Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,772
- 165,406
Kuna siku muda utakuwa upande wa mtoa mada.
mkuu kuna mndondocha humu jf,wakati huu wa janga la corona ndio tunalishika moja moja na kujua ni jinsi gani ni zezeta.Kwa nini umesema kuwa mwezi May Tanzania tutakuwa kwenye peak ya mashambulizi na vifo?? Wewe ni nani hata useme hivyo?? Wewe ni Mungu uliyeumba mbingu na nchi?
Lock down ni nzuri lakini kama wewe umesema kuwa Tz tunaenda kufa kwa sababu tu hatujafunga majumba yetu na kujifungia ndani basi nimekuchukia kabisaaa. Huna hata huruma kabisa weye. Ni heri nini kwetu?
Tulivyopigika kwa sasa unataka tujifungie ndani ya majumba yetu wakati huu sisi wakulima ndio tunajitahidi kuwahi mvua za masika?? Hivi, ni mtanzania anayejielewa anayasema haya au?
Nadhani mnahitaji kwenda kupimwa akili zenyu. Chuki zenu kwa JPM zisitufanye hata sisi tusiojua siasa kuumizwa na uchokozi wenyu.
Tiyari tushachelewa kujifungia ndani. Acha tuu tungojee vifo vyako ulivyoviona lakini, nadhani huo mwezi May, tutakuwa tunakufa lakini sisi wakulima tutakufa tukichoma mahindi mabichi. Upo hapo?
Ngojea hao unaosema walifanya vyema kujifungia waanze kutoka humo ndani kwa sababu ya njaa uone vita yao. Ndipo na sisi tutaifunga mipaka tuone watakula nini kama sio vumbi la corona.
Tumuombe Mungu kwa bidii na kuziacha njia zetu mbaya. Alisema JPM. Hebu tumuunge mkono
acha uchawi wewe,haipendezi.Mangatara,Mimi ni mkristo lakini ninae penda kufikiri Kisayansi pia. Covid haiondoki kwa kusali tu.Kama huamini Haya niliyo andika, May haiko mbali, let us wait and see
Mkuu tumeshachelewa,tumeshaambukizana na karibia nchi nzima kunaweza kuwa na mgonjwa.watu wote wangekuwa na akili Kama zangu kwanza tungeanza kwa kumvurumishia mbali huyu masikini aliyepanga kwenye ikulu yetu.kutokana na umasikini wake aliona pesa ni muhimu kuliko uhai wetu,ameonesha usaliti mkubwa kwa wananchi wa Tanzania, hana tofauti na Yuda iskaliote aliyedhani vipande theradhini vya pesa kuliko uhai wa mtu.Tunapaswa kuingia kwenye lockdown tukiwa na jemedari mwingine na si huyu msaliti
Unajua Dunia hii imejaa watu wengi sana wasio na maarifa.Wengi wao don't anticipate the danger of Covid-19.Truly this is a great ordeal notably to we Africans.
Bila ya shaka wewe ni ccm unahisi kwamba JPM yeye ndio anajua kuhusu corona kuliko maraisi wote duniani kwa kufuata ushauri wa wataalam wa afya na kufanya lockdown?Kwa nini umesema kuwa mwezi May Tanzania tutakuwa kwenye peak ya mashambulizi na vifo?? Wewe ni nani hata useme hivyo?? Wewe ni Mungu uliyeumba mbingu na nchi?
Lock down ni nzuri lakini kama wewe umesema kuwa Tz tunaenda kufa kwa sababu tu hatujafunga majumba yetu na kujifungia ndani basi nimekuchukia kabisaaa. Huna hata huruma kabisa weye. Ni heri nini kwetu?
Tulivyopigika kwa sasa unataka tujifungie ndani ya majumba yetu wakati huu sisi wakulima ndio tunajitahidi kuwahi mvua za masika?? Hivi, ni mtanzania anayejielewa anayasema haya au?
Nadhani mnahitaji kwenda kupimwa akili zenyu. Chuki zenu kwa JPM zisitufanye hata sisi tusiojua siasa kuumizwa na uchokozi wenyu.
Tiyari tushachelewa kujifungia ndani. Acha tuu tungojee vifo vyako ulivyoviona lakini, nadhani huo mwezi May, tutakuwa tunakufa lakini sisi wakulima tutakufa tukichoma mahindi mabichi. Upo hapo?
Ngojea hao unaosema walifanya vyema kujifungia waanze kutoka humo ndani kwa sababu ya njaa uone vita yao. Ndipo na sisi tutaifunga mipaka tuone watakula nini kama sio vumbi la corona.
Tumuombe Mungu kwa bidii na kuziacha njia zetu mbaya. Alisema JPM. Hebu tumuunge mkono
Bila kutukana haikupunguziiMkuu hali halisi ya nchi hizo ni tofauti sana na kwetu.do you think bus la abiria pale Stockholm linajaza Kama mwendo kasi yenu au daladala ya Mbagala Kariakoo? Do you think mitaa ya Stockholm inajaza watu Kama Congo street au Karume? Yaani wanaccm kwenye Mambo ya msingi hamjilingsnishi na nchi yoyote iliyoendelea Ila linapokuja suala la kutaka kujustify ujinga wenu aaah you compare yourself with anybody,pumbavu zenu
Unafikiri lockdown/curfew za afrika zipo realistic?Uganda wameongeza wiki tatu za lockdown, sisi tumeamua kuendelea kupiga ramli..
Hujui chochote bora ukae kimya ndiyo umeandika nini? Eti mheshimiwa rais amekaa lockdown chato!Bila ya shaka wewe ni ccm unahisi kwamba JPM yeye ndio anajua kuhusu corona kuliko maraisi wote duniani kwa kufuata ushauri wa wataalam wa afya na kufanya lockdown?
Unasema usiwekwe lockdown uachwe ukalime kama ugonjwa utaangamiza familia yako utakuwa na faida gani na hicho chakula unacholima?
Uliona siku raisi wa Italy alivyokuwa analia baada ya kufanya makosa kama ambayo yanafanywa na viongozi wetu kwa sasa?
Hivi wewe unajua kama JPM amejiweka lockdown chato?
Kama hajajiweka lockdown mwambie arudi Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimejaa mbwembwe nyingi, kama ile ya kenya ipo kuanzia usiku tu lakini wanavyochonga mdomo utafikiri wao ndo wa kwanza kuijua na kuithibiti koronaUnafikiri lockdown/curfew za afrika zipo realistic?
Wewe jinga kweli huna hata hojaKwa nini umesema kuwa mwezi May Tanzania tutakuwa kwenye peak ya mashambulizi na vifo?? Wewe ni nani hata useme hivyo?? Wewe ni Mungu uliyeumba mbingu na nchi?
Lock down ni nzuri lakini kama wewe umesema kuwa Tz tunaenda kufa kwa sababu tu hatujafunga majumba yetu na kujifungia ndani basi nimekuchukia kabisaaa. Huna hata huruma kabisa weye. Ni heri nini kwetu?
Tulivyopigika kwa sasa unataka tujifungie ndani ya majumba yetu wakati huu sisi wakulima ndio tunajitahidi kuwahi mvua za masika?? Hivi, ni mtanzania anayejielewa anayasema haya au?
Nadhani mnahitaji kwenda kupimwa akili zenyu. Chuki zenu kwa JPM zisitufanye hata sisi tusiojua siasa kuumizwa na uchokozi wenyu.
Tiyari tushachelewa kujifungia ndani. Acha tuu tungojee vifo vyako ulivyoviona lakini, nadhani huo mwezi May, tutakuwa tunakufa lakini sisi wakulima tutakufa tukichoma mahindi mabichi. Upo hapo?
Ngojea hao unaosema walifanya vyema kujifungia waanze kutoka humo ndani kwa sababu ya njaa uone vita yao. Ndipo na sisi tutaifunga mipaka tuone watakula nini kama sio vumbi la corona.
Tumuombe Mungu kwa bidii na kuziacha njia zetu mbaya. Alisema JPM. Hebu tumuunge mkono
Mkuu hakuna watu wapumbavu kupindukia Kama Watanzania, Magufuli anaweza kuwaua wote wakabaki laki 5 tu huku wakimshangiliaMkuu tumeshachelewa,tumeshaambukizana na karibia nchi nzima kunaweza kuwa na mgonjwa.watu wote wangekuwa na akili Kama zangu kwanza tungeanza kwa kumvurumishia mbali huyu masikini aliyepanga kwenye ikulu yetu.kutokana na umasikini wake aliona pesa ni muhimu kuliko uhai wetu,ameonesha usaliti mkubwa kwa wananchi wa Tanzania, hana tofauti na Yuda iskaliote aliyedhani vipande theradhini vya pesa kuliko uhai wa mtu.Tunapaswa kuingia kwenye lockdown tukiwa na jemedari mwingine na si huyu msaliti
In fact yeye ndo mshauri, na sio mshauriwa kwenye Mambo almost yote kwa sababu ana ujuaji sanakuna uwezekano rais ndo analishauri baraza la.mawaziri badala ya yeye kushauriwa na baraza
Kabisa mkuu.Zimejaa mbwembwe nyingi, kama ile ya kenya ipo kuanzia usiku tu lakini wanavyochonga mdomo utafikiri wao ndo wa kwanza kuijua na kuithibiti korona
Jiwe hataki kusikia lockdown atalazimika kugawa chakula.
Sasa acha tusubirie matokeo ya model aliyoichangua Magufuli na ile aliyochagua Kenyatta au kagame,sema tu Magufuli ni mwongo mwongo na anaficha dataBila kutukana haikupunguzii
ustaarabu pia,mimi niliweka habari kwa ufupi.
Issue ni 2 system zinazoleta matumaini but with different approaches,which are two mathematical models,one lockdown and another no lockdown.
Na kila mmoja imeonekana ina mapungufu yake na uzuri wake.
Kuna wanaodai kuwa matokeo ya model hizo mbili ni sawa.
Na hizo ndio changamoto sio matusi ya rejareja bwana
bwana mdogo.
Pale wote wanaufyaka,wanabaki "ndio mzee"kuna uwezekano rais ndo analishauri baraza la.mawaziri badala ya yeye kushauriwa na baraza
Tuendelee kuwaiga wenzetu?Unafikiri lockdown/curfew za afrika zipo realistic?
Sins uhakika na la data kama anaficha au hapanaSasa acha tusubirie matokeo ya model aliyoichangua Magufuli na ile aliyochagua Kenyatta au kagame,sema tu Magufuli ni mwongo mwongo na anaficha data