Uamuzi wangu ni huu kwenye mapenzi

Uamuzi wangu ni huu kwenye mapenzi

20250914_122556.jpg
 
Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
Kwani tuna ishi milele bulaza kama ume elewa Mali chukua 😆👌 hizi mambo hazina mweyeji ndo mana unapewa cheti kabla ya matokeo yenyewe 😂 nikienda
 
Back
Top Bottom