Khaaa! niolewe kimya kimya kama wanao olewa na mimba?Huyu sasa kweli nilimsahau muweke kwenye msitari bana au ndo kashakuwa Huby unaniyeyu tu hapa???
kuna aina moja ya ma-husband hujaiweka...wale wanaume waliowekwa viganjani na wake zao
Jambo wewe siku nyingi sana bana
ooh!! here waiting for ua call!!Wala sijapata dada hiyo sms pole will mic call u baadae
Huu ni uchokozi wa aina yake.
Mie nilidhani mtu ukirudi toka ulikokuwa umejificha/fichwa unaleta zawadi kwanza.
Hii ndiyo zawadi yetu Dena Amsi?
Babu DC!!
Mimi si fit mahali popote.
sijui kwanini sipendi hii makitu ya kuangalia negativity,katika kila kitu isee!sijui nikoje!