Uagadou: Chuo kikuu pekee cha ushirikina Africa

Sikuwa hewani siku mbili hizi natamani ungejua nilikuwa wapi au tungeenda wote...! Truly stunning and amazing down there....!
nataman uuone moyo wangu ulivo na shauku ya kujua ulikua wapi-haya ning'oneze ulikua wp
 
Mpaka sasa haijulikani ni wapi hasa kipo chuo hiki kwenye ardhi ya Africa japo inawezekana na kusemakana ama kiko Zambia au karibu na hapo
Mbona Rowling keshatoa jibu? Kiko Uganda...Uagadou takes students from all over Africa, but it is in Uganda. Hata hivyo usihangaike kukitafuta, kama una sifa chuo chenyewe kitakutafuta.
 
Nimekuwa Kampala kwa muda mrefu tu mpaka Juba lakini nimeshindwa kukipata labda sikidhi vigezo, ngoja niwasiliane na watu wangu wa huko tena
 
Mshana Jr umekuwa muhubiri wa shetani huwa wewe humjui Mungu zaidi ni shetani? Mungu aliekuumba wewe ni zaidi unazungimzia shetani,
 
Usipoteze muda wako kwani umepoteza sifa tayari...chuo ni kwa wenye sifa tu na mwenye sifa hahangaiki kukitafuta, ukijaribu tu usahau. Samahani siwezi kusema zaidi.
 
Hapana mimi sio wakala wa shetani, mimi ni mchaMungu ninayesimama kwenye imani yangu thabiti, ninachoandika ni mafunuo
Naomba unifafanulie ni Mungu yupi unaemwabudu bwana Mshana Jr, sababu mada zako huwa zinalenga kuwafundisha watu namna ya kuweza kufanya ulozi nakuwa wachawi nafikiri tunakubaliana katika hili.
Katika kusoma vitabu vitakatifu hasa biblia kuna amri ya Mwenyezi MUNGU muumba wa mbingu na nchi inasema mimi ni bwana MUNGU wako na usiwe na miungu mingine.
Sasa hauoni kuwa unapingana na amri za Mwenyezi MUNGU muumba wa mbingu na nchi hadharani kwa kufundisha mambo ya shetani yanayohusu uchawi na ulozi na watu wengine humu JF wanakuiga kwa kupenda au kutopenda.
 
Mshana Jr umekuwa muhubiri wa shetani huwa wewe humjui Mungu zaidi ni shetani? Mungu aliekuumba wewe ni zaidi unazungimzia shetani,

Mbona sijaona maali aliko ubiri ushetani? Mshana siku zote anachojaribu kutuambia ndo uhalisia wetu afrika nyie endeleeni tu kuamini izo mlizoletewa na wazungu na waarabu
Naimani kama africa tungeshika imani zetu akuna bara lingekua tajiri kama ili
 
Mbona Rowling keshatoa jibu? Kiko Uganda...Uagadou takes students from all over Africa, but it is in Uganda. Hata hivyo usihangaike kukitafuta, kama una sifa chuo chenyewe kitakutafuta.

hicho chuo kipo zambia,ni kitambo sana tena wanafunzi wao wengi ni kutoka nigeria na ghana
Nami ninavyojua kiko somewhere Zambia ila ngoja nikatafiti zaidi
 
Naomba unifafanulie ni Mungu yupi unaemwabudu bwana Mshana Jr, sababu mada zako huwa zinalenga kuwafundisha watu namna ya kuweza kufanya ulozi nakuwa wachawi nafikiri tunakubaliana katika hili.
Katika kusoma vitabu vitakatifu hasa biblia kuna amri ya Mwenyezi MUNGU muumba wa mbingu na nchi inasema mimi ni bwana MUNGU wako na usiwe na miungu mingine.
Sasa hauoni kuwa unapingana na amri za Mwenyezi MUNGU muumba wa mbingu na nchi hadharani kwa kufundisha mambo ya shetani yanayohusu uchawi na ulozi na watu wengine humu JF wanakuiga kwa kupenda au kutopenda.
Wala sijawahi kufundisha uchawi hapa zaidi ya kuwafunulia watu ninini kipo kwenye ulimwengu wa giza. ..naamini wengi wameelimika mno na kwasasa hawababaishwi tena na mambo ya kichawi kiroho na kishirikina
Uchawi ni fani inayojitegemea yenye kanuni taratibu na masharti yake huwezi kuufundisha kirahisi rahisi hivi tu mtandaoni, ni elimu fulani ngumu na isiyoelekezeka nyuma ya keyboard
 
Mbona sijaona maali aliko ubiri ushetani? Mshana siku zote anachojaribu kutuambia ndo uhalisia wetu afrika nyie endeleeni tu kuamini izo mlizoletewa na wazungu na waarabu
Naimani kama africa tungeshika imani zetu akuna bara lingekua tajiri kama ili
Mwanzoni nilipata shida kuitwa mchawi, kwasababu mimi sio mchawi sio mganga na wala sirogi, niliobahatika kukutana nao wananifahamu vema
 
3a07edfaf90164d48f2c9fb9e8059abb.jpg

Kikisemekana kimehimili changamoto za kitaaluma duniani ni chuo pekee cha kishirikina kilichopo Africa ambacho kimeweza kudumu kwa zaidi ya miaka 1000

Wanafunzi wake wakipatikana kwa njia ya ajabu kabisa ya kuletewa ujumbe ndotoni kimeweza kujipambanua kwa upekee

Mpaka sasa haijulikani ni wapi hasa kipo chuo hiki kwenye ardhi ya Africa japo inawezekana na kusemakana ama kiko Zambia au karibu na hapo
Tuna watu wengi sana ambao wangependa kujifunza elimu hii adhimu na adimu fanyeni juhudi kukitafuta hiki chuo kwenye elimu ya ushirikina na ulozi duniani hiki chuo kinaheshimika mno

48fb2a24c81cd0050d44dc02d03949a3.jpg
hivi kwanini mambo haya yanafanywa kwa kujificha?hebu cheki hata location tu ya chuo haijulikani
 
Mshana Jr iyo Elim uliipata wp?

Au ulkw kwe upande wa giza afu baadae ukajitoa huku ushpata mambo yote unayotupa umu?

Na je ka haupo upande wa giza, je unajiamin kivip wakat unajua Hao wagiza hawafurahshw na kufunua mambo Yao waz!?

Mwsho Kuna haja ya kujiwek waz mkuu ili pengne watu wenye shda umu JF wakutafte...

Nasbr maelezo mkuu mshana Jr

By Rwekaza Autonomy.
 
Back
Top Bottom