Twende Kisasa Zaidi; Jee MO Ana Numbered Acct Kule Uswisi?

Twende Kisasa Zaidi; Jee MO Ana Numbered Acct Kule Uswisi?

Kama.walikuwa na gloves
wapeleke simu kwa kaburu tuu hapo na hata ukivaa groves unajulikana mbona hii ni ya muda sana kama tunasema usiku hatuwezi kuokoa kisa Mwanga kweli sababu ya groves mtaendelea kuwa nayo...
 
Aliyemteka Mo ni Makonda - Mkuu wa Mkowa wa Dar Es Salaam na kikundi chake. Period. Mijadala mingine ni soga za kusubiria kama atamwachia.
 
Nina amini wafanya biashara wote wakubwa wa calibre ya MO lazima wawe na acc nje ya nchi, yaweza kua Uswisi, USA, China, Japan nk na hasa kwenye nchi wanazo fanya nazo biashara. Jana niliamua kwenda youtube kuangalia ile interview aliofanya na kina Salama Ajabri kule EATV, nimeona anasema alitakaga kukopa Barclays bank Tanzania pesa nyingi kidogo but wao wakawa wanataka kumpa only Tsh 800M then akaona ndogo and hence akaenda zake SA na wao wakampa $250M,, now hope asingeweza kupata mkopo wa namna hiyo bila kua na Account huko SA, nacho jaribu kusema hapa ni hiki, hakuna mfanyabiashara makini na mkubwa wa type yake asiwe na account nje ya nchi na wengine hawafanyi hivyo kwasababu ya kujificha, wanafanya hivyo kwa ajili ya kurahisisha manunuzi yao kwenye nchi hizo, ni wana siasa ndio hufungua account kwa njia za kificho kwasababu ya namna walivyo zipata hizo pesa, WAMEIBA and so wanaogopa and lazima wajifiche
 
Alikuwa anatafuta per diem za kwenda ulaya, na alifanikiwa then mitanzania ikakomaaa kusema eti ni mzalendo kumbe mla rushwa mkubwa zzk
Alikuwa akitaka kuhongwa Na waliotajwa kuwa ili anyamaze wampe hela ndio ule utajiri alianza kuibuka nao ghafla.JPM kauzima ghafla
 
Kama.walikuwa na gloves
Ujasiri waliokua nao hao "watekaji" ndio unatia shaka, eneo lenye mikamera mingi vile ya CCTV na pia eneo wanalo kaa usalama wa taifa pamoja na makamu wa kwanza wa raisi hope kuna wanajeshi na police wa kutosha wenye bunduki, bastola and may be hata mabomu halafu watekaji hao wanaweza kupiga risasi hewani na wasiwe na wasiwasi kabisa wa kukamatwa! Should be very strange, very strange!
 
Akaunti za Uswizi za hela kubwa si za kuchukua hela kirahisi rahisi.

Uswizi kuna banking regime tofauti na dunia nzima.

Nimefanya kazi ku encrypt banking systems za dunianzima, nchi mbili mpaka leo sisahau zilivyonisumbua.

Russia na Uswisi.
Mbona unaongea masuala magumu kirahisi rahisi sana? Uswisi mpaka utoa pesa kama ww sio mmiliki ni ishu kubwa sana. Sio rahisi kihivyo
 
Wabongo bwana! Uwezo wa kuelewa sijui kwa nini umepotea hivi?
Nani kasema MO ni mwizi? Tunachosema ni kuwa numbered accounts uchukuaji wake wa fedha au uhamishaji hauhitaji kitambulisho au kadi bali secret numbers ambazo anayezijua ni muwekaji/wawekaji. Sasa jee kwa kutekwa kwa MO na kama ana accounts za aina hiyo watekaji hawawezi kutumia muda huu wote kukomba kilichopo kutokana na namba atakazo zitowa mwenyewe?
Hapo poverty mentality imetoka wapi kijana? Acha kuhemka!
Kabisa.
Masanja ni mjenga hoja mzuri. Ila toka wa poti kaingia magogoni, hoja zake nyingi zimekaa kikoromije.
 
tatizo atakumbukaje akaunti zake wakati wamemchukua na nguo za mazoezi tu???....
 
Lakini kama walitupa simu zake chini,ni vigumu kuamini hawa watu kweli walikuwa wanataka fedha.

Wanaakili kuliko wewe, wangeondoka na simu ya MO hata kama imezimwa ingejulikana mahali ilipo, hata hilo hulijui?
 
Watu wameshika simu na kuzitupa chini fingerprints zinaanzia hapo lazima washachukua vitambulisho vya aina yeyote iwe Mpiga kura au Passport kuchunguza hii ishu siioni kama ina utata sana kuliko police wanavyotuaminisha na kutafuta kwa kuzuia mageti...

Kama wachunguzi wetu wanaujuzi wa matumizi ya finger print itapendeza
 
Alikuwa akitaka kuhongwa Na waliotajwa kuwa ili anyamaze wampe hela ndio ule utajiri alianza kuibuka nao ghafla.JPM kauzima ghafla
Kijana alianza kuibua migorofa kimchezo mchezo, sasa analalamika kama hajawahi kuwa mbunge
 
Alikuwa akitaka kuhongwa Na waliotajwa kuwa ili anyamaze wampe hela ndio ule utajiri alianza kuibuka nao ghafla.JPM kauzima ghafla
Mbona JPM kashindwa kumzima Bashite kukusanya utajiri kutoka kwa wafanyabiashara anaowatishia kuwataja madawa ya kulevya?
Au kuna maslahi binafsi?
 
Ndiyo maana Mabillion ya DR.Shika bado anayahangaika kuyapata; mnada umeshakwisha hela kwenye acc inasoma
-ve. Atakuwa kaziweka uswiss huyo!!
 
Akaunti za Uswizi za hela kubwa si za kuchukua hela kirahisi rahisi.

Uswizi kuna banking regime tofauti na dunia nzima.

Nimefanya kazi ku encrypt banking systems za dunianzima, nchi mbili mpaka leo sisahau zilivyonisumbua.

Russia na Uswisi.
Mzee wa misifa, huchelewagi. Wee kila kitu unajifanya unajua, lakini hili la bank encryption hata a one month old baby knows its too far fetched.
 
Mkuu tupe mawili matatu.....utofauti wa nchi hizo na zingine
Kwa benki moja niliyofanyia kazi, wakati matawi yote ya dunia nzimay ameunganishwa katika domain moja ya dunia nzima, Uswizi sheria zao zinawakataza kuungana na domain ya dunia nzima, wao walitengenezewa domain yao peke yao ya Uswizi tu haijaungana kwenye domain ya dunia nzima, kwa hiyo hata kampuni ya Kimarekani domain yao ikiwa hacked wakawa compromised dunia nzima, Uswizi waoni chama la kipekee halijaunganika kwenye mtadaowa dunia na hivyo watanusurika.

Wana visheriasheriakibao vya banking vilivyo tofauti tofauti kiasi kwamba sifikiri inakuwa ni jambo rahisi kuiba hela kubwa kihivyo.
 
Back
Top Bottom