U wapi binti mrembo wa arusha?

U wapi binti mrembo wa arusha?

"HYGEIA , mkuu kweli umepewa limbwata" by MadameX

Inawezekana dadaangu MadameX maana nasikia huko Kondoa Limbwata zao ni kiboko.
 
Last edited by a moderator:
Kuna dada mmoja anaweza kukusaidia, ngoja nimwite, sharti usiwe umefikia hoteli za uswahilini maana yeye matawi ya juu.
Erotica , please rescue this lonely heart!


huyo ako disqualified. sitaki watu wapweke mm asije niambukiza huo ugonjwa.

ila kama wewe madamX uko interested, come this way beibe............
 
Last edited by a moderator:
What do you mean Madamex? By the way, as far as I know Erotica (Leyla) isn't a professional receptionist! Leave her alone please! Ni my wife wangu, samahani sana MadameX

HYGEIA Darling mwaaaaah for this post. come this way............
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha....imebidi nicheke....nimekuuliza upo hotel gani coz hata mimi leo nimeshukia hotel yenye hadhi....inawezekana tupo hotel moja....

Tatizo la kulwa12 amejikita katika upweke wa jinsia moja tu, angetaka kampani tu upweke ungeisha leo lakini sharti lake uwe ke linatilisha mashaka!!!!

Preta kama mefikia hotel moja toaneni upweke tehe tehe tehe, aiseeeeeee.
 
Last edited by a moderator:
sshhhhh my caramel flavoured darlin... lets us not spread it all ova! mwaaaaaaah.

Waaaa!My sweetest honey Erotica, luckily not even a drop has leaked! You have taken it all my expert lover! The twins will enjoy holy jelly today!
 
Last edited by a moderator:
Hotel yenye hadhi, Mount Meru, Kibo Palace, Palace Hotel, Impala Hotel, Ngurodoto au Chartity Hotel? Ipi kati ya hizo maana watu kwa kujipakulia pilau hawajambo, jipakulieni makande basi hata kama hayanukii tehe tehe tehe!!!!

Mimi nimefikia hotel inaitwa Frolida jamani wanaJF wa Arusha upweke unanimaliza tehe tehe.

Vigezo uwe mchangamfu kama Kabakabana, uwe mkali na msanii kama Preta au asiyependa masihara kama Lizzy, mpole kama Blaki Womani ili mambo yawe Kitonga au Ukonga - Banana.

Kamapani ya aina hiyo tu ndiyo naitaka, vigezo na masharti kuzingaiwa
 
Last edited by a moderator:
Waaaa!My sweetest honey Erotica, luckily not even a drop has leaked! You have taken it all my expert lover! The twins will enjoy holy jelly today!


aaawwww, u see eh? and the warmth of it too caramel flavored darlin,

u hav forgotten to mention that, I think Kaunga will rest leo no squarms from pregnant Ero today. teh teh.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha....imebidi nicheke....nimekuuliza upo hotel gani coz hata mimi leo nimeshukia hotel yenye hadhi....inawezekana tupo hotel moja....

Jaman ndugu yangu kama uko hapa kwanini usini PM tu kimya kimya mpaka uninyanyase hivi kwenye Public??haya bwana.
 
HYGEIA Darling mwaaaaah for this post. come this way............
Erotica SIO MANENO YA FARAJA HAYO KABISA NAONA UNATUKANA MAMBO KABLA HUJAVUKA MTO..WE HUJUI WAPWEKE NDIO WANAJUA KUJALI??HIYO SIO DISQUALIFICATION KABISA,JARIBU UONE UKARIMU WANGU EROTICA.
 
hotel yenye hadhi, mount meru, kibo palace, palace hotel, impala hotel, ngurodoto au chartity hotel? Ipi kati ya hizo maana watu kwa kujipakulia pilau hawajambo, jipakulieni makande basi hata kama hayanukii tehe tehe tehe!!!!

Mimi nimefikia hotel inaitwa frolida jamani wanajf wa arusha upweke unanimaliza tehe tehe.mzee pole sana,bora twende zetu tanga,arusha ukarimu ni bidhaa adimu sana nimeamini unaweza kupata tanzanite kirahisi kuriko mtu wa kukutoa upwekee!!kweli jamani wageni hamtukarimu???jf jamii yote hiii??

Vigezo uwe mchangamfu kama kabakabana, uwe mkali na msanii kama preta au asiyependa masihara kama lizzy, mpole kama blaki womani ili mambo yawe kitonga au ukonga - banana.

Kamapani ya aina hiyo tu ndiyo naitaka, vigezo na masharti kuzingaiwa
mzee pole sana,bora twende zetu tanga,arusha ukarimu ni bidhaa adimu sana nimeamini unaweza kupata tanzanite kirahisi kuriko mtu wa kukutoa upwekee!!kweli jamani wageni hamtukarimu???
 
Jaman ndugu yangu kama uko hapa kwanini usini PM tu kimya kimya mpaka uninyanyase hivi kwenye Public??haya bwana.

aah....kwa heri bana....mi ndio nacheck out......nipo hapa reception.......next time jipange vizuri......
 
aah....kwa heri bana....mi ndio nacheck out......nipo hapa reception.......next time jipange vizuri......
preta wewe kua halfcast sio sababu ya kunifanya mimi case study ya jinsi mtu anavyoweza kuvumilia upweke huu,ungenisaidia tu,nashukuru lakini.
 
Back
Top Bottom