Uamuzi tuliochagua ni hatari sana

Uamuzi tuliochagua ni hatari sana

Naam! Wanajamvi bila shaka wote mmejaliwa Afya njema licha ya kwamba tunatishiwa na virusi vya Corona.

Niende kwenye mada moja kwa moja. Katika janga hili kuna jambo moja ambalo wote tunakubaliana, nalo ni kwamba Covid-19 ni habari na ni adui yetu anayestahili kupigwa. Hilo halina mjadala.

Lakini tupambane vipi ndio shida inapoanzia na kutugawa. Kwanini tumegawika? Tatizo ni umasikini. Umasikini wa kipato unatufanya unatufanya tufikiri kimasikini na wakati mwingine tunawaza kijinga.

Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi Nchi hizi zote zipo kwenye complete lockdown ili kupambana na Covid-19! Hii ni njia aghali sana lakini yenye uhakika wa kumshinda adui.Hakuna njia ya mkato. Wakifika May nchi zao zitakuwa Corona virus free.

Wakati huo Tanzania tutakuwa kwenye peak ya maambukizi na vifo vinavyo ababishwa na Covid-19. Nchi hizi zote zitatutenga! Amini usiamini. Tukifika hapo tutaanza kulaumiana mwenyewe kwa mwenyewe. Hatutakuwa salama.

Nini kifanyike? Hatuja chelewa bado.Complete lockdown haikwepeki. Mbinu za kisayansi lazima tuzifuate. Uchumi utayumba kidogo ,sawa lakini maisha ya watu ni bora zaidi. Tukiwasikiliza watu maslahi tutajuta.

Jana tarehe 13.04.2020 Mwanajamvi mmoja anaitwa TumainiEl alitoa ufafanuzi mjarabu. Tuufuate tu.
Mkuu tumeshachelewa,tumeshaambukizana na karibia nchi nzima kunaweza kuwa na mgonjwa.watu wote wangekuwa na akili Kama zangu kwanza tungeanza kwa kumvurumishia mbali huyu masikini aliyepanga kwenye ikulu yetu.

Kutokana na umasikini wake aliona pesa ni muhimu kuliko uhai wetu,ameonesha usaliti mkubwa kwa wananchi wa Tanzania, hana tofauti na Yuda iskaliote aliyedhani vipande theradhini vya pesa kuliko uhai wa mtu.Tunapaswa kuingia kwenye lockdown tukiwa na jemedari mwingine na si huyu msaliti
 
Uzuri ni kwamba Kukiwa na njaa ya ugali hukuwezi kuwa na njaa ya kukulana na EX
Mama D ulijaribu wapi hebu nipe uzoefu wako kuwa kukiwa na njaa, basi mengine hayawezi kufanyika! Mtani unazingua
 
Kama maambukizi yatapanda sana si ajabu ukaisikia serikali inatupeleka huko huko lockdown.
Maadam mambo hayajafika huko ni bora kuhifadhi vitu muhimu kama chakula,fedha,mkaa, mafuta, pesa za luku n.k,epuka matumizi yasiyokuwa ya lazima katika kipindi hiki cha mwezi mmoja.
Hawa wanasiasa nao wanaangalia upepo,lakini ikijabadirika nao watabadirika.
 
Kwa nini umesema kuwa mwezi May Tanzania tutakuwa kwenye peak ya mashambulizi na vifo?? Wewe ni nani hata useme hivyo?? Wewe ni Mungu uliyeumba mbingu na nchi?

Lock down ni nzuri lakini kama wewe umesema kuwa Tz tunaenda kufa kwa sababu tu hatujafunga majumba yetu na kujifungia ndani basi nimekuchukia kabisaaa. Huna hata huruma kabisa weye. Ni heri nini kwetu?

Tulivyopigika kwa sasa unataka tujifungie ndani ya majumba yetu wakati huu sisi wakulima ndio tunajitahidi kuwahi mvua za masika?? Hivi, ni mtanzania anayejielewa anayasema haya au?

Nadhani mnahitaji kwenda kupimwa akili zenyu. Chuki zenu kwa JPM zisitufanye hata sisi tusiojua siasa kuumizwa na uchokozi wenyu.

Tiyari tushachelewa kujifungia ndani. Acha tuu tungojee vifo vyako ulivyoviona lakini, nadhani huo mwezi May, tutakuwa tunakufa lakini sisi wakulima tutakufa tukichoma mahindi mabichi. Upo hapo?

Ngojea hao unaosema walifanya vyema kujifungia waanze kutoka humo ndani kwa sababu ya njaa uone vita yao. Ndipo na sisi tutaifunga mipaka tuone watakula nini kama sio vumbi la corona.

Tumuombe Mungu kwa bidii na kuziacha njia zetu mbaya. Alisema JPM. Hebu tumuunge mkono

Kumbe maoni yake ni Kwa sababu ya Chuki Kwa Mheshimiwa basi hakuna haja ya lockdown lakini kama ni Kwa ajili ya Usalama wa watanzania basi kuna haja ya kutafakari na sio kupiga kelele
 
Corona virus free are Sure? Au unajiandikia tu kuna nchi ya Afrika inayoweza kupambana na Corona.mbona mnapenda sana tufungiwe.
Naam! Wanajamvi bila shaka wote mmejaliwa Afya njema licha ya kwamba tunatishiwa na virusi vya Corona.

Niende kwenye mada moja kwa moja. Katika janga hili kuna jambo moja ambalo wote tunakubaliana, nalo ni kwamba Covid-19 ni habari na ni adui yetu anayestahili kupigwa. Hilo halina mjadala.

Lakini tupambane vipi ndio shida inapoanzia na kutugawa. Kwanini tumegawika? Tatizo ni umasikini. Umasikini wa kipato unatufanya unatufanya tufikiri kimasikini na wakati mwingine tunawaza kijinga.

Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi Nchi hizi zote zipo kwenye complete lockdown ili kupambana na Covid-19! Hii ni njia aghali sana lakini yenye uhakika wa kumshinda adui.Hakuna njia ya mkato. Wakifika May nchi zao zitakuwa Corona virus free.

Wakati huo Tanzania tutakuwa kwenye peak ya maambukizi na vifo vinavyo ababishwa na Covid-19. Nchi hizi zote zitatutenga! Amini usiamini. Tukifika hapo tutaanza kulaumiana mwenyewe kwa mwenyewe. Hatutakuwa salama.

Nini kifanyike? Hatuja chelewa bado.Complete lockdown haikwepeki. Mbinu za kisayansi lazima tuzifuate. Uchumi utayumba kidogo ,sawa lakini maisha ya watu ni bora zaidi. Tukiwasikiliza watu maslahi tutajuta.

Jana tarehe 13.04.2020 Mwanajamvi mmoja anaitwa TumainiEl alitoa ufafanuzi mjarabu. Tuufuate tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini umesema kuwa mwezi May Tanzania tutakuwa kwenye peak ya mashambulizi na vifo?? Wewe ni nani hata useme hivyo?? Wewe ni Mungu uliyeumba mbingu na nchi?

Lock down ni nzuri lakini kama wewe umesema kuwa Tz tunaenda kufa kwa sababu tu hatujafunga majumba yetu na kujifungia ndani basi nimekuchukia kabisaaa. Huna hata huruma kabisa weye. Ni heri nini kwetu?

Tulivyopigika kwa sasa unataka tujifungie ndani ya majumba yetu wakati huu sisi wakulima ndio tunajitahidi kuwahi mvua za masika?? Hivi, ni mtanzania anayejielewa anayasema haya au?

Nadhani mnahitaji kwenda kupimwa akili zenyu. Chuki zenu kwa JPM zisitufanye hata sisi tusiojua siasa kuumizwa na uchokozi wenyu.

Tiyari tushachelewa kujifungia ndani. Acha tuu tungojee vifo vyako ulivyoviona lakini, nadhani huo mwezi May, tutakuwa tunakufa lakini sisi wakulima tutakufa tukichoma mahindi mabichi. Upo hapo?

Ngojea hao unaosema walifanya vyema kujifungia waanze kutoka humo ndani kwa sababu ya njaa uone vita yao. Ndipo na sisi tutaifunga mipaka tuone watakula nini kama sio vumbi la corona.

Tumuombe Mungu kwa bidii na kuziacha njia zetu mbaya. Alisema JPM. Hebu tumuunge mkono
Umepoteza muda wa bure tu!!
 
Corona inachangamoto nyingi,cha ajabu nchi zilizofanya vizuri sana ni Taiwan na Korea Kusini,Singapore hazikufanya lockdown, pia Sweden imegoma kabisa kufanya lockdown.
 
Mkuu hali halisi ya nchi hizo ni tofauti sana na kwetu.do you think bus la abiria pale Stockholm linajaza Kama mwendo kasi yenu au daladala ya Mbagala Kariakoo? Do you think mitaa ya Stockholm inajaza watu Kama Congo street au Karume?

Yaani wanaccm kwenye Mambo ya msingi hamjilingsnishi na nchi yoyote iliyoendelea Ila linapokuja suala la kutaka kujustify ujinga wenu aaah you compare yourself with anybody,pumbavu zenu
 
Kwa nini umesema kuwa mwezi May Tanzania tutakuwa kwenye peak ya mashambulizi na vifo?? Wewe ni nani hata useme hivyo?? Wewe ni Mungu uliyeumba mbingu na nchi?

Lock down ni nzuri lakini kama wewe umesema kuwa Tz tunaenda kufa kwa sababu tu hatujafunga majumba yetu na kujifungia ndani basi nimekuchukia kabisaaa. Huna hata huruma kabisa weye. Ni heri nini kwetu?

Tulivyopigika kwa sasa unataka tujifungie ndani ya majumba yetu wakati huu sisi wakulima ndio tunajitahidi kuwahi mvua za masika?? Hivi, ni mtanzania anayejielewa anayasema haya au?

Nadhani mnahitaji kwenda kupimwa akili zenyu. Chuki zenu kwa JPM zisitufanye hata sisi tusiojua siasa kuumizwa na uchokozi wenyu.

Tiyari tushachelewa kujifungia ndani. Acha tuu tungojee vifo vyako ulivyoviona lakini, nadhani huo mwezi May, tutakuwa tunakufa lakini sisi wakulima tutakufa tukichoma mahindi mabichi. Upo hapo?

Ngojea hao unaosema walifanya vyema kujifungia waanze kutoka humo ndani kwa sababu ya njaa uone vita yao. Ndipo na sisi tutaifunga mipaka tuone watakula nini kama sio vumbi la corona.

Tumuombe Mungu kwa bidii na kuziacha njia zetu mbaya. Alisema JPM. Hebu tumuunge mkono
Umekula maharage ya wap wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are yu a Christian realy?? Huenda ni mkristo wa jina. Hivi kuna kitu cha kumshinda Mungu wetu?? Do yu believe in the word of God? Naomba usijiite mkristo huku neno la Mungu likikupita kushoto.
Muamini Mungu. Aweza kulipitisha mbali hili janga na lisitufikie Tz.

Janga limeshatufika, halijapitishwa mbali.

Yageuze haha mawe yawe mkate,

"Mtu hataishi kwa mkate tu, Bali kwa kila neno litokalo kwa Mungu"

Jirushe kwenda huko chini, atakutumia Malaika wakudake usiumie.

"Usimjaribu Bwana Mungu wako"

Ukinisujudia, nitakukabidhi nchi yote hiyo na vyote vilivyomo.

"Msujudie Mungu pekee"

Ni Mungu pekee ndiye anatupatia Akili na Maarifa ya KUSHINDA MAJARIBU YOTE.

TUTUMIE AKILI NA MAARIFA TUYAPATAYO KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU KUJIEPUSHA NA VIRUSI VYA KORONA.
 
Corona inachangamoto nyingi,cha ajabu nchi zilizofanya vizuri sana ni Taiwan na Korea Kusini,Singapore hazikufanya lockdown, pia Sweden imegoma kabisa kufanya lockdown.
Hizo Nchi zote zilifanya tathini ya maambukizi na kuchukua hatua kadhaa za kudhibiti maambukizi mapya. Halafu sehemu kubwa ya jamii zao ziko civilized.
 
Yana mbelewele tiyari
Kuna Mchungaji mmoja huko Marekani aliwaaminisha waumini wake kuwa Covid-19 si chochote ! Waombe tu itakwisha! Alas!! Jana kafa yeye mwenyewe kwa Covid-19! Imani bila akili......
 
Kila mtu ana mbinu zake za kupambana katika vita, Magufuli kaamua kupambana vita kwa kutumia mbinu ya kumtanguliza Mungu mbele.
 
Back
Top Bottom