Tyta at work lol!

Ha ha ha!!!! Loh!! Kweli Tyta at work watu na kazi zao bwana
 
Last edited by a moderator:
Haaaa haaaaaa haaaaaa! farkhina, we mbaya wewe..... nimekukubali.... big up Mamaaa, vp chapati tayari...! cc Tyta

Chapati nimepika kwa mujibu wa idadi ya wana jf wote lol sasa basi Tyta kazila karibia nusu ndio nimeamua kuweka picha yake kumchoresha hebu ona hako ka mwili lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hivi Tyta unapicha pigaga au unazimuvuzshaga na kuaploadigi kwa hisani ya watu wa naija? make huwa sikupati wapi wazitoa hizi still picha na mnato halafu kitu no fotoshopu!
 
Last edited by a moderator:
Nnazo kwa album limejaa nkawawekea nyengine lazima mjazane kwa studio yake kama mwapigwa picha bure vile kwa hizo swaga zake lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
farkhina hebu zimuvuzishe hata tumuona Tyta na utaalam wake aise
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…