U wapi binti mrembo wa arusha?

U wapi binti mrembo wa arusha?

preta wewe kua halfcast sio sababu ya kunifanya mimi case study ya jinsi mtu anavyoweza kuvumilia upweke huu,ungenisaidia tu,nashukuru lakini.
Kumbe nyie waswahili wa Pemba....kama vipi wewe mzukie tu kwani naona kama wamfahamu huyu yakhe!.
 
Jamani binti mrembo uliyepo hapa arusha ni pm tafadhari upweke unanimaliza...nimehamia hapa kikazi na niko hotelini tu..karibu japo tubadilishane mawazo na kupata kinywaji kwa muda..ni hilo tu wana familia wa jf arusha.
subiri niwasiliane na yulee sema ni mtaalamu wa kuchuna.Je huko tayari?
 
Back
Top Bottom