sahau mkuu

Lakini usisahau pia kujitambua wewe mwenyewe pia,je unastahili kuishi na binti wa watu au ndiyo akavumilie tu
Apo kwenye malezi nakazia, asisahau kuwa watu wametofautiana na hata wahuni huzeeka pia. Kuna watoto wa 2,000 wamenyooka sana mpaka, nipo na wa afu mbili amenyooka kama rula, heshima ipo, utu upo, upendo upo, wa rangi yako nayopenda na nyash juu nitake nini zaidi😅.

Huwa nahisi wazazi wake watakuwa humu jf.
 
Back
Top Bottom