TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

mkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
Ahsante! Na mie nina hilo tatizo itabidi nifanye hivyo
 
mkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
Hapo mwisho ndo umeua mkuu
 
Wewe utakuwa uliweka spika karibu na TV usipoziondoa rangi itaendelea kukngezeka. Hiyo rangi kama ilisababishwa na spika za muziki za sub woofer, basi kuiondoa watatumia sumaku mafundi.
Mkuu vp hata kwa hii tv mrejesho pliz maana rangi ileweke na kweli ipo karibu subwoofer.. Na kuiondoa hiyo sumaku unaipitisha kwenye kioo au?
20200311_170402-1.jpg
20200311_170405-1.jpg
20200311_170402-2.jpg
 
Wala utakiwi kushika kitu chochote cha umeme apo

We washa tv yako

Kisha chukua spika ya kawaida tuu au kama una twiter apo za subwoofer chomoa moja kishatumia iyo iyo

Ipitishe mbele ya kioo cha tv yako wakat ikiwa on

Utaona iyo rangi inavohama

Then jaribu sasa kuangalia namna ya kuhamishia kwa pemben ili iweze kuisha

Nakushaur wakat unafanya ivo zima king'amuz au dek yan tv ibakie na ile rangi ya blue ili uone vzr
Nimejaribu sijafanikiwa
 
Back
Top Bottom