Uamuzi wa CHADEMA dhidi ya madiwani: "A Big Mistake!"

Why sacking of errant Arusha councilors by CHADEMA is a blessing in disguise?

Dear wana JF,

I first take this opportunity to congratulate the CHADEMA Central Committee for having taken that rare but crucial step in solving matters concerning misbehavioral acts of highest order by its councilors. Though it is vivid the 5 councilors that refused to heed a call by their highest Authority to nullify the "fake Peace Accord" did not adhere to the principles of democracy by intentionally siding out the Party Authority, they consistently contested their great violation of core principles of democracy i.e. collective involvement of fellows in decision making; an action that technically was unhierachical and automatically rendered the Agreement void! yet worked under the umbrella of CHADEMA the party they represented and lost faith in them! Why backing the move by CHADEMA CC? Where there is a democracy then an abuse of the principles (disrespecting the leaders within the party) that guide that democracy we stand for should not be a factor for abusing that same democracy to fullfil one's ego, indiscipline, bad intentions or self-interests! From the onset of the Arusha Municipal councilors' elections of last year everyone knew what was the reason for the crisis that led to three deaths as a result of the use of excessive force by the police under the directives by the ruling party.

What suprises many of us these same councilors that fought together (through peaceful demonstrations)to have proper election procedures followed went on to have their Muafaka with the CCM councilors without informing their respective leaders in the party! What transpired them to do so, no one knows though they claim to be after peace but that same peace they seeked in Arusha was to be a source of irregularities if not a beginning of disrespecting accepted procedures to reach concessors within the party that if all these went uncontained would have tarnished the credibility of the party that has all along advocated the adherence of laid down rules and procedures; the party has long managed to achieve by living through live examples.

More over "Order" (most important ingredient of a stable leadership) would have been lost! I do solily support the action by the CHADEMA CC out of the fact that the councilors were given ample time to withdraw their recognition of the Muafaka, moreover given a chance to meet the CHADEMA CC and put forward their defence of which 5 out of 10 came forward admitted their wrong doings after concessors and apologized whereas the 5 sacked refused (first to face the CC and second to apologize and withdraw their recognition of the Muafaka that sidelined democracy)! A pretty fair democratic procedure by the CHADEMA CC after hard thought deliberations!

What makes me happy though the action taken by the CHADEMA CC that seems as testing waters of democratic atmosphere, has far much more implications to the political barometer of this country as today's politics are concerned! We should not contend with the decision taken so far simply cause it is such same action that voters will measure and judge our performance in comparison to the party at the helm! Moreover in any democratic country taking tough decisions that are risky put a distinction between a party that is smart and ready to even take hard steps that can erode its advantageous position in the name of democracy and the party that is ready to do "laissez faire" business in the protection of its interests and in disregard to the principles of democracy!

It is my strong belief with the current civic education by CHADEMA underway, the residents of Arusha will understand democracy was about to be corrupted and all what the party did was necessary to salvage that same democracy to give the best of their economic and social welfare at large. What remains as a big task of the party behind all this undemocratic instigations is to prove themselves they can match the tempo and do the same with their much publicized "sloughing trials" they have so far been dragging their feet to execute! So people watch this space CCM will try to do the same with their fisadis and hence matching the orders by the CHADEMA the iconic party that lives on pragmatic examples and continues to be a modal of ethical standards!

Long live CHADEMA

Regards
Geza Ulole
 
how is it that hillary was a mistake
hebu explain hapo kwanza

Boss... just admit kwamba umepoteza hoja, tugange yajayo

EMT has explained it very well, because he took time kusoma hoja ya pascal na kupitia references muhimu, mimi na wewe tulikua tunajibu kwa mitazamo general ndio maana mara raila, mara omaba mara etc.

Regia ahs also explained it short and clear

THERE IS NO BIG MISTAKE, SMALL MISTAKE AU NINI CHADEMA ILICHOFANYA NI SAWA NA ITAONDOA KUZAA MIUNGU WATU WANAOSIMAMA CHAMANI KAMA WATU NA SI WANAKONDOO WA CHAMA

KWA CCM HAPO EITHER WANGEWABEMBELEZA, WAKISHINDWA WANGEWAKOLIMBA
 
Dear wana JF,

I first take this opportunity to congratulate the CHADEMA Central Committee for having taken that rare but crucial step in solving matters concerning misbehavioral acts of highest order by its councilors. Though it is vivid the 5 councilors that refused to heed a call by their highest Authority to nullify the "fake Peace Accord" did not adhere to the principles of democracy by intentionally siding out the Party Authority, they consistently contested their great violation of core principles of democracy i.e. collective involvement of fellows in decision making;an action that technically was unhierachical and automatically rendered the Agreement void! yet worked under the umbrella of CHADEMA the party they represented and lost faith in them! Why backing the move by CHADEMA CC? Where there is a democracy then an abuse of the principles (disrespecting the leaders within the party) that guide that democracy we stand for should not be a factor for abusing that same democracy to fullfil one's ego, indiscipline, bad intentions or self-interests!

From the onset of the Arusha Municipal councilors' elections of last year everyone knew what was the reason for the crisis that led to three deaths as a result of the use of excessive force by the police under the directives by the ruling party.

What suprises many of us these same councilors that fought together (through peaceful demonstrations)to have proper election procedures followed went on to have their Muafaka with the CCM councilors without informing their respective leaders in the party! What transpired them to do so, no one knows though they claim to be after peace but that same peace they seeked in Arusha was to be a source of irregularities if not a beginning of disrespecting accepted procedures to reach concessors within the party that if all these went uncontained would have tarnished the credibility of the party that has all along advocated the adherence of laid down rules and procedures; the party has long managed to achieve by living through live examples.

More over "Order" (most important ingredient of a stable leadership) would have been lost! I do solily support the action by the CHADEMA CC out of the fact that the councilors were given ample time to withdraw their recognition of the Muafaka, moreover given a chance to meet the CHADEMA CC and put forward their defence of which 5 out of 10 came forward admitted their wrong doings after concessors and apologized whereas the 5 sacked refused (first to face the CC and second to apologize and withdraw their recognition of the Muafaka that sidelined democracy)! A pretty fair democratic procedure by the CHADEMA CC after hard thought deliberations!

What makes me happy though the action taken by the CHADEMA CC that seems as testing waters of democratic atmosphere, has far much more implications to the political barometer of this country as today's politics are concerned! We should not contend with the decision taken so far simply cause it is such same action that voters will measure and judge our performance in comparison to the party at the helm!

Moreover in any democratic country taking tough decisions that are risky put a distinction between a party that is smart and ready to even take hard steps that can erode its advantageous position in the name of democracy and the party that is ready to do "laissez faire" business in the protection of its interests and in disregard to the principles of democracy! It is my strong belief with the current civic education by CHADEMA underway, the residents of Arusha will understand democracy was about to be corrupted and all what the party did was necessary to salvage that same democracy to give the best of their economic and social welfare at large.

What remains as a big task of the party behind all this undemocratic instigations is to prove themselves they can match the tempo and do the same with their much publicized "sloughing trials" they have so far been dragging their feet to execute! So people watch this space CCM will try to do the same with their fisadis and hence matching the orders by the CHADEMA the iconic party that lives on pragmatic examples and continues to be a modal of ethical standards!

Long live CHADEMA

Regards
Geza Ulole
 
UAMUZI wa kamati KUU ya cdm wa kuwafukuza BAADHI ya madiwani wanaodaiwa kukaidi agizo la wakubwa umegeuka kuwa neiva mkali sana kwa CDM MKOANI ARUSHA.

Wana CDM wamepita mtaani na kubandika mabango KUWA wamechoka kuburuzwa na sasa wanamtaka Lema arudi alikotoka TLP vinginevyo CDM ihesabu maumivu Arusha.

Wanadai wamestuka kuwa Lema aliletwa na Mrema CDM Arusha kuua Cdm na kwakua viongozi WA CDM Taifa wameingizwa mkenge na Lema BASI hawana imani tena na viongozi wao WA kitaifa wakianzia na Lema...

Nimepita mitaa ya Arusha ash hii dalili SI nzuri hata kidogo
 
UAMUZI wa kamati KUU ya cdm wa kuwafukuza BAADHI ya madiwani wanaodaiwa kukaidi agizo la wakubwa umegeuka kuwa neiva mkali sana kwa CDM MKOANI ARUSHA... Wana CDM wamepita mtaani na kubandika mabango KUWA wamechoka kuburuzwa na sasa wanamtaka Lema arudi alikotoka TLP vinginevyo CDM ihesabu maumivu Arusha... Wanadai wamestuka kuwa Lema aliletwa na Mrema CDM Arusha kuua Cdm na kwakua viongozi WA CDM Taifa wameingizwa mkenge na Lema BASI hawana imani tena na viongozi wao WA kitaifa wakianzia na Lema...

Nimepita mitaa ya Arusha ash hii dalili SI nzuri hata kidogo

Taarifa hizo na mbaya zaidi zitatolewa sana LAKINI maamuzi yaliyohijika yamefanyika MAISHA YANAENDELEA
 
Heshima kwako Pasco,

Mkuu wangu uko juu sana laiti JF ingekuwa na wanajamvi kumi wa aina yako hakika tusingekuwa hapa.Mkuu wangu ulikuwa wapi haya uliyoandika mbona nilishasema siku nyingi hakuwepo wa kunielewa ulikuwa wapi ?.Nina hakika CDM will never be the same muda ni mwl mzuri tusubiri.

Wanabodi,

Kitendo cha Kamati Kuu ya Chadema kuwavua uanachama madiwani wake wa Arusha, is "A Big Mistake"!, and there is a price to pay, so Chadema must pay the price which is very high!.

Nimesoma ile taarifa ya maamuzi ya Kamati Kuu ya Chadema iliyoletwa humu jukwaani, na thread kadhaa kuhusu uamuzi huo, wengi wa wachangiaji wakiupongeza, hivyo nimeona nitoe maoni yangu, kuwa uamuzi huo is one of the Big Mistakes, Chadema had ever made!.

1. Ile sheria ya kulazimisha wawakilishi wa wananchi, lazima wadhaminiwe na vyama, its a bad law, na inakwenda kinyume cha Katiba ya JMT inayotoa uhuru kwa kila raia kushiriki katika uongozi wa serikali tangu ya mitaa hadi serikali kuu, hadi mahakama kuu ilishatoa rulling hicho kipengele kuwa ni 'unconstitutional' na kiwe struck out from the books of law!. Naamini Chadema hilo wanalifahamu, hivyo kitendo cha kutumia kipengele hicho hicho ambacho ni bad law, to its advantage, is "A Big Mistake!".

2. Ukishachaguliwa, Diwani au Mbunge, hata kama ulidhaminiwa na chama, wewe, unakuwa umechaguliwa na wananchi, na unakuwa ni mtumishi wa watu na kule kwenye ngazi za maamuzi, Baraza la Madiwani na Bungeni, unawakilisha maslahi ya wananchi waliokutuma, na sio maslahi ya chama kilichokudhamini, japo katika uwakilishi wako, pia maslahi ya chama yatazingatiwa. Kitendo cha chama kuwafukuza wawakilishi halali wa wananchi kwa maslahi ya chama, is "A Big Mistake!".

3. Sisi ambao hatuna vyama, lakini tuna shauku ya kuona Tanzania inaongozwa na chama mbadala, tumekuwa na imani kubwa sana na Chadema kama ndicho chama pekee mbadala ambacho kimethibitisha kikiaminiwa, kinaweza kuleta mabadiliko ya kweli. Hivyo tunategemea Chadema kitafanya maamuzi yanayofuata misingi ya haki. Kitendo cha kuwavua uanachama madiwani wake hawa, waliochaguliwa na wananchi, (sio chama) bila kuwasikiliza, ni kuwa "condem Unheard", which is against principles of Natural Justice, and this is a "A Big Mistake!".

4. Uzoefu wa siasa za Kanda ya Kaskazini, watu wanachagua watu na sio vyama, ndio maana CCM wanajua wazi kuwa, wao CCM, kuanzia Mwenyekiti wao, sekretariat yake, CC yao na NEC nzima ya CCM, hata wakapige kambi Moshi mjini, wakeshe kwa siku 30 mfululizo usiku na mchana huku wakipiga kampeni ya nguvu kwa kutumia mabilioni yao wanayofisidi, na kuwavisha wanamoshi wote, zile T.Shirt na kofia, pamoja na kulisha pilau la nguvu siku zote 30, Ndesa hawatamng'oa!. Kitendo cha Chadema kuwavua uanachama watu wa watu mjini Arusha, it's "A Big Mistake!".

5. Wenzao CCM walipokuja na makelele ya kujivua gamba, nilisema CCM, kuanzia Mwenyekiti wao, na kelele zote za Nape na Chiligati, hawana ubavu wa kuwavua uanachama hao watuhumiwa wa ufisadi kwa kuhofia retaliation ya watu wao, ndio maana mtashuhudia kwenye kampeni za Igunga, CCM lazima impigie magoti RA. Amini nakuambia, hawawezi kuwafanya lolote EL na AC, sana sana watawabembeleza kujiudhuru nyadhifa zao, lakini sio kuwavua uanachama, kwanini Chadema, chama cha matumaini, kifanye makosa ambayo CCM iliyochokwa, haiwezi kuyafanya, ya kuwavua uanachama wachaguliwa wa wananchi?!. That is "A Big Mistake!".

6. Chama makini kama Chadema, is expected to do the right thing, at the right time. Hatua hii, ya kuwavua uanachama madiwani pendwa Arusha, hata kama it was the right step, imekuja at the wrong time!, wakati wakitafuta justification ya kulitwaa jimbo la Igunga, ndio chama kinaanzisha tifu kanda ya Kaskazini ambako ndiko kwenye mizizi yake, mimi sijui, Chadema, imeyafanya hayo kwa kutegemea nini?.

7. Wakati nikiuleta ukosoaji huu, sio vibaya nikiwakumbusha Chadema baadhi ya maamuzi yake na matokeo yake. -Kumuengua Mwera Tarime, niliwaambia humu humu JF, kuwa it was a mistake, matokeo sote tunayajua!. Kususia kutangazwa kwa matokeo na kutomtambua rais, nilicoment humu humu, matokeo yake sote tunayajua, na jinsi Chadema ilivyonufaika na hatua hizo.

8. Niliwahi kuwapa Chadema, ushauri fulani, wapenzi na mashabiki wa Chadema, mlinibeza sana, including viongozi wenu. Mimi nikawasisitizia kuhusu, internal reforms na 'the winning coalition' including strategies kuelekea 2015, mpaka leo, bado sijaona, tuendelee kusubiri, 'the playing ground is not level, and never will it be, hivyo, 2015, tutaingia tena kwenye mechi ile ile, katika mazingira yale yale halafu tutegemee matokeo tofauti?.

9. Angalizo: Naomba kwenye kujadili mada muhimu zinazohusu maslahi ya taifa, nawaombeni sana tujadiliane kwa ustaarabu huku tukipingana kwa hoja na sio kuleta ushabiki wa vyama ama kupinga hoja kwa matusi, kejeli na matukano.

10. Nimetoa angalizo hilo makusudi, kwa vile nafahamu fika, kinachowapata wakosoaji wote wa Chadema humu kwenye forum hii, lakini kwenye kutoa honest opinion, lazima tuseme ukweli mchungu ambao utawacost Chadema Dearly!. Afadhali anayekukosoa kwa kukuambia ukweli, kuliko anayekusifia ili hali anaelewa wazi mwishoni utaangamia.

Wasalaam.

Pasco.

Pasco ni political comentator ambaye sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali mshabiki wa demokrasia ya kweli ndani ya vyama, na ndani ya bunge. Comments zangu zina 'neutrality, objectivity, fairness na balance, bila kuendekeza ushabiki wa vyama, bali kutanguliza maslahi ya taifa mbele.
 
Niliwasikia ile siku wakikaidi, kuwa Mhe. Godbless Lema aliwatuhumu kushikishwa chochote kitu, Chadema makao makuu wakaunda tume ya kuchunguza, tume ile haikuwahoji chochote, bali ilituma ripoti yake kuwa ni kweli, walipokea chochote kitu, Makao Makuu hawakuwauliza chochote, bali kuwaamuru kujiuzulu nyadhifa zao ndani ya muafaka ule. Ndipo wakajibizana na CC yao kwamba kwanini wahukumiwe bila hata kuulizwa?. Hata mkosaji, anastahili kutendewa haki, jee hao madiwani wametendewa haki?.[/SIZE][/FONT]

Mkuu Pasco umegonga Ikulu unaona mbali wengine wanaangali jambo hili mwisho wa pua zao jimbo la Arusha litakwenda CCM kwasababu ya upumbavu na upuuzi wa CDM.

Makosa yale yale ya NCCR Mageuzi mwaka 1995 yanarudiwa na CDM mwaka 2011 sijui kwanini Tanzania ina bahati mbaya kiasi hiki tunahitaji mabadiliko ili taifa lisonge mbele.
 
UPDATE.
Nime happen kukutana na mjumbe mmoja wa CC ya Chadema asubuhi hii, amenifafanulia A-Z ya kilichotokea. Chadema walifanya kila waliloweza ili kuwarudisha kwenye mstari lakini ilishindikana. Hao madiwani walizidi kuitunishia misuli CC ya Chadema, hivyo Chadema kama chama, was left with no option bali kuwatimua.

However, kwa vile Mhe. Lema ni major player on one side, na madiwani on the other, sasa na tusubiri jinsi CC ya Chadema, itakavyomshughulikia, na kwa vile yeye ni mjumbe wa CC hiyo ya Chadema, tutawaomba Chadema, wasilimalize suala lake ndani kwa ndani bila kutoa taarifa kwa umma, ili kupusha dhana ya double standards.

Sasa naanza kuwaelewa Chadema kidogo kidogo.

Pasco
 
Wengin mko kichama zaidi mimi niko kitaifa zaidi kamwe hatupikiki chungu kimoja. CDM imara ni afya ya nchi [Tanzania] CDM mdebwedo ni janga la kitaifa. Leo CCM inaangaika kujivua gamba unafikiri wamependa ?

Muziki wa CDM umewalazimisha kufanya mambo wasiyoyataka unadhani CDM ingekuwa chovu CCM wangeangaika kujivua gamba ? Watu wenye akili nzuri tunataka CDM imara, CDM inayopinga kwa vitendo sheria kandamizi,CDM inashughulikia matatizo yake ya ndani kwa utaratibu [Wilaya,Mkoa na Taifa]

Tumekuwa tukiilani CCM inavyowatumia vibaya wabunge wake wengi mjengoni kwa faida za chama badala ya wananchi leo CDM kimetumia sheria mbovu na chovu kuwaadhibu madiwani wake [Madiwani wamechaguliwa na wananchi wote bila kujali itikadi za chama] Mimibaba anashangilia CCM wakitenda dhambi hiyo hiyo unalia.
 
Mkuu Pasco Lema haguswi hata kidogo utasubiri mpaka utachoka.

UPDATE.
Nime happen kukutana na mjumbe mmoja wa CC ya Chadema asubuhi hii, amenifafanulia A-Z ya kilichotokea. Chadema walifanya kila waliloweza ili kuwarudisha kwenye mstari lakini ilishindikana. Hao madiwani walizidi kuitunishia misuli CC ya Chadema, hivyo Chadema kama chama, was left with no option bali kuwatimua.

However, kwa vile Mhe. Lema ni major player on one side, na madiwani on the other, sasa na tusubiri jinsi CC ya Chadema, itakavyomshughulikia, na kwa vile yeye ni mjumbe wa CC hiyo ya Chadema, tutawaomba Chadema, wasilimalize suala lake ndani kwa ndani bila kutoa taarifa kwa umma, ili kupusha dhana ya double standards.

Sasa naanza kuwaelewa Chadema kidogo kidogo.

Pasco
 
Ni kweli inaniuma sana tena sana.Unajua mimi na wewe ni wapi tunapishana ?.Wewe uko kichama zaidi mimi niko kitaifa zaidi kamwe hatupikiki chungu kimoja.CDM imara ni afya ya nchi [Tanzania] CDM mdebwedo ni janga la kitaifa.Leo CCM inaangaika kujivua gamba unafikiri wamependa ?.Muziki wa CDM umewalazimisha kufanya mambo wasiyoyataka unadhani CDM ingekuwa chovu CCM wangeangaika kujivua gamba ? Watu wenye akili nzuri tunataka CDM imara,CDM inayopinga kwa vitendo sheria kandamizi,CDM inashughulikia matatizo yake ya ndani kwa utaratibu [Wilaya,Mkoa na Taifa]

Nimekuelewa. Kwa baadhi yetu ni afadhali CDM inayokata shauri la kukata mkono wa Cancer kabla haijatafuna mwili. Kumbuka unaweza kujenga msingi wa nyumba leo wajukuu wakaja kumalizia na kuhamia kwenye nyumba. Si unajua walikotoka CDM mimi nawalinganisha kwa sasa wanatandika jamvi la nyumba na kuchora upya ramani kulingana na jamvi. Kama hawana uwezo wa nyumba ya vyumba 10 basi wabaki na 5.

Pole kwa maumivu labda ujiangalie upya usipate maumivu mapya. THERE IS HOPE IN THE FUTURE AND HISTORY BEHIND US.
 
Mkuu hata mie nakuheshimu sana. Ila nilifikiri unaelewa kuwa kwenye Chadema, Mtei ni mtu mzito sana. Kwa nini waongee na Mtei isisaidie ila lazima tu waongee na Slaa? Mbona wameongea naye Dodoma na badi haikusaidia?

Boss, naona unanileta zile ambazo Mwanakijiji na wewe huwa mnahubiri siku zote, "Majibu mepesi katika maswali magumu."

Ohh, mwisho lazima nikuambie kuwa MIE SIYO MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE. Ndiyo maana ukaona kuwa wakati wa Uchaguzi mwaka jana, nilisimama na George Mwakalinga aka Mtanzania(JF Name) na kumtetetea hapa wakati huo Mwakalinga ni CCM damu.
Hata wewe ukiwa CCM au CUF au chama gani na ukaonekana mambo yako yanaweka TAIFA mbele, ntakutetea tu.
nilkuwa nakuheshimu mno mpaka leo aisee
ina maana hao madiwani ni sawa na osama,saddam na iddi amin????????

hizo ndo mentality za chadema kumbe?????????????????
 
Pasco,

Sijui ulifanya kwa makusudi au kweli ulikuwa hujui kuibua hii makala. Lazima nikiri kuwa ungelikuwa Mwalimu wa Chuo Kikuu, vipindi vyako vingelikuwa vinajaa wanafunzi hadi wanasimama kwa sababu tu ukishaaanzisha mjadala, ukauwekea viungo vikali basi humo ndani panakuwa hapatoshi. Nina imani hata wanaowatetea Mafisadi wakipita hapa, mwanzo wanakuwa wanakushangilia jinsi unavyowashambulia Chadema ila mjadala unavyokwenda, somo linabadilika na wao bila kujijua wanaanza kukielewa Chadema.

Kwa hilo Mkuu lazima nikiri unakipaji. Hata mie mwenyewe nimeelewa mengi sana kutoka kwenu na Boss (ila anadai sasa haniheshimu tena, too sad). Nilishaenda kwenye kipindi fulani Redioni nikiwa naishi nchi za watu miaka ileee na walikuwa wakijadili neno NIGGA kama ni zuri au baya. Mtangazaji akavaa ngozi ya CHUI na kuanza kupigilia misumari. Simu zikaanza kulia watu wakimshabulia na email pia. Mwisho hata Mkewe akashindwa kuvumilia na akamwandikia SMS kuwa anafanya makosa. Sisi Studio hatuna mbavu wakati wa Break ya matangazo. Kipindi kikianza tunavaana naye tena.

Mijadala kama hii huwa inaelimisha sana. Kwa faida ya Taifa letu naomba uwe unaileta mara kwa mara na usikimbie wakati wa majadala. Majjid pia hufanya hivyo ila shida yake yeye mara nyingi huwa anakimbia mjadala.

Asante nyingi niwape wote walioshiriki, wewe PASCO kwa kuleta mjadala mkali na kuuwekea vituko kibao. Pia Boss ambaye naona kashanichukia tayari (nina amini alikuwa anatania kama mie nilivyokuwa natania), Dada yangu Nyamizi, Mtani wangu Regia, MTM, Ngongo, Mimi Baba na wengine wote walioshiriki na wataendelea kushiriki.

Pasco, nasubiri nyingine kutoka kwako.
 
UPDATE.
Nime happen kukutana na mjumbe mmoja wa CC ya Chadema asubuhi hii, amenifafanulia A-Z ya kilichotokea. Chadema walifanya kila waliloweza ili kuwarudisha kwenye mstari lakini ilishindikana. Hao madiwani walizidi kuitunishia misuli CC ya Chadema, hivyo Chadema kama chama, was left with no option bali kuwatimua.

However, kwa vile Mhe. Lema ni major player on one side, na madiwani on the other, sasa na tusubiri jinsi CC ya Chadema, itakavyomshughulikia, na kwa vile yeye ni mjumbe wa CC hiyo ya Chadema, tutawaomba Chadema, wasilimalize suala lake ndani kwa ndani bila kutoa taarifa kwa umma, ili kupusha dhana ya double standards.

Sasa naanza kuwaelewa Chadema kidogo kidogo.

Pasco

Thanks Mkuu...

one love
 
Heshima kwako Pasco,

Mkuu wangu uko juu sana laiti JF ingekuwa na wanajamvi kumi wa aina yako hakika tusingekuwa hapa.Mkuu wangu ulikuwa wapi haya uliyoandika mbona nilishasema siku nyingi hakuwepo wa kunielewa ulikuwa wapi ?.Nina hakika CDM will never be the same muda ni mwl mzuri tusubiri.

Mkuu ngongo, Pasco yuko juu lakini vile vile huwa anashuka, sio kama wewe umejiweka matawi ya juu kwa chuki zako dhidi ya chadema na in particular Mh. Lema.
Sasa unamuona mwenzako keshajishughulisha kutafuta ukweli wa mambo na ameelewa kinachoendelea lakini wewe huwezi kufika huku;

UPDATE.
Nime happen kukutana na mjumbe mmoja wa CC ya Chadema asubuhi hii, amenifafanulia A-Z ya kilichotokea. Chadema walifanya kila waliloweza ili kuwarudisha kwenye mstari lakini ilishindikana. Hao madiwani walizidi kuitunishia misuli CC ya Chadema, hivyo Chadema kama chama, was left with no option bali kuwatimua.

However, kwa vile Mhe. Lema ni major player on one side, na madiwani on the other, sasa na tusubiri jinsi CC ya Chadema, itakavyomshughulikia, na kwa vile yeye ni mjumbe wa CC hiyo ya Chadema, tutawaomba Chadema, wasilimalize suala lake ndani kwa ndani bila kutoa taarifa kwa umma, ili kupusha dhana ya double standards.

Sasa naanza kuwaelewa Chadema kidogo kidogo.

Pasco

Pasco pongezi zako kwa kufanya jitihada za makusudi kuufahamu ukweli, endelea kujitahidi hivyo hivyo kidogo kidogo mwishoe utawaelewa tu kwa ukamilifu, na bila shaka kura yako utawapa!!

Mkuu Pasco umegonga Ikulu unaona mbali wengine wanaangali jambo hili mwisho wa pua zao jimbo la Arusha litakwenda CCM kwasababu ya upumbavu na upuuzi wa CDM.Makosa yale yale ya NCCR Mageuzi mwaka 1995 yanarudiwa na CDM mwaka 2011 sijui kwanini Tanzania ina bahati mbaya kiasi hiki tunahitaji mabadiliko ili taifa lisonge mbele.

Hili ni dua lako la kila siku na si habari tena hapa jf. NCCR Mageuzi na CHADEMA ni vyama viwili tofauti kimkakati na kimbinu. Maamuzi yanayofanywa na chadema hayajawahi kufanana ama kufananishwa hata kidogo na yale ya nccr mageuzi, hilo ni vizuri ukalitafakari na kulitambua.

Ni kweli inaniuma sana tena sana.Unajua mimi na wewe ni wapi tunapishana ?.Wewe uko kichama zaidi mimi niko kitaifa zaidi kamwe hatupikiki chungu kimoja.CDM imara ni afya ya nchi [Tanzania] CDM mdebwedo ni janga la kitaifa.Leo CCM inaangaika kujivua gamba unafikiri wamependa ?.Muziki wa CDM umewalazimisha kufanya mambo wasiyoyataka unadhani CDM ingekuwa chovu CCM wangeangaika kujivua gamba ? Watu wenye akili nzuri tunataka CDM imara,CDM inayopinga kwa vitendo sheria kandamizi,CDM inashughulikia matatizo yake ya ndani kwa utaratibu [Wilaya,Mkoa na Taifa]

Tumekuwa tukiilani CCM inavyowatumia vibaya wabunge wake wengi mjengoni kwa faida za chama badala ya wananchi leo CDM kimetumia sheria mbovu na chovu kuwaadhibu madiwani wake [Madiwani wamechaguliwa na wananchi wote bila kujali itikadi za chama] Mimibaba anashangilia CCM wakitenda dhambi hiyo hiyo unalia.

Huwezi kuumia kwa uamuzi wa chadema kuwatimua madiwani wakaidi, isipokuwa kinachoweza kukuuma ni kwa nini chadema wamethubutu kufanya maamuzi makubwa, magumu, makini na sahihi kinyume na matarajio yako. Na katika hili utaendelea kuumia sana na chadema itazidi kushamiri, wananchi wenyewe wameona ni kiasi gani madiwani walivyoshindwa kujiheshimu mbele ya uongozi wao pamoja na kuombwa sana lakini wakajifanya kutunisha msuli sasa matokeo yake ndo hayo, imekula kwao.

Mkuu Pasco Lema haguswi hata kidogo utasubiri mpaka utachoka.

Kama kawaida, Godbles Lema hatre preacher!! Ipo siku utamuelewa tu, hata kama utakuwa na shingo ngumu zaidi ya zombe.

Unaweza kujifunza kutoka kwa magreat thinker wenzako wanavyoutafuta ukweli, kuutafakari na kuchukua hatua. Hata wewe hujachelewa, tafakari na uchukue hatua. Big up mzee wa Saikong, nadhani hata the boss atakuwa amekusoma vizuri na kukuelewa.

Pasco,

Sijui ulifanya kwa makusudi au kweli ulikuwa hujui kuibua hii makala. Lazima nikiri kuwa ungelikuwa Mwalimu wa Chuo Kikuu, vipindi vyako vingelikuwa vinajaa wanafunzi hadi wanasimama kwa sababu tu ukishaaanzisha mjadala, ukauwekea viungo vikali basi humo ndani panakuwa hapatoshi. Nina imani hata wanaowatetea Mafisadi wakipita hapa, mwanzo wanakuwa wanakushangilia jinsi unavyowashambulia Chadema ila mjadala unavyokwenda, somo linabadilika na wao bila kujijua wanaanza kukielewa Chadema.

Kwa hilo Mkuu lazima nikiri unakipaji. Hata mie mwenyewe nimeelewa mengi sana kutoka kwenu na Boss (ila anadai sasa haniheshimu tena, too sad). Nilishaenda kwenye kipindi fulani Redioni nikiwa naishi nchi za watu miaka ileee na walikuwa wakijadili neno NIGGA kama ni zuri au baya. Mtangazaji akavaa ngozi ya CHUI na kuanza kupigilia misumari. Simu zikaanza kulia watu wakimshabulia na email pia. Mwisho hata Mkewe akashindwa kuvumilia na akamwandikia SMS kuwa anafanya makosa. Sisi Studio hatuna mbavu wakati wa Break ya matangazo. Kipindi kikianza tunavaana naye tena.

Mijadala kama hii huwa inaelimisha sana. Kwa faida ya Taifa letu naomba uwe unaileta mara kwa mara na usikimbie wakati wa majadala. Majjid pia hufanya hivyo ila shida yake yeye mara nyingi huwa anakimbia mjadala.

Asante nyingi niwape wote walioshiriki, wewe PASCO kwa kuleta mjadala mkali na kuuwekea vituko kibao. Pia Boss ambaye naona kashanichukia tayari (nina amini alikuwa anatania kama mie nilivyokuwa natania), Dada yangu Nyamizi, Mtani wangu Regia, MTM, Ngongo, Mimi Baba na wengine wote walioshiriki na wataendelea kushiriki.

Pasco, nasubiri nyingine kutoka kwako.
 
UAMUZI wa kamati KUU ya cdm wa kuwafukuza BAADHI ya madiwani wanaodaiwa kukaidi agizo la wakubwa umegeuka kuwa neiva mkali sana kwa CDM MKOANI ARUSHA... Wana CDM wamepita mtaani na kubandika mabango KUWA wamechoka kuburuzwa na sasa wanamtaka Lema arudi alikotoka TLP vinginevyo CDM ihesabu maumivu Arusha... Wanadai wamestuka kuwa Lema aliletwa na Mrema CDM Arusha kuua Cdm na kwakua viongozi WA CDM Taifa wameingizwa mkenge na Lema BASI hawana imani tena na viongozi wao WA kitaifa wakianzia na Lema...

Nimepita mitaa ya Arusha ash hii dalili SI nzuri hata kidogo

Nini Mabango? Watu 17 waliandamana na kufunga ofisi za CDM Mkoa a day before maamuzi magumu na ya busara hayajachukuliwa na bado CC ilikuwa bold na wasaliti wakatimuliwa,Huoni hayo mabango yanaweza kuwekwa na hao hao walioandamana?

Watu wanakwambia ni HERI KUWA NA WANACHAMA 3 TU LAKINI WAAMINIFU KULIKO KUWA NA 100 KAMA HAO WALIOTIMULIWA.
 
Bwn Pasco kama kweli kweli wewe sio biased kitendo walicho fanya CC ya CDM kwanza ni cha kupongeza, yaani ni cha kijasiri. Hawa watu wa CDM kuanzia Mkt, Katibu mkuu pamoja na wajumbe ni makini sana wamechukua uamuzi unao watambulisha kuwa CDM nini!?

Kama kweli tumeamua kupambana na mafisadi hatuwezi kufuga mafisadi wengine wa ndani huku njee tukipiga kelekele za ufisadi!

Hawa waheshimiwa wameamua kujipambanua ionekane kiukweli mapambano ya wala rushwa na wazembe yanaanzia ndani ya CDM yenyewe!

Kwa Mtanzania yeyote mwenye uchungu na nchi yake ya TZ BILA SHAKA AMEWAELEWA, bila kujali kupoteza hizo constituance kuliko kuunga mkono ufisadi wa dhahiri wa hawa jamaa, wakiongozwa na Bwn Malla bora kuwatema.

Malaa huyu huyu alishauza ubunge kwa Bwn Felix Mrema kwa hiyo amekaa kibiashara zaidi!!! Ufumbuzi wa mgogoro wa Arusha Mkt Bwn FreeMan Mbowe ameisha eleza mkakati wa kuumaliza pamoja na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

CDM imeonyesha msimamo hata wakipewa dola na wananchi watasimamia haki bila kupindisha ukweli!

CDM HONGERA SAANA
 
Heshima kwako Pasco,

Mkuu wangu uko juu sana laiti JF ingekuwa na wanajamvi kumi wa aina yako hakika tusingekuwa hapa.Mkuu wangu ulikuwa wapi haya uliyoandika mbona nilishasema siku nyingi hakuwepo wa kunielewa ulikuwa wapi ?.Nina hakika CDM will never be the same muda ni mwl mzuri tusubiri.

Mkuu,naweza kukuhakikishia CDM will be stronger baada ya hili,najua wote mlidhani CC ingekuwa na uoga wa kuwatimua simply because ni Madiwani,uamuzi umechukuliwa na maisha yanaendelea,hao walio strong kuliko chama na waende hata PPT Maendeleo wakagombee kupitia huko.
 
UAMUZI wa kamati KUU ya cdm wa kuwafukuza BAADHI ya madiwani wanaodaiwa kukaidi agizo la wakubwa umegeuka kuwa neiva mkali sana kwa CDM MKOANI ARUSHA... Wana CDM wamepita mtaani na kubandika mabango KUWA wamechoka kuburuzwa na sasa wanamtaka Lema arudi alikotoka TLP vinginevyo CDM ihesabu maumivu Arusha... Wanadai wamestuka kuwa Lema aliletwa na Mrema CDM Arusha kuua Cdm na kwakua viongozi WA CDM Taifa wameingizwa mkenge na Lema BASI hawana imani tena na viongozi wao WA kitaifa wakianzia na Lema...

Nimepita mitaa ya Arusha ash hii dalili SI nzuri hata kidogo

Mwananchi Mwenye akili Arusha ataona ukweli, hiyo sio kuburuzwa wananchi wenyewe wataamua nani mkweli Bwn Malhaa au Mbunge Lema. CC ya CDM ni ya kufagilia kabisa na kuungwa mkono, kama tunapambana na mafisadi hatuwezi kuachia hawa wa ndani ya CDM.

Wagombee na chama kingine lakini sio CDM, hatuitaji wanachama wasio waaminifu na wajeuri wala rushwa. Tukutane kwenye kampeini!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom