mbeya yetu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 487
- 102
wapi weye@ lady a
Nakuja mimi, huyo Viol keshakwapuliwa na mkewe ladyfurahia Afu upige kimya!
Mambo gani bhana huyo ladyfurahia unanisingia,halafu unaenda wapi? c.c Lady doctor
hata mie jamaninakuangalia ujue hayo matendo yako machafu unayoyafanya usifikiri sikuoni ujue
huo ubazazi wako mjengoni humu nitaukomesha kama nilivyoukomesha wa yule bazazi kiongozi
aaaaah nishampata mwingine bhana naona unanitesa sana kisa unajua nakupendanakuangalia ujue hayo matendo yako machafu unayoyafanya usifikiri sikuoni ujue
huo ubazazi wako mjengoni humu nitaukomesha kama nilivyoukomesha wa yule bazazi kiongozi
aaaaah nishampata mwingine bhana naona unanitesa sana kisa unajua nakupenda
Karibu mpaka ndani,naona kule kwa Odama pamegeuka baghdad nisije nikalimwa ban bure
Ha ha njo mwaya mi mwenyewe natetemeka hapa kwa baridi! Loh!!!
Salama kabisa,vipi umebakiza siku ngapi kifungoni aisee
nini sasa mbona unacheka sweetie stoneHa haaaaa haas
hahahaha kweli kabisaAtakuja wala usijali hata we subiri kesho atakuwa kalala
aaaaah nishampata mwingine bhana naona unanitesa sana kisa unajua nakupenda
asante kwa kunifanyia hivyo ila jua kuwa unavyofanya sio vyema kabsa
endelea ku😛hoto: na :shock: mm nitajua la kufanya