Uagadou: Chuo kikuu pekee cha ushirikina Africa

Namkubali sana mshana Jr natka kibanda changu cha m Pesa nkibadili jina nkiita mshana Jr,nakukubali sana bro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitakuchaji commission ya hakimiliki nika[emoji485] [emoji482] [emoji493] [emoji494]
 
Wacha unifunge hayshe we mkali sana,heb nsaidie uchawi umeshindwa kutibu vvu?
 
Hapana labda utupiwe uchawi wenye kufanana na ukimwi
Ok thanx na tunasikia wachawi wamekamatwa wako uchi wanaenda mkutanoni na je kama ni jinsia mbili tofauti wakifanya mapenz huko ulimwengu wa roho na mmoja ameadhirika je hawezi kumwambukiza mwingine??
 
Hapana kwakuwa mapenzi ya kichawi ni tofauti na mapenzi ya kawaida...kumbuka kwenye uchawi kila kitu ni kinyume (simaanishi kinyume cha maumbile kwenye hii reply )
 
3a07edfaf90164d48f2c9fb9e8059abb.jpg

Kikisemekana kimehimili changamoto za kitaaluma duniani ni chuo pekee cha kishirikina kilichopo Africa ambacho kimeweza kudumu kwa zaidi ya miaka 1000

Wanafunzi wake wakipatikana kwa njia ya ajabu kabisa ya kuletewa ujumbe ndotoni kimeweza kujipambanua kwa upekee

Mpaka sasa haijulikani ni wapi hasa kipo chuo hiki kwenye ardhi ya Africa japo inawezekana na kusemakana ama kiko Zambia au karibu na hapo
Tuna watu wengi sana ambao wangependa kujifunza elimu hii adhimu na adimu fanyeni juhudi kukitafuta hiki chuo kwenye elimu ya ushirikina na ulozi duniani hiki chuo kinaheshimika mno

48fb2a24c81cd0050d44dc02d03949a3.jpg
Mshana don't fall easily for anything you read on the web,unaona hilo jina Rowling?huyo ni mmama JK Rowling mwandishi wa Harry Porter.

Alisema hiko chuo kiko Uganga na wala sio real kama ilivyo Hogwarts tu.aliulizwa je kwenye ulimwengu wa Harry Potter hakuna vyuo vingine ?ndio akataja vyuo kadhaa vingine toka Japan na kadhalika.

Hizo ni fantasy tu.nothing serious.ila kama unatafuta wateja uwagangie sawa hakuna shida.wafunge kamba tu.

Magic schools in JK Rowling's wizarding world - what you need to know

Angalia hiyo link kwenye gazeti la the guardian la uk wameweka hiyo habari section ya watoto.

4ac43c590bfd99c2157b3aa598a36076.jpg

3a07edfaf90164d48f2c9fb9e8059abb.jpg

Kikisemekana kimehimili changamoto za kitaaluma duniani ni chuo pekee cha kishirikina kilichopo Africa ambacho kimeweza kudumu kwa zaidi ya miaka 1000

Wanafunzi wake wakipatikana kwa njia ya ajabu kabisa ya kuletewa ujumbe ndotoni kimeweza kujipambanua kwa upekee

Mpaka sasa haijulikani ni wapi hasa kipo chuo hiki kwenye ardhi ya Africa japo inawezekana na kusemakana ama kiko Zambia au karibu na hapo
Tuna watu wengi sana ambao wangependa kujifunza elimu hii adhimu na adimu fanyeni juhudi kukitafuta hiki chuo kwenye elimu ya ushirikina na ulozi duniani hiki chuo kinaheshimika mno

48fb2a24c81cd0050d44dc02d03949a3.jpg
 
Mshana don't fall easily for anything you read on the web,unaona hilo jina Rowling?huyo ni mmama JK Rowling mwandishi wa Harry Porter.

Alisema hiko chuo kiko Uganga na wala sio real kama ilivyo Hogwarts tu.aliulizwa je kwenye ulimwengu wa Harry Potter hakuna vyuo vingine ?ndio akataja vyuo kadhaa vingine toka Japan na kadhalika.

Hizo ni fantasy tu.nothing serious.

Magic schools in JK Rowling's wizarding world - what you need to know

Angalia hiyo link kwenye gazeti la the guardian la uk wameweka hiyo habari section ya watoto.

4ac43c590bfd99c2157b3aa598a36076.jpg
bukoba boy mbona vyanzo vyetu ni hiyo hiyo Web ? Wao wanakinzana wenyewe...hilo kwangu mimi sio tatizo kwakuwa kupitia personal inner intuition nimejirishisha kuwa hiki chuo kipo na kipo kabisa...anayesema hakipo sitabishana naye hata kidogo kwakuwa naye atakuja na link yake toka kwenye Web hizo hizo
Anayesema ni fantasy bado sina pumzi ya kukunja msuli kumbishia kwakuwa mwisho wa siku reference yake itatoka huko huko nilikotoa mimi
Kwenye mambo mengi we are all victims of Google n the like..kwahiyo mimi binafsi sikimbilii kuamini mtandao bali hutafuta njia zangu binafsi kujiridhisha genuinity ya kilichoandikwa
Ougadou ni chuo halisi cha kishirikina kilichopo somewhere in Africa wala hili si hoax wala hili si fantasy KIPO...!!!
 
Mimi nakushangaa kuona umeweka hii kama hard news wakati hii habari inajulikana ni fantasy tu dunia nzima inajua.

Hata kwenye hiyo source yako wamemtaja mama Rowling kwani hujaona?au humfahamu JK Rowling? Mwanzishi wa ulimwengu wa Harry Porter.source zimefanana sababu wote walitoa habari kwa mtu mmoja.

Intuition? Dah kama unasema ni intuition yako mwenyewe sawa ila sio real ni chuo cha kufikirika tu.
 
Sawa hebu tukubaliane kutokubaliana lakini mimi nitabaki na kushikilia msimamo wangu kuwa Ougadou kipo...Ishu za Harry porter sio za kale kama chuo ya Ougadou na Harry porter kwanza ni mzungu hivyo habari za kuambiwa kuwa kuna chuo mahiri cha uchawi Africa lazima aziponde kwa kiwango kikubwa mno na kwa kutumia nafasi yake na wewe ukanaswa na huo mtego so easily
 
[emoji15]
Hujaelewa,hajaponda uwepo wa hiko chuo.Yeye ndio kasema kuna chuo afrika kinaitwa hilo jina.

Sawa tukubaliane kutokubaliana.kila la kheri katika kazi zako.
 
Sikuwa hewani siku mbili hizi natamani ungejua nilikuwa wapi au tungeenda wote...! Truly stunning and amazing down there....!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
 
[emoji15]
Hujaelewa,hajaponda uwepo wa hiko chuo.Yeye ndio kasema kuna chuo afrika kinaitwa hilo jina.

Sawa tukubaliane kutokubaliana.kila la kheri katika kazi zako.
Nadhani kasema sio chuo halisi ni fantasy college...haya usiku mwema
 
Back
Top Bottom