Nashindwa Kupata Netflix kwenye TV Yangu

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
1,361
1,324
Wakuu Habari ya Jioni! Poleni na Majukumu ya Siku Nzima ya Leo.

Kama Njuavyo humu kuna Wabobevu Wengi Wa Mambo Katika Nyanja Mbalimbali, Naomba Kuuliza, Nina TV Yangu Niliagiza From Dubai, Tatizo Lake ni Kwamba kila nikitaka Kujiunga na Netflix inaniambia TV Haisapoti, Hivi Tatizo linaweza kuwa nini?

Maana Napitwa na Vingi kwa kutopata Netflix, Kwa Anaefahamu Msaada tutani, Nipo Tayari hata Kwa Kulipia kwa atakae nifanikishia Hili.

Natanguliza Shukrani
 
maanake hapo ni Tv haisapoti

ungeweka picha ya hiyo Tv ili wakusaidie vizuri
 
TV itakuwa ina-operating system ya zamani ambayo netflix walishaachananayo kitambo. Mambo ya kuagiza vitu wakati kariakoo vingi tu tena unajaribu ili uone kama inakubali netflix.
 
Ulitakiwa kucheki mengine kiundani ipoje.. labda pia cheki kama kuna ku update.. n.k. ila ifu not supporting 🤐

Kivingine tumia labda browser kwa TV.

Pole..
 
Ungeweka aina ya tv tukusaidie, maana kama ni d series au e series netflix walizichinja hizo mwaka jana

Kumbuka Netflix wanaupdate app zao Kila mara kwa io Kuna muda hizi updated apps haziwi compatible na tv za zamani
 
TV itakuwa ina-operating system ya zamani ambayo netflix walishaachananayo kitambo. Mambo ya kuagiza vitu wakati kariakoo vingi tu tena unajaribu ili uone kama inakubali netflix.
Oi tumsaidie jamaa yetu badala ya kumpiga gubu sana.

Inawezekana hafahamu namna ya kuset hivyo ni busara kumuelekeza na kumuacha ahangaike na maelekezo ili kama TV haisapoti atang'amua within the proccess
 
Ungeweka aina ya tv tukusaidie, maana kama ni d series au e series netflix walizichinja hizo mwaka jana

Kumbuka Netflix wanaupdate app zao Kila mara kwa io Kuna muda hizi updated apps haziwi compatible na tv za zamani
Nisaidie Mimi ni Hisense sijui hata pa kuanzia
 
Ungeweka aina ya tv tukusaidie, maana kama ni d series au e series netflix walizichinja hizo mwaka jana

Kumbuka Netflix wanaupdate app zao Kila mara kwa io Kuna muda hizi updated apps haziwi compatible na tv za zamani
Sawa Mkuu Ngoja Niangalie Details Zake Halafu Niweke, Maana Me Nilijiagizia tu Sikujua Yote Hayo, Ila Brand ni LG (Life is Good)
 
TV itakuwa ina-operating system ya zamani ambayo netflix walishaachananayo kitambo. Mambo ya kuagiza vitu wakati kariakoo vingi tu tena unajaribu ili uone kama inakubali netflix.
Umeongea Kweli Mkuu, Hata Mimi Najutia Hilo Kosa, Ila Sina Namna, Na TV ndio Ishafika, Haina Hata Warranty! Risk tupu. Niliona Dogo Yuko Kule basi Nikajiagizia tu
 
Back
Top Bottom