Uamuzi tuliochagua ni hatari sana

Uamuzi tuliochagua ni hatari sana

Kumbe maoni yake ni Kwa sababu ya Chuki Kwa Mheshimiwa basi hakuna haja ya lockdown lakini kama ni Kwa ajili ya Usalama wa watanzania basi kuna haja ya kutafakari na sio kupiga kelele
Hizo ni chuki binafsi tu kwa mjamaa flan. Ninachokijua ni kuwa; tutakufa wengi tu lakini si kwaa sababu ya kuachilia uhuru wetu. Huko walikofunga milango nako wanakufa tu.
 
Kuna Mchungaji mmoja huko Marekani aliwaaminisha waumini wake kuwa Covid-19 si chochote ! Waombe tu itakwisha! Alas!! Jana kafa yeye mwenyewe kwa Covid-19! Imani bila akili......
Kwa hiyo kifo cha huyo mchungaji ni kwa vile aliwaaminisha hao waumini wake kuwa wawe na imani?? Laiti angeliwaambia waumini kuwa corona inaua asingelikufa?? Jamani, acheni hizo kejeli. Corona inaua hata kwa anayeisema kuwa ni janga. Waliofunga milano mbona nao wafwaa??
 
Kila mtu ana mbinu zake za kupambana katika vita, Magufuli kaamua kupambana vita kwa kutumia mbinu ya kumtanguliza Mungu mbele.
Magufuli ni Mwanasiasa ! Anajua anacho Fanya.Hana fedha za kuwaweka watu majumbani. Take it from me.
 
Naam! Wanajamvi bila shaka wote mmejaliwa Afya njema licha ya kwamba tunatishiwa na virusi vya Corona.

Niende kwenye mada moja kwa moja. Katika janga hili kuna jambo moja ambalo wote tunakubaliana, nalo ni kwamba Covid-19 ni habari na ni adui yetu anayestahili kupigwa. Hilo halina mjadala.

Lakini tupambane vipi ndio shida inapoanzia na kutugawa. Kwanini tumegawika? Tatizo ni umasikini. Umasikini wa kipato unatufanya unatufanya tufikiri kimasikini na wakati mwingine tunawaza kijinga.

Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi Nchi hizi zote zipo kwenye complete lockdown ili kupambana na Covid-19! Hii ni njia aghali sana lakini yenye uhakika wa kumshinda adui.Hakuna njia ya mkato. Wakifika May nchi zao zitakuwa Corona virus free.

Wakati huo Tanzania tutakuwa kwenye peak ya maambukizi na vifo vinavyo ababishwa na Covid-19. Nchi hizi zote zitatutenga! Amini usiamini. Tukifika hapo tutaanza kulaumiana mwenyewe kwa mwenyewe. Hatutakuwa salama.

Nini kifanyike? Hatuja chelewa bado.Complete lockdown haikwepeki. Mbinu za kisayansi lazima tuzifuate. Uchumi utayumba kidogo ,sawa lakini maisha ya watu ni bora zaidi. Tukiwasikiliza watu maslahi tutajuta.

Jana tarehe 13.04.2020 Mwanajamvi mmoja anaitwa TumainiEl alitoa ufafanuzi mjarabu. Tuufuate tu.
Kubwa watu wapimwe sasa kama wenzetu kenya sio hadi watu waumwe.
Screenshot_2020-04-14-20-35-24.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kifo cha huyo mchungaji ni kwa vile aliwaaminisha hao waumini wake kuwa wawe na imani?? Laiti angeliwaambia waumini kuwa corona inaua asingelikufa?? Jamani, acheni hizo kejeli. Corona inaua hata kwa anayeisema kuwa ni janga. Waliofunga milano mbona nao wafwaa??
Maana yake ni kwamba ukiambiwa UKIMWI unaua ,Acha zinaa.ukisema Mungu atakulinda, amini nakuambia unakufa.Unaambiwa Covid-19 ni habari unasema Mungu atatupigania!! Haha! Ndio maana alikupa akili na utashi ili upime mambo kwa ufasaha.

Kama umefika mahali pa kulinganisha UKIMWI na Corona nadhani una tatizo la kiakili. Kweli UKIMWI unaopatikana kwa mapenzi unaulinganisha na corona?? Si ndo maana tunaiomba serekali iongeze elimu juu ya janga hili?? Unaambiwa vaa kinga usifanye ngono zembe lakini hata ukivaa mask 10 kupata corona ni rahisi tu. Usilinganishe na ukimwi tafadhali
 
Hao wenyewe waliofanya completely lockdown wanatamani kujiondoa huko na kutafuta njia mbadala.
 
Pale ambapo watanzania mpaka December tutakataliwa kuingia nchi nyingine ndo akili itatukaa sawa

Let's carry on na huu utaratibu wa Mh.
 
Tiyari tushachelewa kujifungia ndani. Acha tuu tungojee vifo vyako ulivyoviona lakini, nadhani huo mwezi May, tutakuwa tunakufa lakini sisi wakulima tutakufa tukichoma mahindi mabichi. Upo hapo?
Hivi kweli uliiandika hii sentensi ukielewa maana yake? Utachoma vipi mahindi huku unakufa!

Hebu nikuulize jambo.
Hivi maana ya "lockdown" ni moja tu, ya kufungia watu wote ndani? Haiwezekani pakawepo na 'lockdown' sehemu fulani kwa sababu maalum, na sehemu zingine zikawa hazina hiyo 'lockdown' na watu wakawa wanaendelea na shughuli zao kama kilimo kwa tahadhari watakayokuwa wamepewa na wataalam.

Wewe hapo ulijibainisha husukumwi na siasa kuyaandika uliyoandika, lakini kinachojitokeza wazi ni kuwa wewe ni shabiki wa mtu au? Ushabiki huo umekupofusha hata usielewe unachoandika?
 
Kupanga ni kuchagua mtoa mada. Tumechagua kutojifungia na wao wamechagua njia zao. Hivyo yajayo nikama mchezo wa bahati nasibu, vp janga likiisha na Tz isifike unakofikiria wewe JPM si atakuwa lulu?.
 
Kama umefika mahali pa kulinganisha UKIMWI na Corona nadhani una tatizo la kiakili. Kweli UKIMWI unaopatikana kwa mapenzi unaulinganisha na corona?? Si ndo maana tunaiomba serekali iongeze elimu juu ya janga hili?? Unaambiwa vaa kinga usifanye ngono zembe lakini hata ukivaa mask 10 kupata corona ni rahisi tu. Usilinganishe na ukimwi tafadhali
[/QUOTE
Unaona unachanganya mambo? Ukimwi haupatikani kwa mapenzi bali kwa zinaa/ngono tena zembe! CCovid-19 inasababishwa na virus ambavyo vinasambazwa kwa njia ya hewa na kushikana au kushika sehemu yenye virus.That is why we say the best way to avoid it is to stay at home! The second best is to avoid unnecessary contacts with people who might be are infected with the deadly virus.The third best is the cure of the disease which we do not have yet!! I think so far I proved beyond doubt that am smarter than you.
 
Kupanga ni kuchagua mtoa mada. Tumechagua kutojifungia na wao wamechagua njia zao. Hivyo yajayo nikama mchezo wa bahati nasibu, vp janga likiisha na Tz isifike unakofikiria wewe JPM si atakuwa lulu?.
Nataka nikuhakikishie tukiendelea hivi tutakufa kama viroboto. Mungu huwasaidia watu wanao tumia akili. Waulize waisrael juzi wamefunga masinagogi kwa kuopa kuambukizana Covid-19.Waulize waarabu Miskiti mikubwa imefungwa na wanatafakari kama ibada ya Hija iwepo ama laa! Yote ni kujaribu kupambana na Covid-19.
 
Uganda wameongeza wiki tatu za lockdown, sisi tumeamua kuendelea kupiga ramli..
 
Hapa kazi tu.... wacha uvivu. Alisikika akisema mzee mmoja anayekula bata kijijini kwake.
 
Back
Top Bottom