Uagadou: Chuo kikuu pekee cha ushirikina Africa

Uagadou: Chuo kikuu pekee cha ushirikina Africa

Kama ni kweli basi naanza kuamini una element za uchawi kama yeye.... we hatari aisee. Yani mimi ile taswila ya kipembe (pembe la ngombe lilikuwa linafoka damu huku lina shanga na vitambaa vyeusi na nyekundu) inanisumbua.yani kila mchawi huwa nahisi anacho
Hahaha hata yale mahirizi aliyokuwa anayafukua mbona nilikuwa nayabeba mimi kuyapeleka upenuni
 
Hiki chuo kipo cameroun mji nimeusahau,niliwahi chukua diploma ya Hirizi hapo mpaka sasa mtu mwenye degree hapo ni mmoja tu!
 
Hiki chuo kipo cameroun mji nimeusahau,niliwahi chukua diploma ya Hirizi hapo mpaka sasa mtu mwenye degree hapo ni mmoja tu!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Me pia ningeshukuru
Maana siyo kawaida Mtani
Ila wapare nao

Na hii ndiyo taabu zenu waafrika ! Kitu kinaitwa elimu kwenu ni shida! Ndiyo maana wawezaweka pesa katikati ya kitabu na ukaiacha sebuleni mwezi mzima na kuikuta pamoja na kuwa na watu azidi ya 3 ndani ya nyumba na bado wageni huwahesabu.
 
Uzuri wa Yesu Kristo ni kuwa "Yesu Kristo hasomewi ila anaaminiwa" by Apostle and Prophet Josephat E. Mwingira.
 
Uzuri wa Yesu Kristo ni kuwa "Yesu Kristo hasomewi ila anaaminiwa" by Apostle and Prophet Josephat E. Mwingira.
Usipokuwa kule kwenye siasa unakuwa binti mzuri kweli [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
3a07edfaf90164d48f2c9fb9e8059abb.jpg

Kikisemekana kimehimili changamoto za kitaaluma duniani ni chuo pekee cha kishirikina kilichopo Africa ambacho kimeweza kudumu kwa zaidi ya miaka 1000

Wanafunzi wake wakipatikana kwa njia ya ajabu kabisa ya kuletewa ujumbe ndotoni kimeweza kujipambanua kwa upekee

Mpaka sasa haijulikani ni wapi hasa kipo chuo hiki kwenye ardhi ya Africa japo inawezekana na kusemakana ama kiko Zambia au karibu na hapo
Tuna watu wengi sana ambao wangependa kujifunza elimu hii adhimu na adimu fanyeni juhudi kukitafuta hiki chuo kwenye elimu ya ushirikina na ulozi duniani hiki chuo kinaheshimika mno

48fb2a24c81cd0050d44dc02d03949a3.jpg

Its totally hoax. This college does not exist. Hiyo makala inayo elezea vyuo vya uchawi duniani, inazunguka kwenye intaneti tangu miaka ya 2000 mwanzoni. Hakunaga chuo cha " uchawi " duniani. Uchawi haufundishwi chuoni
 
Ni kama Hogwarts mkuu.
 
Its totally hoax. This college does not exist. Hiyo makala inayo elezea vyuo vya uchawi duniani, inazunguka kwenye intaneti tangu miaka ya 2000 mwanzoni. Hakunaga chuo cha " uchawi " duniani. Uchawi haufundishwi chuoni
Hata kile cha pale Buguruni malapa na kile cha kule Tanga? LIKUD naamini unafahamu vyema mfumo wa hivi vyuo..kwahiyo kinapoitwa chuo naamini kwa dhati kabisa kwamba sio vyuo vya uniform daftari na pencil na ufutio na mkebe
 
Namkubali sana mshana Jr natka kibanda changu cha m Pesa nkibadili jina nkiita mshana Jr,nakukubali sana bro
 
Back
Top Bottom