Mbn upon curious ulitaka.kumpa nafasi nn?
Mbn upon curious ulitaka.kumpa nafasi nn?
Yaani mchana unakuwa busy mpaka huoni umuhimu wa mapenzi,ila ikishafika mida hii naonaga kitanda kikubwa mno...aisee girl yeyote wa chit chat ambaye yupo single anionee huruma natamani hii mida nimkumbatie tu kifuani tupige story..sex sitaki ile kampani na uwepo wake inatosha.
Unasubiri nini?
Upo braza....