Uagadou: Chuo kikuu pekee cha ushirikina Africa

Uagadou: Chuo kikuu pekee cha ushirikina Africa

Mshana Jr iyo Elim uliipata wp?

Au ulkw kwe upande wa giza afu baadae ukajitoa huku ushpata mambo yote unayotupa umu?

Na je ka haupo upande wa giza, je unajiamin kivip wakat unajua Hao wagiza hawafurahshw na kufunua mambo Yao waz!?

Mwsho Kuna haja ya kujiwek waz mkuu ili pengne watu wenye shda umu JF wakutafte...

Nasbr maelezo mkuu mshana Jr

By Rwekaza Autonomy.
Tuwasiliane pm siwezi kusema kila kitu hapa natumia jina na picha halisi....pamoja na yote haya ninayeandika lakini mwisho wa siku inabidi nibaki mimi kama mimi
 
mawazo yangu,tungekuwa wawazi s tungekuwa mbali sana?i mean tungeweza kusafiri haraka,kutengeneza miripuko na kuwa na jeshi bila ya kuonekana
Uko sahihi kabisa lakini hebu angalia image yangu hapa jukwaani pamoja na kujitetea kote na kusema ukweli wote lakini bado siaminiki naonekana mchawi....bado tuna safari ndefu sana
 
3a07edfaf90164d48f2c9fb9e8059abb.jpg


Kikisemekana kimehimili changamoto za kitaaluma duniani ni chuo pekee cha kishirikina kilichopo Africa ambacho kimeweza kudumu kwa zaidi ya miaka 1000

Wanafunzi wake wakipatikana kwa njia ya ajabu kabisa ya kuletewa ujumbe ndotoni kimeweza kujipambanua kwa upekee

Mpaka sasa haijulikani ni wapi hasa kipo chuo hiki kwenye ardhi ya Africa japo inawezekana na kusemakana ama kiko Zambia au karibu na hapo
Tuna watu wengi sana ambao wangependa kujifunza elimu hii adhimu na adimu fanyeni juhudi kukitafuta hiki chuo kwenye elimu ya ushirikina na ulozi duniani hiki chuo kinaheshimika mno

48fb2a24c81cd0050d44dc02d03949a3.jpg
mshana jr, hivi Kule Gamboshi kwa kina Babake Baraka, hamna chuo kama hiki?
Congo kuna uchawi Wa hali ya juu sana, nadhani huko ndiko chuo hiki kikuu kiliko
 
Aisee Mshana Jr, naomba unijibu hili swali.
lengo hasa la kupost mambo ya ulozi na uchawi katika kila mada zako lengo ni nini hasa?
Nafikiri itakuwa vyema ukijiweka wazi kuwa wewe ni wakala wa shetani humu JF ili wadau wote wajue
Mtu kupost jambo fulani haimaanishi kuwa ni mdau wa jambo husika bali ni kutaka kuihabarisha jamii;Kwa mfano mtu akipost jambo lihusulo UKIMWI je,inamaanisha naye ana UKIMWI???.
 
'Know the rules well, so you canbreak them effectively.' Kujua kitu au shauku yakutamani kujua haimanishi ndo umekipenda au ndounachokitaka nakukiamin
 
Aiseeee, hicho chuo hawafundishi kozi za kuwadaka watoto wazuri wazuri kama wale wanaofanyaga kazi mitaa ya Posta pale.

Ninahisi nina kagundu ka kudaka totoz nzuri nzuri, totoz zangu zote ninazoambuliaga ni zile wafyatua matofali ya kuchoma wanaita "reject".

Hiki chuo kitanifaa sana aisee.




Bora ya wewe Mimi sijawahi kupata mwanamke mwenye fedha zake akajaribu hata kulipia bill yaani huwa nayapata machura yenye njaa kinyama tena 98% niwalevi
 
Sikuwa hewani siku mbili hizi natamani ungejua nilikuwa wapi au tungeenda wote...! Truly stunning and amazing down there....!





Hivi Mshana unatumia theory gani kuyajua haya mambo yakutisha kiasi hiki?
 
Mimi ninavyoona hicho chuo kipo uganda kwa maana "mountains of moon "
ni jina la maarufu la mlima ruwenzori na lilikuwa likivuma hadi pande za misri
 
Yaani chuo kiwepo duniani kwa zaidi ya miaka 1000 lakini kisijulikane kipo nchi gani. This is absolutely hallucination.
 
Back
Top Bottom