Tweet ya Mwamvita Makamba akimshambulia Kigwangalla: Vita ya Urais yapamba moto CCM Vijana

Pamoja na kwamba shule nilimaliza miaka ya 1989 lakini siwezi kuandika kiingereza cha namna hii
 
kimombo kibovu kabisa na hakina maana huyu mwavita makamba ndo alikuwa barmaid wa lodge yao pale nanenane usambara lodge kisha ajiweka.meneja kisha mzee yusufu kamfukuza au mwingine?

Being a barmaid is not big issue as well as ni kazi halali kabisa, labda ungekuja na sababu za kufukuzwa kwake, ingawa nazo pia hazituhusu sana.

Kwenye suala la lugha hapo sijui maana mm pia kiingereza changu sijazaliwa nacho bali nimekikuta tu kwny vitabu na mara nyingi huwa najikuta sipo sahihi ktk kukitumia???
 
.. so "HOW do you call an irrelevant person who think HE IS IT"?

This is informal English with a twist of Slang. It might not be the best English sentence I have read in my life but it is nevertheless understood, in general terms, at least by me. I think the problem here is we are not focusing on her statement but rather on her "personality" as Mwamvita. People are trying to attack her for WHO she is rather than for WHAT she has written. I don't know her nor her brother, but her English message is understood, even if it was poorly written. It is an informal English, not very different from " I am gonna" and " I am going to". " kinda " and "kind of". We do not expect informal English to be grammatically correct.

I have showed in my previous post how "irrelevant" and " you are it" can be used in an informal setting in many ways.

Again, to answer your question, you call that person that way if you feel he/she is nobody important (irrelevant = a nobody) but acts as if he/she is a VIP. If you think you are "it", you think that you are a better person than others in every way: education, success in life, good looks etc. You think you are IT = mtu ana misifa ya kujipachikia.
 
Haya mkuu,you are it!!!!!!!!😆😆😆😆😆😆😆😆😆😕😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉

Lakini wewe " you are it" katika ule ujuzi mwingine katika mtandao. 😊😍
 
agh hawa vijana wajinga sana hahahaha marahisi labda au marais wa tff wakamjaribu malinzi
 
Sio wote tumekwenda shule moja. Kila mtu na akili yake. Bora ukae pembeni uelimike. Kuna mifano mingi tu katika mtandao ila Watanzania ni wavivu wa kutumia ubongo.

Nahisi kama umenitukana vile! Hususani hapo Watanzania na Ubongo....
 
Nahisi kama umenitukana vile! Hususani hapo Watanzania na Ubongo....

Sina nia ya kukutukana. Lakini kama jibu la rahisi katika mtandao lipo lakini unataka kubishana na maswala huwa hutumii ubongo.

Pia, tukitoka kwenye mada kidogo, kama tunatumia ubongo wetu inavyotakiwa tusingekuwa na mifereji iliyoziba tangu wakati wa Uhuru kwa mfano wakati tuna wahandisi wenye elimu ya juu. Kwa nini hatutumii elimu yetu kutatua matatizo madogo badala ya kusubiri misaada kama tunatumia ubongo?
 
Screen+Shot+2013-12-28+at+15.48.02.png
Aisee na tusubiri kupewa dozi za namna hii kwenye pressconference braza akiwa mkulu
 
Waliozibukia unyamwezi watajua mchezo wa "Tag". Ni kama mchezo wa kidali kwetu ambapo unadalikwa halafu unatafuta wako wa kumdalika.

Unapodalikwa anayekudalika anakwambia "Tagged, you are it".

Unapodalikwa wewe ndiye unakuwa "it", the special one in the game. Unakimbiza wenzako mpaka umdalike mwingine na yeye anakuwa "it".

Kwa hiyo matumizi ya "you are it", " he is it" yanakubalika.

Wiki ya mchezo huu iko hapa

http://en.m.wikipedia.org/wiki/Tag_(game)

Sijaona Miss Makamba alipokosea kiingereza, nimeona tu kwamba kwa mtu anayetakiwa kuwa kalelewa na familia yenye staha kama anavyojunadi January, na anayefanya kazi ya PR, hiyo tweet ni ya kijinga.

Halafu, strictly speaking, hapo kwa tweet jiyo moja tu, hanamuita Kigwangalla irrelevant amemuuuliza atamuitaje mtu itrelevant ambaye anajisikia sana kwamba yeye majnuni?

Ama inawezekana Miss Makamba alikuwa sarcastic na kujifanya kuuliza ushauri wa jinsi ya kumuita mtu itrelevant anayejisikia kuwa majnuni kutoka kwa mtu irrelevant anayejisikia kwamba ni majnuni. Lakini hili huwezi kumaizi kwa kuangalia tweet moja, kwani yawezekana pia anayeongelewa hapo ni mtu tofauti na si Kigwangalla, au labda hata si mtu, ni swali la kinadharia zaidi.
 
Hivi kuna watu wanatumaini January kuwa hata balozi nje ya nchi ukiachilia mbali uraisi?
 
As usual waTZ ndo maana tunazidi kuburuzwa is the issue here lugha au what was said and what was meant?
 
Still loading sana maana kuna wakati mwingine mijadala itapanda sana na kuwa moto sana ni kawaida kipindi kama hiki cha kuelekea uchaguzi
 
Back
Top Bottom