Uamuzi wangu ni huu kwenye mapenzi

Uamuzi wangu ni huu kwenye mapenzi

Hata wa 2000 wapo watulivu ila tatizo umemkutia wapi,kalelewaje? Na anawachukuliaje wanaume?
Maana mtazamo wake juu ya kiumbe mwanaume ni muhimu sana,mwanamke unamuuliza wanaume unawachukuliaje anajibu "wanaume wote ni mbwa tu" then utegemee ukimwoa atakuona koboko..sahau mkuu

Lakini usisahau pia kujitambua wewe mwenyewe pia,je unastahili kuishi na binti wa watu au ndiyo akavumilie tu
Naliwa pesa kila siku
 
Tatizo lako kubwa wewe bwana mdogo unataka kujenga nyumba kwenye uwanja wa kupigilia hema......
IMG_20250906_045440.jpg
 
Back
Top Bottom