Tv yangu ina zima kila baada ya masaa 3

Tv yangu ina zima kila baada ya masaa 3

Hiyo TV inayo sensor maalum hapo karibu na lebo ya jina la TV, hiyo sensor kazi yake huwa inawaka baada ya muda fulani kuangalia kama kuna mtu ana-agalia TV. Kama hakuna mtu TV hiyo inazima kwa sababu umewasha sehemu ya power saver. Ndio maana inatoa maandishi kuhakiksha kama kuna mtu au lah! yaani inakupa tahadhari kuwa itazima baada ya muda fulani kama upo karibu basi bonyeza kitufe chochote kuashiria kama upo.

Tatizo la kuzima kila baada ya dakika kadhaa hii inatokana na kuwa umewasha sehemu ya power saver alafu TV yako ipo juu kiasi kwamba hiyo sensor inapo waka inakuta hakuna mtu mbele hivyo inataka kuzima kwa sababu inaona hakuna mtu yoyote mbele.

Jinsi ya kutatua tatizo hili zima power saver kupitia kwenye sehemu ya settings. Lakini kumbuka power saver ni muhimu kwani ukiwa umezinzia au umesahau TV on kwa bahati mbaya TV yako itajizima yenyewe pale ambao itaona hakuna mtu mbele yake au hakuna movmnt. Hope this help...

mkuu umetoa elimu nzur sana,hii nilikua sifahamu kbisa,kumbe ndo iko ivi
 
Back
Top Bottom