Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,680
Reaction score
103,648
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️

Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men

HVeh_PfW0AAxXYR (2).jpg

Screenshot 2026-10-25 at 16-21-10 Instagram.png

UPDATE:

Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.

IMG_8931.jpeg

Taarifa kwa kina zinafuatia
 
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️

Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men

UPDATE:

Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.

Taarifa kwa kina zinafuatia
ok.
I hope marry must be a script writer and the director of the drama 🐒
 
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️

Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men

UPDATE:

Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa muda mrefu.

Taarifa kwa kina zinafuatia
Hapa tutawabana kenya
 
Samia anazidi kuwalazimsha Chadema waende kwenye meza ya mazungumzo.

Inabidi sasa hawa jamaa wafanye wawezalo waende balozi za nchi za ulaya zilizopo Dsm wakapewe hifadhi, wasiende tena huko nje.

ikilazimu wasafirishwe kwenda nje wakiwa na escort ya wazungu kama ilivyokuwa kwa Lissu.

Twaha nae anaweza kupewa kesi ya uhaini, jamaa watafanya kila wanachotaka huku tukiendelea kuwatazama tu na kulia mitandaoni.

Ina maana raia waliokuwa karibu hawakufanya chochote hata kupiga kelele?na hiyo gari iliyomteka walishindwa kabisa kuirekodi?
 
Back
Top Bottom