Yaani tusijidanganye hata siku moja.
Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc..
Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku
Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana.
Halafu wako speed kama legelege lazima utapike dagaa.
Watu weusi tuko polepole sana hata kazi nchini kwetu infact ukisema u rate kwenye scale ya 10
Hawa wenzetu wako 9/10 sis tuko 1/10
Yaani hakuna kitu wakuu, nadhani hii ndio siri kubwa ya wao kutupiga gap la maana achana na kelele za ohh walikuja kuiba malighafi Afrika hizo ni kelele za kujitetea tu hawa jamaa ni watafutaji yaani wana ile spirit ya kichaga na kikinga mara 100
Ni hayo tu wadau, tupambane. sana
Na haijalishi ni me au ke hawa watu ni hatari na wanaanza michakato wadogo kabisa yaani 18yrs mtu anapiga kazi
Ni masikitiko makubwa sana kwa kweliHili la kukosa uaminifu linatugharimu sana kama taifa. Yaani leo hii uwe na unaishi dar halafu uwe na biashara mbeya ni jambo ambalo haliwezekani kibongobongo
Na kuwaza kuiba tuSisi tunapiga domo
Ova
"Halafu jumapili wakajazane makanisani wakipayuka kama mbayuwayu kumuomba Mungu wapate mafanikio."Mwafrika hasa mtanzania anataka apige kazi masaa nane tena hayo bado anaona ni mengi,
Awahi kutoka kazini apitie baa amwagilie moyo na nyama choma huku akibishana simba na yanga.
Wanawake wanataka wawahi kutoka kazini wapitie saluni wakajirembe huku wakipiga soga na umbea.
Halafu jumapili wakajazane makanisani wakipayuka kama mbayuwayu kumuomba Mungu wapate mafanikio.
Hawa ndio waafrika..!!
Ndo maana yake! Ukiwa mvivu lazima utakuwa mwiziWaafrika ni wavivu mno, ila ni majizi balaa.
Bize for nothing! Ni kama mtu akikuambia usukume hukuta wa nyumba yako, utausukumua asubuhi hadi jioni utatokwa jasho na kuchoka lakini hakuna kipato utarudi nyumbani mikono mitupu! Ndo wabongo walivyoWatu mbona wanapiga kazi saa 11 asubuhi wapo barabarani mpka saa4 za usiku 😀
Jaribu kutudadavulia kwanini unaona wana moyo wa kuchapa kazi ni kitu kinawamotivate?Yaani tusijidanganye hata siku moja.
Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc..
Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku
Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana.
Halafu wako speed kama legelege lazima utapike dagaa.
Watu weusi tuko polepole sana hata kazi nchini kwetu infact ukisema u rate kwenye scale ya 10
Hawa wenzetu wako 9/10 sis tuko 1/10
Yaani hakuna kitu wakuu, nadhani hii ndio siri kubwa ya wao kutupiga gap la maana achana na kelele za ohh walikuja kuiba malighafi Afrika hizo ni kelele za kujitetea tu hawa jamaa ni watafutaji yaani wana ile spirit ya kichaga na kikinga mara 100
Ni hayo tu wadau, tupambane. sana
Na haijalishi ni me au ke hawa watu ni hatari na wanaanza michakato wadogo kabisa yaani 18yrs mtu anapiga kazi
Kama mfumo ndio umemsukuma kwenye kazi hizo mtu afanyaje sasaBize for nothing! Ni kama mtu akikuambia usukume hukuta wa nyumba yako, utausukumua asubuhi hadi jioni utatokwa jasho na kuchoka lakini hakuna kipato utarudi nyumbani mikono mitupu! Ndo wabongo walivyo
Hii ni shida nyingine mkoloni alituachia elimu mbovu ili aendelee kututawalaKama mfumo ndio umemsukuma kwenye kazi hizo mtu afanyaje sasa
Mtu kasoma ajira hakuna anaamua kuuza mitumba alafu unasema busy for nothing 😀
Ni kweli mkuu na ni hakika ukisemacho ila na mfumo ama mifumo waliyoiweka iko imara kaka tofauti na huku kwetu africa mtu anafanya kazi kimazoea tena umkute kaaajiriwa na umma ndio kasheshe tupu. Ukitoka hapo uje kwa raia mmoja mmoja ndio shida kijana akipata nyumba na ka IST kimkoko kimoja ndio baasi ameridhika ni mwendo wa viwanja vya starehe.Ndio aisee, huko mtu kupiga kazi masaa 15 kwa siku kawaida, na wanajituma haswaaaa
Uko sahihi.Unaongelea efficiency; effectiveness au kupiga kazi ? Kwamba waafrica ni wazee wa kukaa vijwieni ? Nadhani pitia madesa yako upya.... Hard work does not Necessary Pay; Especially hii dunia ya Kilaghai...
View attachment 2964659
Ama utendaji ulio bora zaidi ni pamoja na kutumia rasilimali ya bure ya uwezo wa kuakili kubuni/ kutengeneza nyenzo za kukuwezesha kukabiliana/kuishi ndani ya mazingira yako?Kazi inatakiwa ulipwe, sasa kubeba kuni za kupikia nyumbani kwako nani atakulipa?
Kweli?Sasa bongo kazi zenyewe ziko wapi? Watu tuko iddle sana, tunatamani hata tufanye kazi tatu tati ila hata hiyo moja ni mtihani!
Uko sahihi kabisa. Sisi mwanaume anatoka kazini na ni lazima apitie bar anywe na kesho yake anakwenda tena kazini. Majuu ukitoka kazini hata hiyo nguvu ya kupitia bar kunywa huna, na ukilazimisha kesho yake kazi huwezi kufanya. Wenzetu wanakunywa weekend tu au wakati wa likizo.Mwafrika hasa mtanzania anataka apige kazi masaa nane tena hayo bado anaona ni mengi,
Awahi kutoka kazini apitie baa amwagilie moyo na nyama choma huku akibishana simba na yanga.
Wanawake wanataka wawahi kutoka kazini wapitie saluni wakajirembe huku wakipiga soga na umbea.
Halafu jumapili wakajazane makanisani wakipayuka kama mbayuwayu kumuomba Mungu wapate mafanikio.
Hawa ndio waafrika..!!
Ulieleta uzi huu Mungu akubiriki aise..Hakuna Mafanikio katika nchi yatakuja Bila kufanya kazi Kwa bidii Kwa bidii, weledi na utu. Niwe mkweli Kipindi naanza kuishi na hawa watu nilihisi ni mateso. These people work so hard, sijawai ona. Utakuta MTU 24 hours anfikiria kazi yake. Na wakipata time ya kuenjoy life eg weekend wanafanya kweli. Africa tusijidanye, hatutatoka kwa njia za uongo uongo,never.Yaani tusijidanganye hata siku moja.
Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc..
Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila siku
Hawa jamaa ni nuksi jamani, yaani huku kufanya kazi saa 12 + ni jambo la kawaida sana.
Halafu wako speed kama legelege lazima utapike dagaa.
Watu weusi tuko polepole sana hata kazi nchini kwetu infact ukisema u rate kwenye scale ya 10
Hawa wenzetu wako 9/10 sis tuko 1/10
Yaani hakuna kitu wakuu, nadhani hii ndio siri kubwa ya wao kutupiga gap la maana achana na kelele za ohh walikuja kuiba malighafi Afrika hizo ni kelele za kujitetea tu hawa jamaa ni watafutaji yaani wana ile spirit ya kichaga na kikinga mara 100
Ni hayo tu wadau, tupambane. sana
Na haijalishi ni me au ke hawa watu ni hatari na wanaanza michakato wadogo kabisa yaani 18yrs mtu anapiga kazi
Hayo ni matokeo ya kupenda unachokifanya.Yaani tusijidanganye hata siku moja.

Mkuu kazi zipo nyingi Sana..sema ndoo hivyo..mentality zetu tayari zilijengwa kuajiliwa. Mfano hata kama umesoma Kiswahili..eg We need a lot Swahili novels, translators vitabu and any resources for Swahili speakers etc. Ni mfano,kuna mambo mengiSasa bongo kazi zenyewe ziko wapi? Watu tuko iddle sana, tunatamani hata tufanye kazi tatu tati ila hata hiyo moja ni mtihani!