TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

Eh.. Kweli lkn mkuu, nisije nikapigwa na shot Aise.
Wala utakiwi kushika kitu chochote cha umeme apo

We washa tv yako

Kisha chukua spika ya kawaida tuu au kama una twiter apo za subwoofer chomoa moja kishatumia iyo iyo

Ipitishe mbele ya kioo cha tv yako wakat ikiwa on

Utaona iyo rangi inavohama

Then jaribu sasa kuangalia namna ya kuhamishia kwa pemben ili iweze kuisha

Nakushaur wakat unafanya ivo zima king'amuz au dek yan tv ibakie na ile rangi ya blue ili uone vzr
 
mkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
Singsuntv ukinunua moja unapewa zawadi ya microwave, home theater, friji na jiko. bei Chee tu
 
Atulingani mkuu we kama una ya kwako flat kausha
lazima niseme maana cheap ni expensive sana ona sasa limstari kwenye TV? angenunua kitu OG isingeleta zengwe yaani ukiwa huna ndio ukanunue matakataka umaskini juu ya umaskini. Wabongo tuna fikra duni sana
 
mkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
Du utafikiri ulikuwa kichwani mwangu
 
Mnajifanya mna flat oooh kumbe hamna lolote ingekua mna flat mngelalamikia mb kupunguzwa???wabongo bana
Katika 100% wenye tv 5% tu ya watz ndo wenye flat halaf mtu anakuja kunibania pua hapa "eti hzo tv zinatumikaga"
Unaongea kwa kubana pua wakati hata kitanda huna unaishi kwa dada yako unakula na kulala poor you
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom