Uamuzi tuliochagua ni hatari sana

Uamuzi tuliochagua ni hatari sana

Kusema kweli nikiangalia hatua wanazochukua majirani zetu na tunazochukua sisi inaonekana wazi kuwa tumeshafanya makosa. wanasiasa nao wanaongea hadi vitu wasivyoelewa kuhusu corona hivyo kuwadanganya watu.
 
Ukweli tumepiga Ila nani katufikisha hapa kwenye kupigika au unadhani ni laana kutoka kwa Mungu?
Kwa nini umesema kuwa mwezi May Tanzania tutakuwa kwenye peak ya mashambulizi na vifo?? Wewe ni nani hata useme hivyo?? Wewe ni Mungu uliyeumba mbingu na nchi?

Lock down ni nzuri lakini kama wewe umesema kuwa Tz tunaenda kufa kwa sababu tu hatujafunga majumba yetu na kujifungia ndani basi nimekuchukia kabisaaa. Huna hata huruma kabisa weye. Ni heri nini kwetu?

Tulivyopigika kwa sasa unataka tujifungie ndani ya majumba yetu wakati huu sisi wakulima ndio tunajitahidi kuwahi mvua za masika?? Hivi, ni mtanzania anayejielewa anayasema haya au?

Nadhani mnahitaji kwenda kupimwa akili zenyu. Chuki zenu kwa JPM zisitufanye hata sisi tusiojua siasa kuumizwa na uchokozi wenyu.

Tiyari tushachelewa kujifungia ndani. Acha tuu tungojee vifo vyako ulivyoviona lakini, nadhani huo mwezi May, tutakuwa tunakufa lakini sisi wakulima tutakufa tukichoma mahindi mabichi. Upo hapo?

Ngojea hao unaosema walifanya vyema kujifungia waanze kutoka humo ndani kwa sababu ya njaa uone vita yao. Ndipo na sisi tutaifunga mipaka tuone watakula nini kama sio vumbi la corona.

Tumuombe Mungu kwa bidii na kuziacha njia zetu mbaya. Alisema JPM. Hebu tumuunge mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mungu hajibu maombi tunavyotaka au kwa muda tunaotaka tunaweza kumuomba leo akajibu muda huu huu au akajibu baada ya mwezi au asijibu kabisa maana yeye ndio anajua sababu yakuachilia hii adhabu na ndie anaejua lini ataondoa so tunapomuamba lazima tutumie pia akili tulizopewa muhimu hii shida iishe!
Are yu a Christian realy?? Huenda ni mkristo wa jina. Hivi kuna kitu cha kumshinda Mungu wetu?? Do yu believe in the word of God? Naomba usijiite mkristo huku neno la Mungu likikupita kushoto.
Muamini Mungu. Aweza kulipitisha mbali hili janga na lisitufikie Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sisi tuwe tunaangalia watu wa kutuongoza
Siku zote nikisha fika kwenye point hii ndiyo nakumbuka udhaifu wa KIKWETTE. Isingekuwa migongano yake na Lowassa tusingekuwa na JIWE
 
Back
Top Bottom