Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,604
- 1,972
Mkuu usifanye nikachoma NDAFU hapa leoUdongo ulijaa sumu ua likakosa nguvu, ndo hivyo ua limenyauka..!! 🥀
Mkuu usifanye nikachoma NDAFU hapa leoUdongo ulijaa sumu ua likakosa nguvu, ndo hivyo ua limenyauka..!! 🥀
Nikikumbuka Oct 29.... Inaumiza sanaaaa....Waliolazwa na harufu yako hawana ndimi za kusimulia; walio hai wamebaki wakisoma jalada la kitabu ambacho kurasa zake ziliandikwa kwa wino wa
Je kama si kweli akatokea na mipasho kedekede itakuwaje😄Udongo ulijaa sumu ua likakosa nguvu, ndo hivyo ua limenyauka..!! 🥀
Tupo wengi sana tunaona code zinatembea lakini hatujui nini kinaendelea bongo yetu.Wenye D mbili na F tano tumezidiwa na code hatujui nini kimejiri
Niko Ovuwess nachanganyikiwa kabisaWenye D mbili na F tano tumezidiwa na code hatujui nini kimejiri
Itakuwa kuna muujizaNini kimetokea??🤔
( In mwamposa voice).
Ujumbe kwa Samia SuluhuUa sumu yako iliwalaza wengi, na sasa unakinyea kikombe kitamu cha sumawati. Uliyokuwa umande wa alfajiri ukageuka ukungu wa makaburi; harufu yako ikawa utenzi wa usingizi ambao waotaji wake hawakuamka kuisimulia.
Ulisuka nyuzi za tabasamu kwa sindano za sumu, ukawapa wengi maua huku mizizi yako ikinywa machozi yao. Hukujua kwamba hata kivuli kina mwisho wake, na kwamba mkono unaopanda miiba hauwezi milele kuvuna waridi.
Leo, ua limenyauka hatimaye. Si kwa sababu bustani imekosa umande, bali kwa kuwa majira yamevunja mkataba na mizizi. Kikombe ulichokinyanyua kwa shangwe kimegeuka kioo cha fumbo lako; na kile ulichokiita utamu huenda kikawa mwangwi wa uchungu uliowatangulia wengine.
Mto umehifadhi nyayo, udongo umeficha siri, na upepo umekataa kuwa shahidi. Waliolazwa na harufu yako hawana ndimi za kusimulia; walio hai wamebaki wakisoma jalada la kitabu ambacho kurasa zake ziliandikwa kwa wino wa machozi.
Hatimaye, hatutakukumbuka. Si kwa kuwa hukuwahi kuchanua, bali kwa kuwa hata maua yenye sumu huachwa na majira, na hata kivuli kinachotisha hujifuta jua linapobadili njia yake.
Mtume, wanasema ua limenyauka.Nini kimetokea??🤔
( In mwamposa voice).
britanica ndiye huwa na code za uhakika, simuoni humu, hawa wengine hatuwaeliwiMara huku utukufu kwa Mungu, huku tena Ua limenyauka, nyoosheni tuu
Mnanitisha aiseeWenzio wakifiwa wanatulia ndani lakini wewe mwali kigego unapuyanga kila nyumba kama sio mfiwa..!!
Em kaweke viti vya kukalia waombolezaji..!!
"Matumaini hewa"😁Jana nimemfokea kimsboy 😀😅 kwa code tunazozipenda kama hizi lkn hazitokei tangia Oct 29. Jamani kama vp msiseme chochote wacheni tu tupigwe na surprise kuliko matumani hewa.
Maua si mengi mkuu au aliweka wazi ni ua ganiGwaji boy amejiapisha kwa kusema
" Kama ua lisipokauka yeye basi sio Mtumishi wa Mungu na hafahi kumtumikia Mungu
Anaendelea kusema Ua likirudi kama lilivyokuwa yeye abaachana na Madhabahu"
Haya wautangaze hapa ili Mungu atukuzweItakuwa kuna muujiza