kenya
kigogo
kutekwa
kutekwa kwa twahamwaipaya
mashitaka
mkurugenzi
mkurugenzi wa mashitaka
mkuu
mkuu wa
mwaipaya
mwingine
nchini
nchini kenya
polisi
twahamwaipaya
wanaharakati
Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipwaya ni kaka yake na ndugu wa damu wa Twaha Mwaipwaya aliyetekwa huko oversees.
Haoni uchungu na kuhoji alipo ndugu yake?
Au bora ushibe kuliko uhai wa ndugu!
Kwa hiyo ili kuzima taharuki ya kutekwa kisha kupotezwa kwa Twaha Mwaipaya kule Kenya, watawala wameamua kumpeleka Dubai Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kisha kumpiga picha na kisha wakazituma katika media zao ili kuwapumbaza Watanzania waache kumuwaza Mwaipaya.
Kama Nchimbi yuko huru kweli...
Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano.
CCM wana kila mbinu ya...
NAIROBI, KENYA — Madai kuhusu madeni ya muda mrefu yameibuka kufuatia taarifa za kukamatwa kwa Twaha Mwaipaya, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka Tanzania, nchini Kenya.
Kwa mujibu wa madai yaliyotolewa, Mwaipaya alikamatwa na mwenye nyumba aliyokuwa akiishi kwa...
Nimeangalia taarifa zilizochapishwa tarehe 25 Oktoba 2026. Kwa mujibu wa Amnesty International, Twaha Mwaipaya aliripotiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos, nchini Kenya, alipokuwa akisafiri kwa teksi. Watu waliodaiwa kumchukua walikuwa kwenye magari matatu. Hata hivyo, taarifa...
Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Tanzania, Twaha Mwaipaya, ameripotiwa kutekwa na watu wenye silaha katika eneo la Kamulu, viungani mwa Nairobi, hali iliyozua wasiwasi kuhusu usalama wake na aliko.
Kwa mujibu wa shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International, Mwaipaya...
TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?
TBC hivi kutekwa KWA TWAHA MWAIPAYA sio habari kwenu?
Leo nomeona mitandaoni kuwa Twaha Mwaipaya katekwa
1. Inawezekana ikawa ni KIKI kuelekea 29th October 2026 ili kuendelea kuichafua Tanzania kimataifa
2. Twaha amekuwa komandooo wa kutufundisha namna ya kukwepa kutekwa je yeye hakutumia mbinu hizo?
3. Yeye huwa anajiita guachevara au castro...
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa...
Haya matukio ni Moja ya Siasa za hovyo kuwahi kutokea, utaanzaje kutangaza mtu katekwa wakati huna uhakika, wakati huna taarifa za kutosha au bila kureport Polisi ili uchunguzi ufanyike .....acheni kukurupuka na habari zenu za kubumba.
Ndio ujumbe wake leo huko Maria spaces.
Kama hao viongozi wa dini yako wanashindwa kukemea mauji ya 29th October 2025, ja maovu mengine, basi achana na huko njoo Maria spaces ukemee mauaji!
Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact
Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha...
Maandamano ya Oktoba 29 vijana walikuwa na hasira sana na hii imetokana na serikali imekuwa ikipoka mchakato wa wananchi. Watu wamelalamika na mifumo ya uchaguzi tangu 1995 ambapo Mrema aliliamika kuibiwa kura zake, 2000 CUF pia walilamika, 2015 ndivyo hivyo 2019 katika uchaguzi wa serikali za...
Ni interview nzuri sana. Unaweza kuitazama hapa:
Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni siku kubwa sana ya kihostoria katika nchi yetu ya Tanzania, ambapo ilikuwa ni siku ya maandamano ya kupinga kupwoka haki na vijana walikuwa na hasira sana.
Na haya yote ni matokea yalitokea katika kukosa haki katika...
Wakuu,
Huyu kijana Ramsi alipotea siku chache kabla ya maandamano naona kwa sasa amerudi tena.
Twaha Mwaipaya wa CHADEMA anasema Ramso alitekwa Dar na kupelekwa Dodoma na kuishilikiwa huko kwa zaidi ya wiki 3 na alichiliwa siku ya maandamano.
Najiuliza tu hivi unawezaje kumuweka mtu ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.