Mtoto Wabibi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 451
- 296
alipata sifa nyingi sana na alikuwa maarufu sana.Mtoa wachawi maarufu wa miaka ya 80-90 hakuwa nyanda za juu tu bali mpaka maeneo ya mwambao wa pwani mpaka milimani
Alikuwa akifika kijijini kwetu nyimbo zinaimbwa sana kumsifia hapo wachawi ni kukimbilia mlimani tu kuficha uchawi. nimeshuhudia anavyotoa uchawi na ndio ilikuwa mara ya kwanza kuona vipembe.nlikuwa mdgo kama darasa la tatu hivi lakini hadi leo nakumbuka