Twende Kisasa Zaidi; Jee MO Ana Numbered Acct Kule Uswisi?

Twende Kisasa Zaidi; Jee MO Ana Numbered Acct Kule Uswisi?

Tuambie kwa lugha nyepesi changamoto ulizokumbana nazo tafadhali
Waswizi wana sheria kali sana na tofauti sana za banking, kunamtandao mmoja nilikuwa naufanyiakazi umetambaa dunia nzima kwenye domain moja dunia nzima, Waswizi wakawa wako kwenye domain yao tofauti ikabidi wawe na ki project chao tofauti.

Yani kwa hizi akaunti za mamilioni sio tu shida kutoa hela, hata hela zako mwenyewe kuziweka tu kazi, inabidi wajiridhishe sana na anti-money laundering checks kwamba hela ni halali na hazina shaka, ama sivyo wao wenyewe wanapata matatizo sana.
 
Mbona unaongea masuala magumu kirahisi rahisi sana? Uswisi mpaka utoa pesa kama ww sio mmiliki ni ishu kubwa sana. Sio rahisi kihivyo
Ulikusudia kuninukuu mimi au mwingine?

Maana tunasema kimoja, halafu unanipinga.
 
Watu wameshika simu na kuzitupa chini fingerprints zinaanzia hapo lazima washachukua vitambulisho vya aina yeyote iwe Mpiga kura au Passport kuchunguza hii ishu siioni kama ina utata sana kuliko police wanavyotuaminisha na kutafuta kwa kuzuia mageti...
Hakuna cha finger prints. Hawa wanaonekana walijipanga vizuri. Lazima walikuwa wamevaa hand gloves. Na je kuna databank ya finger prints ili kuweza kuwagundua wahalifu hawa. Kama ni wa ndani kuna uwezekano. Lakini kama ni wa nje, kazi ipo na ndiyo sababu ushirikiano na wajuvi wa mambo haya unahitajika.
 
Nilimaanisha katika mambo ya wasifu wa kikazi. Inaonekana umetembea sana katika ufanyaji wa hiyo kazi.
Ujue kuna mjomba wangu mmoja aliniambia Kiranga usibweteke kwakujilinganisha na watu uliowazidi.

Jilinganishe na watu waliokuzidi.

Nimetembea sana, lakini nipokwenye shadow ya mshua ambaye alitembea zaidi yangu.

Kama nikionekana samaki mkubwa, labda inawezekana sababu ni dimbwi dogo, au mimi nasema sana, kuna wakubwa zaidi wako kimya tu.

Kuna aunt yangu mmoja alikuwa ananisifia kwamba najua sana kusema Kisukuma, nikacheeka, kwa sababu kuna walimu wangu hao nikishindwa huwa nawafuata,wanajua mpaka methali na nahau, lakini hawapati sifa, kwa sababu wakimya si wasemaji.

Iam sure magwiji wapo hapa.

Wanaangalia tu wasemaji tunavyojimwayamwaya.

Hahahaha.

Take it easy son, remain humble to rumble with life's tumbles.
 
Wabongo bwana! Uwezo wa kuelewa sijui kwa nini umepotea hivi?
Nani kasema MO ni mwizi? Tunachosema ni kuwa numbered accounts uchukuaji wake wa fedha au uhamishaji hauhitaji kitambulisho au kadi bali secret numbers ambazo anayezijua ni muwekaji/wawekaji. Sasa jee kwa kutekwa kwa MO na kama ana accounts za aina hiyo watekaji hawawezi kutumia muda huu wote kukomba kilichopo kutokana na namba atakazo zitowa mwenyewe?
Hapo poverty mentality imetoka wapi kijana? Acha kuhemka!
Bank zinajua katwekwa, utakuwa uzembe wa bank, labda kwa kuwa bank zina insurance kubwa
 
Nimejaribu kufikiri, jee MO kama ana numbered account kule Uswisi na hao watekaji wakawa wanahitaji pesa kutoka huko jee si ndio imetoka hiyo?
Jee mtindo huo wa kuwa na account za siri kweli ni mzuri katika ulimwengu huu uliofitinika? Maana hats state kama inataka kurudisha fedha zake yaweza kufanya umafia huo
Mo na MeTL ni entity tofauti sidhani kama Mo anahela nyingi kuliko MeTL.
 
Mkuu nimeona matukio ya heist makubwa hao ni vibaka tuu yaani wamemkamata maeneo ambayo kungekuwa na resistance ndogo tuu wangekamatwa yaani inapigwa risasi maeneo yale harafu hakuna hata chopa wala nini kwa ajili ya kusaidia ile arfajiri tunafanya kazi kwa mazoea ndio maana unaona watu wazembe wanafauru kwa mambo wanayofanya ndani ya mji...
na ndio maana wamemteka maeneo hayo kwa sababu walijua hawatapata resistance..... vipi wale Al shabab waliowachukua mateka watu pale Nairobi Shppping Mall tena mchana kweupee!! na wale ni vibaka... Watekaji wanakuwa na motives nyingi
 
Akaunti za Uswizi za hela kubwa si za kuchukua hela kirahisi rahisi.

Uswizi kuna banking regime tofauti na dunia nzima.

Nimefanya kazi ku encrypt banking systems za dunianzima, nchi mbili mpaka leo sisahau zilivyonisumbua.

Russia na Uswisi.
Whats so special with Swiss?

I need to learn more.
 
Sasa account kule uswisi ndugu yangu lazima taifa lijue kweli iyo ni sili yake na familiya yake we upo dunia ya ngapi mkuuuu daaaa
 
Mkuu wacha poverty mentality. Siyo kila mwenye account Uswiss ni mwizi wa hela za Magufuli. Wengine walisoma huko..kwa hiyo baada ya kuondoka account wakaamua wasizifunge. Wengine walizifungua kwa ajili ya urahisi wa kulipa karo za watoto wao wanaosoma nje.....(siyo kila mtu anasomesha mtoto shule za kata) na wengine wamefungua kwa ajili ya biashara zao.

Kwa mtu kama MO kuwa na account Uswiss, US na kwingineko ni kitu cha kawaida maana anafanya transactions za kimataifa..so kufanya miamala inakuwa rahisi kama una account huko. And mostly don't forget....watu wanataka security ya utajiri wao!

Hizi nchi zetu JPM akiamka amekasirika unaweza kuta account zako zote 'zinafanyiwa uchunguzi' whatever that means! ...Tanzania tumefika sehemu hata ukiendesha mtumba wa Range rover utaambiwa wewe ni fisadi!

Mkuu kuna wenye account zao Dubai, Uswiss na kwingineko with clean money! so usifanye assumptions based on your economic situation au ambavyo umeaminishwa na watawala.
very akil za watz zinaoza na ujinga pandikiz its so disappointing
 
Hakuna cha finger prints. Hawa wanaonekana walijipanga vizuri. Lazima walikuwa wamevaa hand gloves. Na je kuna databank ya finger prints ili kuweza kuwagundua wahalifu hawa. Kama ni wa ndani kuna uwezekano. Lakini kama ni wa nje, kazi ipo na ndiyo sababu ushirikiano na wajuvi wa mambo haya unahitajika.

Lugumi f¥cked all money for fingerprint databank equipments.
 
Back
Top Bottom