U-single huu utaniua!

U-single huu utaniua!

.sex sitaki
impossible!... sex is involuntary!

images
 
kama kuwafunda nimeshawafunda sema walitoroka jandoni ndo maana wanakuwa tabia chafu hapa
umewafunda vijana wetu hawa lakini.? Isije ikawa isije ikawa mtu anarukia tu kama anarukia baiskeli,
 
Yaani mchana unakuwa busy mpaka huoni umuhimu wa mapenzi,ila ikishafika mida hii naonaga kitanda kikubwa mno...aisee girl yeyote wa chit chat ambaye yupo single anionee huruma natamani hii mida nimkumbatie tu kifuani tupige story..sex sitaki ile kampani na uwepo wake inatosha.
Hebu mention unayetamani ungekuwa naye sahizi.


C.C Munkari @Ladymasa @Heaven on Earth

mie kitanda nikikiona kikubwa najaza midoli hadi ibaki sehemu ya saizi yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom