TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu tv yangu ilikua inaniletea rangi kwenye kioo kama hivi[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
rangi ilikua imesambaa hivyo kama mnavyoona ila nashukuru sana mlinambia nitumie sumaku kutoa hiyo rangi iltoka ikabaki hapo pembeni ambapo imegoma kutoka kabisa
Hebu nishaurini wakuu hii rangi iliyobaki nimehangaika kuitoa niitoeje??nataka tv yangu iwe bluu kote
picha ya pili ndo rangi iliyobakia nifanyeje itoke???View attachment 835944View attachment 835949

Hiyo ni EFECT ya ma magnetic Fiels (Usumaku) unaweza kusababishwa na kuweka Speaker kubwa au subwwofer karibu na TV . Sasa hizi TV ni za zamani , kulikuwa ga na kifaa kinaitwa DEGAUSING COIL ambayo ndio kazi yake ilikuwa kuondoa hizo Rangi, sasa technolojia imabadilika na ni ngumu kupata kicho kifaa.

Jaribu kufanya yafuatayo:
- Chukua sumaku kubwa (Au speaker kubwa , kama ni speaker itoe kwenye box lake),.
- weka sumaku hiyo umbali wa takribani nusu ruler, halafu izungushe kuzunguka uso wa TV hadi pembeni kidogo na usiisogelee zaidi.
- Wakati unaizungusha mbele ya uso wa TV sogea mbali kidogo kidogo huku ukiangalia mabadiliko, hadi utakaporidhika na muonekano.
 
mkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
Heheehe aisee, kwani tv kazi yake ni nini?
 
Wewe utakuwa uliweka spika karibu na TV usipoziondoa rangi itaendelea kukngezeka. Hiyo rangi kama ilisababishwa na spika za muziki za sub woofer, basi kuiondoa watatumia sumaku mafundi.
Mkuu, hyo sumaku utapitishapitisha juu wakati screen iko ON au OFF..?
sumaki lazima upitishe TV ikiwa on Lakini tatizo liko Kwenye Degausing wire Fundi anaweza kukusaidia Vizuri zaidi
 
Tv yangu nilihama nayo toka nimehamia huku imeleta mistari mekundu kwa pembeni ya kioo
Nifanyeje wakuu irudi kawaida???
View attachment 800945

Wewe utakuwa uliweka spika karibu na TV usipoziondoa rangi itaendelea kukngezeka. Hiyo rangi kama ilisababishwa na spika za muziki za sub woofer, basi kuiondoa watatumia sumaku mafundi.
Mkuu, hyo sumaku utapitishapitisha juu wakati screen iko ON au OFF..?
sumaku lazima upitishe ikiwa on Lakini tatizo liko Kwenye Degausing wire Fundi anaweza kukusaidia Vizuri zaidi
 
Wewe utakuwa uliweka spika karibu na TV usipoziondoa rangi itaendelea kukngezeka. Hiyo rangi kama ilisababishwa na spika za muziki za sub woofer, basi kuiondoa watatumia sumaku mafundi.

Daah! Hili tatizo hata kwangu lipo. Nilipogundua nikazitoa speaker zote ila bado hali hiyo imeendelea
 
Back
Top Bottom